Wakuu Poleni na pilika za maisha,nilitaka kujua endapo kuna mtu anaifaham kampuni ya kuuza Magari inaitwa SaKuraMotors nimeona gari nzuri kwao nilitaka kuiagiza lakini hawana ofisi bongo je kuna watu mmewahi kufanya na huwa jamaa biashara?ni waaminifu ?maana matapeli wamekuwa wengi..Natanguliza...
Meneja Mawasiliano wa EWURA, Titus Kaguo, Alisema mtu anapokwenda kujaza mafuta anapaswa kuhakikisha kwenye pampu inasomeka alama 00 ndipo aanze kujaziwa mafuta, vinginevyo anaweza kuibiwa.
“Mfano kama kuna mtu kapita hapo kajaza mafuta ya 20,000 na wewe umepita unataka kujaza pengine 50,000...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika (Tanzania) zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?
Ukiwa upo katika foleni ya magari barabarani, jaribu kufanya tathmini ya haraka...
Moja ya vitu ninavyoangalia katika kutathmini mvuto wa gari ni dashboard au sehemu ya mbele ya gari pembeni ya usukani.
Mercedez Benz na BMW ni magari yanayoheshimika sana na yamebaki na quality zake ya ubora ikiwemo brand zinazothaminiwa, engine na uimara kwa miaka mingi.
Kwa muonekano wa...
Hili suala la kuwapa wabunge mamilioni ya fedha kwa ajili ya wabunge lifutwe kabisa.
Miaka ya utawala wa awamu ya kwanza na pili serikali ilikuwa inatoa gari kwa kila jimbo kwa matumizi ya mbunge na kipindi ubunge unapoisha gari linabaki kwenye jimbo kwa matumizi ya mbunge anayefuata.
Haya ndio magari ninayo yakubali kuliko magari yoyote iwapo ningekuwa nina mihela kwenye yadi yangu yasingekosekana.Ninapenda magari mapana yenye body kubwa na pia yale imara na magumu ambayo yapo toka enzi kama Landrover 109 na 110
1)Landcruiser vx au gx
2)Landcruiser Hard top...
Iko hivi...
Wenye magari wengi tunapopeleka magari hayo kwa waosha magari (Carwash)!
Haina maana sheria za usalama barabarani zinakoma ukiwa eneo la Carwash!
Sheria inampa mamlaka traffic kuingia hata Carwash kukamata magari yanayosogezwa na waosha magari wasio na leseni ya udereva!
Tufahamu...
Makampuni ya kutengeneza magari hutengeneza Engine au Gear box mpya kwa ajili ya spare kwa magari yatayoharibika?
Biashara nyingi hufanyika kwa engine na gearbox used! Kama hawatengenezi ni kwa nini?
Tunatoa huduma ya kukodisha magari Aina ya Alphard kwa matumizi mbalimbali Kama vile:
1. Tours
2. Harusi
3. Sendoff
4. Kusafirisha Misiba
5. Picnic & Safari za kifamilia
6. Airport pick up
7. Safari za Kiofisi
8. Safari Binafsi
Location: DSM
Call/Whatsapp 0788457446
DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd.
Pia soma...
Toyota HARRIER [D.J.M]
Year : 2006
Capacity : 2360cc
Mileage : 89,000kms
Price : 17.5M
Location: Mbezi Beach
Call : 0717436363
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Endapo baadhi ya matatizo yatatokea katika gari lako hasa matatizo ambayo yanagusa mifumo ya muhimu katika gari lako basi mfumo wa kompyuta wa gari lako utaizima baadhi ya mifumo ambayo si ya muhimu ili kulifanya gari lako lisiendelee kupata uharibifu mkubwa zaidi.
Dalili kuu kwa gari yako...
Jana niliweka video humu ikionyesha Tundu Lissu kuzuia njia kwa magari yake ili kivuko kisiweze kushusha abiria na mizigo. Wapo waliosema kuwa nilikuwa nadanganya umma. Haya fuatilieni video hapo chini watu wanalalamika kuwa maiti zao zinachacha kwenye kivuko.
Habari wakuu; ninataka kufunga tracking system kwenye gari yangu ndogo ambayo naikodisha. Nimegoogle nikapata kampuni kadhaa hapa (Cartrack, U-track, Afritrack, Wetrack). Ninaomba wenye uzoefu na hizi kampuni wanisaidie ipi hapa iko poa zaidi. Na kama kuna kampuni zingine pia naomba mapendekezo...
Hii ni Diagnosis ambayo inacover mifumo yote ya gari yako tofauti na OBD2 ambayo kwa mashine nyingi huwa inacover tu faults za engine japo ilitakiwa kucover power train yote(Yaani Engine na Automatic gearbox).
Hapa chini nimescreenshot baadhi tu ya mifumo ambayo inakuwa covered na Fully system...
Kwanza niwaulize hao wanaouzulia mikutano yenu wanatokea umbali gani? Kama wanatokea nje ya miji au katikati ya miji wanatumia nauli zao au zenu?
Mna uhakika gani kama wamejiandikisha au lah!, mnajuaje kama wote wamekuja kwa lengo la kuwapenda maana watanzania ni kawaida yao kuhudhuria...
Trafiki wamekuwa kero hasa kipindi hiki cha Uchaguzi ambacho viongozi wote wa serikali wamekimbilia kwenye majukwaa ya siasa. Wamefanya mradi kwa daladala, kila ukipita umwachie 1000 au 2000 bila hivyo anakuandikia elfu 30000.
Zipo video na picha zinazoonyesha namna wanavyokusanya mapato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.