Trafiki wamekuwa kero hasa kipindi hiki cha Uchaguzi ambacho viongozi wote wa serikali wamekimbilia kwenye majukwaa ya siasa. Wamefanya mradi kwa daladala, kila ukipita umwachie 1000 au 2000 bila hivyo anakuandikia elfu 30000.
Zipo video na picha zinazoonyesha namna wanavyokusanya mapato...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini kusiwe na mfumo ambao utawezesha, licha ya kwamba engine imewashwa kwa funguo, lakini bado gari itagoma kuwaka mpaka utakapochomeka pia leseni yako ya udereva?
Yaaani kunakuwa na direct contact baina ya...
Ukiachana na mambo ambayo watu wengi wanaangalia wanaponunua magari used ambapo mengine ni madogo. Kuna mambo ambayo huwa ni ya kiufundi zaidi ambayo huwa ni vizuri pia yakaangaliwa. Kwa watu ambao wameshawahi kununua magari na yakawasumbua sana wanaweza kuelewa vizuri zaidi ni kitu gani ambacho...
Mambo vipi wakuu,
Jamaa yenu hapa ninayo shauku kubwa ya kujifunza kutengeneza magari pamoja na pikipiki kwani maisha niliyo nayo mara baada ya kutoka chuo hayasomeki hivo nimeona ni vema zaidi nikapata japo ufundi stadi ambao utaniwezesha kupata riziki ya kuishi wakuu.
Lengo langu ni kupata...
Salaam,
Nashangaa watu wanalalamika eti CCM inabeba watu kwenye Malori. Kwahiyo mtu kumsaidia kufika sehemu husika tatizo liko wapi?
Sisi tunajali wanachama wetu na hatutaki wapate tabu. Hivyo tutawabeba kwa kila aina ya usafiri tuitakayo. Iwe lori, Guta, Basi au Baskeli muhimu wafike eneo la...
Imenenwa katika kitabu cha Mithali katika Biblia katika sura ya 14:34 ikisema hivi nanukuu " Haki huinua Taifa na dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu.
Tumemsikia wenyewe IGP Sirro akitutisha watanzania kuwa Jeshi lake la Polisi liko imara na linafanya mazoezi ya nguvu ili kupambana...
Wakuu,
Kuna shida gani na haya mabasi kila mara ni kupigwa mkono weka pembeni nusu saa au lisaa lizima.
Kama hamtaki wawe wanasafiri futeni vibali vya magari kama ndio hivyo, ni mambo yasio na maana.
Mnachelewesha abiria wasio kuwa na kosa lolote.
Asante
Ajali nyingi zitokeazo watu wamekuwa wakipoteza maisha hasa ktk magari yenye bonet 'pua'Kama niliyoyataja hapo juu.sasa nini kifanyike kuepusha ajali?
Inabidi kati ya bonet na anapokaa dereva ziwepo spring ngumu za vyuma zile za mzunguko zinazoweza kubonyea ikitokea mgongano zisizopungua kumi...
Habari wadau!, natafuta dereva wa magari ya mizigo anayekwenda kenya,ambaye anayeweza kunichukulia mzigo wangu kidogo kutoka nairobi kuleta Tz,anitext +255687234549,tutaelewana.
Nenda ulizia viwanja, matrekta, nyumba na n.k unaona kabisa hii kuipata sio leo lakini jitahidi muda fanya hivyo acha kukaa kizembe unafikiri hela zinakujaje.
Inatakiwa uuchangamshe umaskini wako na watu mijini humo unapoishi wawe kidogo na wasi wasi na wewe waone huyu mtu sio mchezo mchezo...
Nilikuwa namsaidia mtu kutafuta ist au raum au run x iliyotumika nchini, bajeti ilikuwa 6.5 to 7m. Nikajisemea kwa bei hii atapata gari ambayo itakuwa imetumika mwaka au miaka miwili nchini na itakuwa nzuri tu.
Matokeo yalinishangaza kidogo. Ukitaka kununua Gari iliyotumika hata 5 years nchini...
Kwamba eti ukiwa unaendesha Gari, umebeba Watu/ Abiria na uko mwendo mkali sana ( bati kinoma ) kisha ukaona Mtu anakatisha mbele yako iwe kwa Miguu au akiwa katika Baiskeli au Pikipiki 'Sheria' inakuruhusu kuwa kuliko 'Kujihatarishia' Maisha yako na ya wale 'uliowabeba' basi 'uwagonge' na...
Raisi Magufuli amefanya kosa kubwa sana kuagiza kwamba magari yaliyotaifishwa kuhusiana na kesi za uhujumu uchumi yagaiwe kwa taasisi za Serikali kwa sababu mbili kubwa zifuatazo;
Haya magari mengi ni ya zamani sana, zaidi ya miaka 10, na mengi yalinunuliwa kama used vehicles. Wamiliki binafsi...
Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai
Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...
Tupigie 0743 916 262 kwa huduma za
Services za Engine pamoja na vilainishi vyake
Services za Gearbox pamoja na vilainishi vyake
Diagnosis
Kunyoosha Body na Kupaka Rangi
Tunapatikana Madale 6 pub njia ya kwenda Atlas Schools
Mfano kuna mdada hapa street jirani yetu lakini tukikutana huko town unamwona kwa ndinga tofauti kila weekend hadi inafika time watu wanasema anautumia mwili wake vyema kwa vigogo lakini kisomi zaid imebidi tuconclude yawezekana ana mishe mishe zake hatuzijui na venye wanawake wa sasa wamekuwa...
Habari wakuu.! Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunashonea seat za magari zilizoharibika, dashboard zilizoharibika, roof za magari aina zote, kwenye milango ya magari.
Tunapatikana salasala-Mbezi beach. Unaweza ukatucheki what's up au kutupigia moja kwa moja. 0679478758
Imagine nikiwa mdogo nliambiwa ETI Range rover haziruhusiwi kupaki benki, kwa sababu eti zina speed kali kwa hiyo zikitumiwa na majambazi kupora, polisi hawawezi kuzifukuzia wakazipata.
Halafu pia eti, Range rover huwa hazipinduki, eti kwa sababu tairi zake huwa zinatanuka gari ikitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.