magari

  1. Mawio

    JamiiForums Tanzania ENGINE YA TOYOTA LANDCRUISER AINA YA 1HZ INAHITAJIKA!!!..

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji Landcruiser 1Hz Series iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni mbili na nusu (2,500,000/=) Pesa za Ki-Tanzania. Shukrani.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Townace noah sr 40 inauzwa

    karibuni wakuu .uzi huu unajumuisha mkusanyiko wa magari mapya tunayouza. ofisi zetu zipo dar es salaam jengo la quality center barabara ya nyerere road kama unaelekea airport karibuni sana Townace Noah SR40 Year: 1999 Cc: 1990 Color: White Price: 15.8 call: 0715841834 Whatsapp: 0715841834 Tupo...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Uber, Taxify na Rova Dar es Salaam

    Madereva wenye uzoefu na kazi na wanaoijua kazi wanapatikana kwa wakazi wa Dar es salaam ,Dodoma na Mwanza. SIFA ZAO ★Wanajua ufundi wa magari ★Wamepitia mafunzo ya udereva ★Hawana rekodi mbaya ya kutokamilisha hesabu ★wastaarabu ★Wasafi Wasiliana na sisi tunguunganishe moja kwa moja na dereva...
Back
Top Bottom