magari

  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini wahandisi wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni ipi hasa?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Kwanini ENGINEERS wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni nini hasa...
  2. Boeing 747

    JamiiForums Tanzania Fahamu tabia za watu kulingana na magari wanayomiliki

    Amini usiamini, aina ya gari unalomiliki linaweza kuelezea tabia yako kwa kiasi kikubwa. Soma hapa: je, wewe tabia yako ni ipi? 1. IST, Raumu, Ractis, Passo, Nissan Tiida, Note, Mazda Demio, Honda Fit, Vitz new model: Wamiliki ya magari haya huwa waangaliku kwa kiasi kikubwa kwani wengi wao...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa napoweza kupata puti za magari kwa bei nafuu

    Wakuu naomba kuuliza ni duka gani Kariakoo naweza kupata katoni ya puti za magari kwa bei nafuu. Natanguliza shukrani.
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Polisi wanayashikilia magari 25 kukiuka amri ya IGP kwa kuyafunga magari yao ving’ora na taa kali

    Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limefanikiwa kuyakamata magari 25 kwa kukiuka amri ya IGP kwa kuyafunga magari yao ving’ora na taa kali pamoja na gari jingine jipya aina ya Probox kukutwa likitumia namba ambazo zipo kwenye gari lingine. Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Jijini Dodoma...
  5. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ya Tanzania ichimbe mafuta yake kabla teknolojia ya kutumia maji, solar na gesi kweye magari hazijafika

    Nina hofu kuwa mafuta yatashuka thamani siku si nyingi hivyo tungechangamka kuchimba mafuta yanayosemekana yamegunduliwa katika bahari ya Hindi. Mfano baadhi ya nchi jirani wameanza kutumia gesi katika magari yao hivyo ni hatari kwa solo la mafuta. Uganda wanaanza kuchimba siku si nyingi japo...
  6. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa magari nisaidieni, ninunue gari aina gani na rangi ipi. Nina milioni 12

    Wapendwa Nina milioni 12, ila nashindwa kufanya maamuzi, ninunue aina ipi ya gari na rangi ipi nzuri, wenye uzoefu mnaojua ambalo halili mafuta na siyo la kuchoka haraka. Asanteni.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Polepole: Nyumbu kuanza kutengeneza magari ya Zimamoto yatakayotumika hapa nchini

    Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema shirika la uzalishaji mali linalomilikiwa na JWTZ liitwalo Nyumbu litaanza kutengeneza magari ya zimamoto hivi karibuni Serikali itanunua magari ya zimamoto kutoka Nyumbu badala ya kuyaagiza nchi za nje kama ilivyokuwa awali Source ITV habari Maendeleo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kama Corona imeisha magari yaruhusiwe kusimamisha abiria, hasa Dar es Salaam

    Amani iwe kwenu wakuu! Kwa heshima na taadhima nimpongeze mheshimiwa Rais wetu kwa utekelezaji wa shughuli zake za kila siku vyema. Lakini pia nimpongeze kwa maamuzi yaliyokuwa magumu na ambayo wengi hatukukubaliana nayo kwanza ya kuruhusu watu waendelee na shughuli zao katikati ya janga la...
  9. KiwandaniTz

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha biashara ya service ya magari

    Naomba kuuliza jamani nataka kuanza biashara ya kufanya service za magari, anaejuwa vitu vya au vifaa vinavyo hitajika kuanzisha hii biashara. Munielewe sio GERAGE. Nitashukuru kwa yoyote mwenye uwezo wa kunielezea.
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Trucks and truckers special thread. Uzi maalum kwa wadau wa magari ya mizigo na wasafirishaji

    Sekta ya usafirishaji wa mizigo kwa kutumia magari (malori) ni muhimu sana hapa nchini na duniani kwa ujumla. Magari ya mizigo yanafika jirani zaidi na mlaji wa mwisho au sokoni ambako meli, reli na ndege haviwezi kufika. Uzi huu ni mahususi kwa kupeana taarifa mbalimbali kuanzia kwenye...
  11. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya watu mnaofanya Computer diagnosis kwenye magari mnawamislead wateja wenu na kuwaingiza gharama zisizo za lazima

    Baadhi ya watu wamekuwa wakifanya OBD2 diagnosis kwenye magari. Ni kitu kizuri na kwa upande fulani kinaweza kurahisisha kutatua tatizo la gari husika hasa ukizingatia kwamba tatizo moja la gari linaweza kuwa na possible causes hata 10. Tools zinazotumika kufanya diagnosis zipo za aina nyingi...
  12. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hajatimiza ahadi aliyoahidi chamani ya $234,757 na magari 500. Wadhamini wake wamemkimbia

    Kinachomponza TAL ni kukosa utulivu, yaani anatakiwa afikiri kabla ya kutenda Aliwaahidi Chamani hela za kampeni ambazo zingesaidia kampeni ndani ya Chama lkn kwa sababu anategemea za kupewa imeonesha kuwa wadhamini wake wamefanya utafiti kuwa uwezekano wa uwekezaji wao kuzaa matunda ni...
  13. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madereva wa Kenya waomba Serikali yao kuingilia kati kumaliza mgogoro na Tanzania

    Trucks caring goods are parked at Isebania border at Kenya customs parking yard on May 19, 2020. Six truck drives from Kenya were denied access to Tanzania, [Caleb Kingwara, Standard] Kenyan truck drivers urge the state to intervene and facilitate their release after being detained in...
  14. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuagizia watu magari

    Wakuu wenye uzoefu na ambao mko ndani ya hii biashara naombeni insights za jinsi ambavyo mna handle clients kuanzia step ya kuwalipisha pesa hadi mnapomaliza biashara husika. Kikubwa nataka kujua nini kinaendelea baada ya kumpata mteja, ni kwamba ana deposit hela kwenye acc. ya kampuni kwanza...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Msinunue Namba za magari badala ya Gari lenyewe

    Nina kagari Toyota IST ambako kana namba CYZ jamaa mmoja alikuwa anakapenda haka kagari kutokana na condition yake na jamaa ni mbahili pia.binafsi nlikanunua sababu ya mamsap awe anaendea salon na sokoni.baadaye akaja akawa anataka Crown "Toyota" so haka kakabaki hakana kazi. Kiukweli gari ipo...
  16. MSHINO

    JamiiForums Tanzania TANROAD Dar mtalipa uhai wa Watu na magari kwa uzembe huu? Au Rushwa imewatoboa macho hamuoni?

    Habari wana jukwaa, Nimeanza na kichwa hapo. leo ni siku ya 4 mkandarasi amekata rami barabara ya Old Bagamoyo Road ili kufanya marekebisho lakini mashimo yalikatwa mengi na makubwa na yana sharp edge, na hakuna tahadhari au onyo yoyote iliyowekwa kuwa kuna ujenzi unaendelea. Juzi usiku kuna...
  17. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Wajapan ubunifu umepungua au kwanini magari haya yanafanana hivi?

    ALLEV vsRUN X HIMO vs COASTER VAUGUARD vs RAV4 Baadhi ya magani ya Mjapan yanatumia injini aina moja kwa magari tofauti Mfano injini ya 1G FE unaikuta kwenye:- GX100 GX110 VEROSA ALTEZA
  18. S

    JamiiForums Tanzania Hivi mashindano ya magari Rally jamaa huwa wamesaini kufa au kupona?

    Maana nilikuwa naangalia hapa mbio hizo za magari huko Ulaya yaliyofanyika 2016, 2018 ni hatari yaani.
  19. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini pamoja na ujio wa Magari mengi na mapya duniani lakini Gari za Mercedes Benz, Rolls Royce, Porsche na Lamborghini zitaheshimika Milele?

    Leo hii sijui Mzukulu nimekumbwa na nini yaani similiki hata Baiskeli au Guta lakini nayazungumzia Magari ambayo sina hata Ubavu wa Kuyamiliki. Lamborghin Mercedes Benz Porsche Rolls Royce
  20. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wataalamu wa Magari Emergency tafadhali

    Wakuu mambo vipi? Natumia BMW E90 2007 (3 Series) sasa nikiwa mjini uwa najaza unleaded ya Total au Puma. Sasa nipo njiani na nilipo sahivi usiku huu hakuna kituo cha karibu cha Puma wala Total. Je, nijaze Petroli yoyote kwa leo tu hakuna tatizo linaloweza jitokeza? Nakutana na pump za...
Back
Top Bottom