magari

  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, wenye vituo wana haki ya kuzuia watu kupaki magari kwenye road reserve?

    Hawa wenye vituo vya kujazia mafuta, Unakuta mtu anafanya paving na gardening hadi kwenye mtaro kabisa wa barabarani ambapo ndio kuna road reserve, hivyo si mali yake. Cha ajabu ukienda kupaki gari kwenye hilo eneo anataka akufukuze, leo kuna mmoja nimemnyoosha kisawasawa, nikamwambia aonyeshe...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Miundombinu mibovu yakwamisha magari 100 barabara ya Dodoma - Iringa

    Magari zaidi ya 100 yamekwama katika eneo la Mpunguzi jijini Dodoma nchini Tanzania kwa zaidi ya saa nane baada ya magari matatu ya mizigo kunasa kwenye tope kutokana miundombinu mibovu ya barabara iliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Februari 4...
  3. Lyamber

    JamiiForums Tanzania Yafahamu magari ya bei nafuu unayoweza kununua Tanzania

    Kwa utafiti usio rasmi kwa mtazamo wangu baada ya kupita pita kwenye magroup ya Whatsapp na Kurasa za facebook za wauza magari yaliyotumika hapa Tanzania ni kama yafuatayo: Toyota Vitz, IST, Raum, Passo, Run X Mark II, Grande,Altezza Cresta, Brevis, Nissan X - Trail haya bei zake huanzia...
  4. matokeotz

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi: Je naweza pata 'live' data ya location ya magari?

    Nimekuwa nawaza kuweka App ambayo itasaidia watumiaji wa mwendokasi kujua gari liko wapi, ila sijui hata kama wanao hizo data, na kama wanazo mtu napataje hizo data? Mchango wowote unakaribishwa
  5. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Magari aina ya Mark II na mrithi wake

    Na Bwa. Godfrey. Miaka a 1960 Kampuni ya Toyota ilianza kutengeneza magari aina ya TOYOTA MARK II or Two, iliendelea kutengeneza magari hayo mpk 2002 ikaona iachane nayo na kutengeneza magari ya muda mfupi, yaani short lived car ila kuziba pengo kwa haraka na kuendlea kushika soko,maana magari...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Malipo ya maegesho ya magari jijini Mwanza sio haki

    Nimebahatika kutembelea jijini Mwanza mwisho wa mwaka huu na nimekutana na kitu cha ajabu ambacho sijawahi kukiona duniani kokote kuhusu jinsi ya kulipia maegesho ya gari. Mtu anakuja kuscan plate number yako bila hata wewe kujua, hivyo ni wajibu wako kujua hata kama ni mgeni kuwa unatakiwa...
  7. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Wizi mpya kwa wenye magari

    Kuna wizi mpya umeingia, mjini haswa kwa wenye magari yanayotumia remote control. Nadhani wataalamu wameshatengeneza remote yenye kuweza kuingiliana na remote nyingine hivyo kwa sasa remote za magari sio salama hata kidogo. Kinachofanyika haswa sehemu za parking za public, kwenye parking...
  8. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Moshi city kujaa watu na magari Krismasi ni failure au success?

    Wenyeji wa Kilimanjaro kufurika na kujaza mji ambao kwa kawaida ni karibia ghost town kwa mwaka mzima, hilo ni jambo la kujivunia au la kusikitisha? Kwanini mji wa Moshi umeshindwa kutoa opportunity kwa wakazi wake na kuwafanya kuhama kwenda kutafuta riziki kwingine? Mfano Arusha City iko busy...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania Basi laacha njia na kugonga magari saba Moshi, watu 15 wajeruhiwa

    Watu 15 wamepelekwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro Mawenzi nchini Tanzania kwa ajili ya kupata matibabu, baada ya basi la kampuni ya Harambee kudaiwa kufeli Breki na kuparamia magari mengine saba katikati ya mji wa Moshi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Salum Hamduni...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Tanesco kununua magari 106 ya kuwafuata wateja

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linapanga kununua magari 106 kwa ajili ya uboreshaji wa utoaji wa huduma kwa wateja ikiwamo kitengo cha dharura kwa ajili ya kuwahudumia wateja baada ya kupata kibali cha ununuzi. Aidha, shirika hilo limesema uboreshaji wa mfumo wa umeme katika kituo cha...
  11. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Makonda atangaza siku za tano ukaguzi bure wa magari Dar

    Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametangaza siku tano, kuanzia Desemba 10 hadi 15, 2019 kwa wenye magari kufanya ukaguzi ili wasafiri salama kwenda mikoani kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka. Makonda ametangaza ukaguzi huo leo Alhamisi Desemba 5...
  12. Magari Aina Zote

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari mbalimbali mazuri yanayouzwa leo

    Ndugu mdau uliyekuwa ukitufuatilia kupitia mnakasha huu, tunapenda kukufahamisha kuwa kutokana na mabadiliko ya sera zetu, tumelazimika kufungua mnakasha mpya kwa ajili ya magari yanayotoka moja kwa moja Japan na nchi nyingine. Hivyo sasisho zote kuhusu bidhaa na huduma zetu utazipata huko...
  13. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Uganda na Rwanda zinaongoza Afrika Mashariki katika Teknolojia ya Magari ya Umeme

    Habari! Uganda na Rwanda ziko mbioni zaidi ya mataifa mengine ya Afrika Mashariki katika mabadiliko ya kiteknolojia kuelekea magari yatumiayo nishati ya umeme ingawa mapungufu ya miundombinu yanazuia uwekezaji katika sekta hiyo inayoibukia. Mataifa hayo mawili tayari yamezindua viwanda maalumu...
  14. Mr Njovu

    JamiiForums Tanzania Wadau Mwenye ufahamu juu ya gari za Audi a4 tafadhali

    Wasalam aleykum ndugu na jamaa.. twende moja kwa moja kwenye Hoja. Ninavutiwa miaka mingi sana na hizi Audi a4 na mungu akijalia kabla mwezi haujaisha natarajia kuchukua moja beforward. Wenye elewa na hizi gari mnisaidie mawili matatu je ni gari inayomudu masafa marefu kwakua naishi mwanza na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Adha ya usafiri wa umma jijini Dar-es-salaam:Serikali iruhusu magari aina ya Noah yatumike kubebea abiria mida ya asubhuhi na jioni

    Kutokana na kero ya usafiri katika jiji la Dar-es-Salaam kwa wanaotumia usafiri wa umma(daladala na yale mabasi ya mwendokasi),nashauri serikali ije na mkakati wa muda mfupi wa kuruhusu gari ndogo aina ya Noah zitumike kusafirisha abiri nyakati za asubuhi na jioni ili kuondoa adha ya watu kutaka...
  16. namraroh

    JamiiForums Tanzania Kero: Msafara wa Rais umekuwa mateso kwa watumiaji wa barabara

    Ni kawaida kwa viongozi wetu kuwa na misafara mikubwa na yenye mbwembwe kibao, lakini kwa mtukufu rais wangu wa awamu hii umekuwa kero na mateso kwa watumiaji wa barabara kwa kuzingatia kwamba mara nyingi anasafiri kwa barabara, hali imekuwa mbaya na mateso ya hali ya juu. Leo wakati naelekea...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Wale tulikua na magari na sasa hatuna tunatumia daladala tukutane hapa

    Habari wakuu Kwa wale ambao mlikua mnamiliki vyombo vya usafiri na sasa hamna kwa namna moja au nyingine mkajikuta tu gari umeuza, imepata ajari na kuharibika kabisa hivi mnaweza vipi kuendana na hali hii ya kuanza kutumia usafiri wa daladala za hapa jijini Dar es salaam? Kiukweli hapa nipo...
  18. Johnny Sins

    JamiiForums Tanzania Magari 10 yanayonunuliwa sana na Watanzania

    Ukweli ni kwamba tunaelekea kuufunga mwaka 2019 na time kama hii tunakaribia kukutana na hesabu nyingi za kufunga na kujiandaa kwa mwaka unaofuata. Sasa wakati ukiwaza bajeti ya mwakani pengine na mipango ijayo ni muhimu kujua wenzako wengi wamepitia wapi. Watanzania wengi kwa mwaka huu...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia wakati wa kuanzisha biashara ya spea za magari madogo

    Habari, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba mwenye ujuzi wa biashara ya Spea za Magari madogo ya kutembelea hasa Toyota (IST, Raum, Spacio, Carina, GX 100 n.k) anisaidie mambo muhimu ya kuzingatia kwa ninaetaka kuanzisha biashara hii. Mfano aina ya spea zinazotakiwa kwa sana, muuzaji...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kunyamazisha watu wanaokusema eti kisa ''gari lako chafu''

    Umeshawahi kusemwa (au kuchekwa) na watu eti kisa ''gari lako chafu?'' Unawajua hawa watu. Wanapenda sana kufuatilia mambo hayawahusu. Wasione kitu na wanaanza kukosoa. Hawajui unapitia changamoto gani kimasha. Wanakosoa bila kuelewa. Je, ungependa ''kuwanyamazisha'' hawa watu wenye tabia ya...
Back
Top Bottom