Mbona Magari ya wagonjwa yamekuwa mengi usiku siku hizi?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,841
Hapa nimelala nautafuta usingizi kila nikijigeuza nasikia King'ora Cha gari ya wagonjwa inapita duh.

Kila Muda mchana unajua inakuwa ngumu kusikia sn unachukulia poa ila usiku toka nimelala ni gari la 3 nasikia linapita nje.

Hii Corona itasomba watu aisee ni hatari hali ime-change ghafula hata usingizi umeisha.
 
Hapa nimelala nautafuta usingizi kila nikijigeuza nasikia King'ora Cha gari ya wagonjwa inapita duh.

Kila Muda mchana unajua inakuwa ngumu kusikia sn unachukulia poa ila usiku toka nimelala ni gari la 3 nasikia linapita nje.

Hi Corona itasomba watu aisee ni hatari hali ime-change ghafula hata usingizi umeisha.
Wamemnyamazisha Mange sijui wamefikiana dau gani ila nadhani kawapiga sana hadi sasa haposti chochote kuhusu Corona kutoka bongo licha ya kutumiwa video lukuki
 
Watu wanaopukutika bro

Jr
 
Ving'ora siku zote vilikuwepo lakini tu hakukuwa na concentration tofauti na sasa!

Sent using kidole gumba
 
Wamemnyamazisha Mange sijui wamefikiana dau gani ila nadhani kawapiga sana hadi sasa haposti chochote kuhusu Corona kutoka bongo licha ya kutumiwa video lukuki
kuna mbinu nyingine zinaweza kukunyamazisha bure tu ndugu yangu ..una kumbuka mambo ya kimeta? tafakari chukua tahadhari
 
Back
Top Bottom