pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 691
- 878
Salaam,
Nashangaa watu wanalalamika eti CCM inabeba watu kwenye Malori. Kwahiyo mtu kumsaidia kufika sehemu husika tatizo liko wapi?
Sisi tunajali wanachama wetu na hatutaki wapate tabu. Hivyo tutawabeba kwa kila aina ya usafiri tuitakayo. Iwe lori, Guta, Basi au Baskeli muhimu wafike eneo la tukio. Hata nyie bebeni wenu.
Tusipangiane wala tusifokeane. Uchaguzi ndo huu, na sisi ndo sisi waasisi. Kisa Uchaguzi eti tuwaache wanachama wetu wahangaike, haiwezekani. Magufuli hoyeee?? Mitano tena by power by force.
Kuna mtu mwenye swali? Karibu niwajibu. Kama nma hela na nyie Kodini Magari tuine kama mnaweza.. Imekula kwenu Mazee