GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,556
- 108,897
Kwamba eti ukiwa unaendesha Gari, umebeba Watu/ Abiria na uko mwendo mkali sana ( bati kinoma ) kisha ukaona Mtu anakatisha mbele yako iwe kwa Miguu au akiwa katika Baiskeli au Pikipiki 'Sheria' inakuruhusu kuwa kuliko 'Kujihatarishia' Maisha yako na ya wale 'uliowabeba' basi 'uwagonge' na Maamuzi ya kwenda 'Kuripoti' Kituo cha Polisi cha karibu au Kuusikiliza 'Ubongo' wako utakavyoamua kama 'usepe' zako tu mazima unayo Wewe.
Nayasubiri kwa hamu sana Majibu yenu Wakuu (Wadau).
Nayasubiri kwa hamu sana Majibu yenu Wakuu (Wadau).