Msaada: Wataalamu wa Magari Emergency tafadhali

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
19,613
51,763
Wakuu mambo vipi?

Natumia BMW E90 2007 (3 Series) sasa nikiwa mjini uwa najaza unleaded ya Total au Puma.

Sasa nipo njiani na nilipo sahivi usiku huu hakuna kituo cha karibu cha Puma wala Total.

Je, nijaze Petroli yoyote kwa leo tu hakuna tatizo linaloweza jitokeza?

Nakutana na pump za Petrol tu hazijaandikwa Super wala Unleaded.

Msaada wakuu.

Edit:

Solved. Nimeweka ya kawaida Tu. Performance haijabadilika.
 
Back
Top Bottom