magari

  1. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi wanapenda kufanya Ngono ndani ya magari yao?

    Ni kwanini Wanaume wengi siku hizi wanapenda sana kufanya Ngono ndani ya Magari yao? Hii tabia siyo tu kwamba sasa imeshazoeleka bali kwa jinsi ambavyo ninakutana nayo sasa ni dhahiri kabisa kuwa imeshaota Mizizi.
  2. MONA WA KYEN

    JamiiForums Tanzania Uagizaji magari used Be foward

    Wakuu habari ningependa kufahamu uzoefu kidogo juu ya uagizaji magari used kWA kutumia mtandao wa be foward. 1. Huwa uinachukua mda gani toka ulipoagiza gari na mpaka unalipata? 2. Unaweza kujua mpaka kodi ya TRA+ gharama za TPA kabla ya kuwalipa pesa ya gari mtandaoni? 3. Kuna usumbufu gani...
  3. Sanitaiza

    JamiiForums Tanzania Uzoefu na Matumizi ya Additives za Kwenye Magari

    Wakuu, Kwanza Eid Mubarak! Naomba kujifunza kutoka kwenu Wakuu kuhusu additives za kuweka kwenye engine au gear box kwenye gari. Kwenye kausafiri kangu, naona kitu kama leakage kwa mbali kwenye gear box. Hivi kuna ukweli kuwa nikiweka additive itazuia hiyo leakage? Sipendagi sana kufungua...
  4. Huntsman

    JamiiForums Tanzania Agiza spea za Magari ya Ulaya aina zote hapa kwa bei nafuu

    habari wakuu? Ninajihusisha na uagizaji wa Spea za magari ya Ulaya... Kwa muhitaji yeyote anaweza kuni PM au akacomment hapa nitakusanya request kisha nitareply kwa Bei zetu. Bei ni nafuu na spea ni Original Kwa sababu ya changamoto ya mtaji hatuna stock bali tunaagiza moja kwa moja Ulaya kwa...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Polisi yakamata magari 6, ofisa usalama ‘feki’

    JESHI la Polisi mkoa wa Dodoma linamshikilia Shaban Wisandala (32), mkazi wa Medeli jijini Dodoma, kwa kujifanya ofisa usalama wa taifa, pamoja na magari sita yaliyokamatwa kutokana na kusadikiwa kuwa ni ya wizi. Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Dodoma...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Magari 1,000 yakwama mpaka wa Tunduma

    Ikiwa ni siku ya pili tangu serikali ya Zambia kufunga mpaka, shughuli zote za mpakani zimesimama, hali iliyosababisha magari yaliyobeba mizigo kama chakula na mafuta kukwama kuendelea na safari. Brigedia Jeneral Nicodemas Mwangela, Mkuu wa Mkoa wa Songwe, jana alifika katika mpaka huo uliopo...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Madereva wa magari ya mizigo kupata majibu ya covid 19 ndani ya dk 45

    Serikali ya Uganda imeanza kutumia mashine za GeneXpert mipakani, ili kuwapima madereva wa magari ya mizigo kabla ya kuingia nchini humo Taarifa kutoka Wizara ya Afya imesema kumekuwa na ongezeko la maambukizi kutoka kwa madereva wa magari ya mizigo Taasisi ya Utafiti wa Virusi ya Uganda...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nielewesheni; Magufuli alisema hatutafanya lockdown kwani nchi jirani zinategemea bandari zetu, nchi jirani zinazuia magari toka kwetu kuiingia kwao!

    Mara nyingine nashindwa kuelewa kama mie ndio mwenye tatizo la kuelewa mabo au ni wale ninaowasikiliza wenye tatizo hilo. Hap nyuma tuliambiwa kwamba hatutakuwa na lock down kwa ajili ya corona kwa kuwa nchi jirani zinatutegemea kuwafikishia bidhaa zao. Hata mifano ikatolewa ya Rwanda, Zambia...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Amri itoke magari yatumie gesi

    Tanzania inayo gesi nyingi lakini uagizaji wa mafuta bado uko juu. Hela nyingi za kigeni bado zinahitajika kuagiza mafuta. Kwanini Tanzania tusifanye maamuzi magari magumu ya kubadilisha magari yote hasa yake madogo nchini kuanza kutumia gesi yetu badala ya mafuta ya petrol? Tunaweza kuanza na...
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Mbona Magari ya wagonjwa yamekuwa mengi usiku siku hizi?

    Hapa nimelala nautafuta usingizi kila nikijigeuza nasikia King'ora Cha gari ya wagonjwa inapita duh. Kila Muda mchana unajua inakuwa ngumu kusikia sn unachukulia poa ila usiku toka nimelala ni gari la 3 nasikia linapita nje. Hii Corona itasomba watu aisee ni hatari hali ime-change ghafula hata...
  11. KITAU TRANSPORT AND GPS

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Funga GPS kwenye magari, pikipiki yako na komesha wizi

    Habari Wadau wa Jamii Forum, Nimeanzisha biashara ya usalama wa vyombo vya moto kupitia GPS na ninahitaji support yenu. Kama mnavofahamu, biashara katika sector ya usafiri imepamba moto nchini.Lakini palipo na biashara hapakosi changamoto. Wizi wa vyombo vya usafiri kama Pikipiki, Bajaji...
  12. hp4510

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna fundi mzuri wa magari ya Nissan?

    Jamani leo asubuhi nimeona jambo la ajabu kwenye gari yangu Pale kwenye top cover Kuna vuja oil ambayo inaenda kuungua chini na kutoa Moshi mwingi Sana So please wandugu kama kuna mtu anajua fundi mzuri wa hizi Nissan teana au gereji mzuri naomba connection
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Dar es Salaam tumetenga hospitali 25 kuhudumia wenye dalili za Corona na mh Rais Magufuli ametupa magari ya wagonjwa 20 yote mapya

    Mkuu wa mkoa wa DSM Mh. Makonda amesema mkoa wake umetenga hospitali 25 jijini zikiwemo zile za Rufaa na baadhi ni binafsi ili kuhudumia watu wote wanaojihisi wana dalili za corona. Makonda amesema ukifika katika hospitali hizo utapimwa magonjwa mengine yote na ukionekana uko salama ndipo damu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania NEC yakabidhiwa magari 12 maandalizi Uchaguzi Mkuu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama amekabidhi magari 12 kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ambayo ni sehemu ya magari 20 yalionunuliwa na tume ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu...
  15. nentewene

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri hapa ipi nichukue kati ya volkswagen up na passo?

    Habari wakuu, nilikua napenda kuchukua hii german car , volkswagen up ya 2012- coz ina cc ndogo(1000) pia nimependa muonekano. wasiwasi sijawahi ziona bongo kwahiyo sinahakika kama mafundi wako vizuri kweny hivi vigari. Naomba ushauri wenu au nipambane na Passo tu?
  16. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Yajue Magari 5 yanayoongoza kuuzwa bei ghali

    Bugatti la voiture noire, inatajwa kuwa ndiyo gari ya gharama kubwa kuliko gari zote duniani, ikiuzwa kwa Dola 19 milioni za Marekani sawa na Sh43.7 bilioni. Gari hiyo inayotengenezwa nchini Ufaransa, ina uwezo wa kufikia spidi 300 ndani ya sekunde 13.3 na ina uwezo wa kukimbia kilometa 465...
  17. dubu

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa maswali na masuala mbalimbali yahusuyo Kodi, ushuru na masuala mengine yanayowahusu TRA

    Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge na 11 ya mwaka 1995, na ilianza kufanya kazi tarehe 1 Julai 1996. TRA ndio wahusika wa mambo yote yanayohusisha kodi mbalimbali za Serikali Kuu na Ushuru mbalimbali. Uzi huu ni maalum kwa ajili ya matatizo mbalimbali...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wakongwe wa magari msaada tafadhali

    Nimeenda kwa fundi (Hapa Arusha) akaniambia gari yangu (VX-Diesel ya 2000 & Manual) imekufa vifaa vifuatavyo; 1. Booster ya Break (tatizo: ukikanyanga break gari ikiwa on inafanya kama inapiga mluzi (mpaka ukanyage na break pedal ifike nusu ya kugonga kwenye bati ndipo hunyamaza), ila break...
  19. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Jiajiri kwa kuwa dalali wa kuuza Magari

    Je unafahamu kwamba Watanzania wanaagiza Magari kupitia mitandao?Je unafahamu kwamba pia wapo watanzania ambao wanauza magari yao ambayo ni used in Tanzania?Je unafahamu kwamba hii ni fursa kwako wewe kuingiza kipato cha ziada kwa commission Jifunze leo kuhusu namna biashara hii inavyofanya na...
  20. anti-negative energy

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana taa za barabarani kuongoza magari kuliko kukaa trafiki?

    WANAJAMVI, hebu leo tujumuike kujadili hili swala la barabarani ambalo imekua kero kwa muda mrefu sana. Kitu kimoja ambacho mimi huwa kinanitia hasira ni jinsi traffic wanavocontrol juntion kwa upendeleo, yani kama wale tunaopita njia ya morrocco kwa kuelekea kawe ni matatizo mkuu, unaweza kukaa...
Back
Top Bottom