magari

  1. Utunzaji wa Magari ya Serikali

    Huwa inaniuma sana ninapo pishana na magari ya serikali, madereva wengi (sio wote) hawafuati sheria, uendeshaji wao sio wa kujali utunzaji wa haya magari. Haya magari yangekuwa yanatunzwa vizuri both na taasisi lakini pia na madereva wenyewe yangepunguza gharama kubwa zinazotumika kwenye...
  2. Magari yanayopaa kuanza kutumika 2030

    Kampuni ya Hyundai imesema imepiga hatua kubwa katika kutengeneza magari yanayoweza kupaa, na kuwa ndoto yake ya kuwa na magari hayo inaweza kutimia kufikia mwishoni mwa muongo huu. Kampuni hiyo ya Korea Kusini imesema ina matumaini kuwa usafiri wa magari ya anga unaweza kuwa fursa kubwa ya...
  3. Dar: Polisi Wamekamata yale Magari na Pikipiki Zilizoibwa, Watuhumiwa 60 watiwa Korokoroni

    Oparesheni kali iliyotangazwa dhidi ya majambazi, wanaotumia silaha na wahalifu wengine imefanikisha kupatikana kwa silaha mbili aina ya Bastola ambazo zote zilikuwa zikitumika kutendea vitendo vya kihalifu Oparesheni hii inajumuisha vikosi vyote vya Jeshi la Polisi na matokeo yake yamezidi...
  4. W

    Tunauza vifaa mbalimbali vya magari

    Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
  5. S

    Fundi umeme wa magari natafuta ajira. Nimehitimu Veta, nina uzoefu wa kazi kutoka Gereji mbalimbali

    Mimi ni mhitimu wa veta pia Nina ozoefu wa kufanya kazi kwenye garage mbalimbali. natafta kaz kwenye garage, kiwanda au sekta yeyote hle Napatkana kw no za simu 0626645648 & 0714624097 Email: sylivesterstephano66@gmail.com
  6. Naomba kufahamishishwa kuhusu ajali iliyohusisha magari yanayoenda Songea

    Wakuu salam, Nimepata ujumbe wa SMS kutoka kwa namba ya ndugu yangu unaoonyesha kuwa amepata ajali akielekea songea, nimejaribu kupiga simu haipokelewi lakini ujumbe wa SMS umetaja jina lake na ni kweli alikuwa anasafiri kwenda songea jumamosi ya tarehe 26/6/2021. Naomba kupata taarifa zaidi...
  7. Morogoro: Magari sita ya abiria yakamatwa yakiwa na misiba feki

    JESHI la Polisi mkoani Morogoro limekamata mabasi sita yakisafirisha abiria yakiwa na mashada ya maua kuashiria yanasafirisha majeneza yenye miili ya marehemu wakati ni uongo. Mabasi hayo madogo yalikamtwa usiku wa kuamkia jana katika kizuizi cha polisi kiliyowekwa eneo la Kingolwira katika...
  8. H

    Magari ya kubeba mizigo kupeleka mikoani hupatikana wapi , Dar es Salaam?

    Naomba kuelekezwa magari ya kubeba mizigo kupeleka mwanza hupatikana maeneo gani kwa Dar. Na gharama zake zipoje?
  9. Naomba kufahamu wizi wa magari unafanyikaje

    Habari wakuu. Kuna kitu hua nashindwa kukielewa hasa wizi wa magari. Je wizi wa gari unafanyikaje kama gari imefungwa. Je unakutamwizi ana funguo ya ziada ama nini kinafanyika. Je kwa gari ambazo ni keyless za push to start pia zinaibiwaje maana nyingine kama hujaingia na ufunguo haiondoki...
  10. Ushauri wangu kwa Madalali wa Magari

    Sijajua kama na tabia za madalali wa vitu vingine zipo hivi. Lakini nmewalenga sana madalali wa magari. 1. Lower your expectations. Huwa mnakuwa na matarajio makubwa sana mkishapata mteja. Mwisho wa siku biashara isipofanyika maneno yanakuwa mengi. 2. Uzima wa gari siyo muonekano. Uzima wa...
  11. F

    Wazoefu wa Bima ya Magari: Je, ukinunua online sticker unafata wapi?

    Habari wadau.. Gari limeisha bima leo na niko bush hakuna ofisi za kampuni za bima.. nataka ninunue online kwa sim banking.. Ila najiuliza sticker naipataje? Maana kesho narudi mjini sitaki usumbufu wa traffic njiani
  12. Uzi maalumu wa magari makali world wide

    Karibu hapa uweze kushare pamoja nasi picha za magari mazuri sana. Unaweza kuweka picha ya magari unayoyahusudu au una ndoto siku moja uweze kuyamiliki siku ukibahatikiwa kuwa Mond au laizer. Karibu sana tuburudishe macho na tuelimike. Mimi naanza na huu Mnyama cadillac escalade nauelewa sana...
  13. Operesheni dhidi ya magari mabovu kuanza Juni 6, 2021

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ameelekeza Makamanda wa Polisi nchini kufanya operesheni dhidi ya magari mabovu ambayo hayapaswi kuwepo barabarani rasmi kesho, ili kuwahakikishia usalama watumiaji wa vyombo vya moto na kuepuka ajali za barabarani. IGP Sirro amesema hayo leo...
  14. Madalali wa magari wanavyochelewesha biashara

    Unajua moja ya mambo yananikera kwa muda mtefu ni tabia za MADALALI sio kuuza vitu bei juu hapana nikuchelewesha BIASHARA kwasasa mimi natafuta gari IST au Vitz bajeti 6mil. Lakini nakutana na gari Haina ubora Bei ipo juu najiuliza hivi kweli muuzaji yaani mwenye gair ndio anauza bei hiyo...
  15. Ni gereji gani mzuri Moshi kwa kunyosha magari

    Wakuu igweee Nina gari yangu fuso tani 20 imepata ajari pale mitaa ya Kibaha Sasa nataka kwenda kunyosha na nimeambiwa na watu gereji mzuri ziko Moshi So kwa watu wenye uzoefu tafadhari sana naomba mnisaidie kujua ni gereji ipi ina kiwango kikubwa na mafundi wazuri
  16. S

    Askari huyu wa Usalama Barabarani anayeongoza magari kwa mbwembwe anafurahisha wengi

    Kuna huyu trafiki anaeongoza magari kwa mbwembwe(huku anachezacheza) anaonekana kuvutia na kufurahisha watu wengi. Sijui ndio kuipenda kazi yake au laa, ila anachofanya ni kuwafanya watu wengine wanaomuona kupenda kazi zao hata kama wanazifanya katika mazingira magumu kwani anaonesha kuipenda...
  17. M

    Bunge/Waziri Mkuu: Limulikwe genge la kifisadi, rushwa linalojiita ni kamatakamata ya magari jijini Dar kwa visingizio vya kudhibiti uhalifu barabara

    Waheshimiwa wawakilishi, viongozi wa taifa, hoja hii inafikishwa kwenu kwa kile kinachoonekana kuwa hakina mfuatiliaji jijini Dar. Hiki ni ile kero inayowasibu madreva wa magali binafsi inayosababishwa na genge la kamatakamata ya magari barabara za mitaa ya jiji. Hili genge huibuka na kupotea...
  18. M

    Mafunzo kwa Mafundi Magari waliokuwa ndani ya Kituo cha Mabasi cha Magufuli yatolewa

    JESHI la Polisi kitengo cha Usalama barabarani, limetoa mafunzo kwa mafundi magari waliyokuwa ndani ya Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam kwa lengo la kuwafundisha jinsi ya kutambua vifaa ambavyo vipo kwenye magari hayo. Mafunzo hayo yametolewa leo Mei 29, 2021 na Mkuu wa...
  19. Majina ya Magari ya TOYOTA Na maana yake

    MAJINA YAMAGARI YA TOYOTA NA MAANA ZAKE. Kampuni ya Toyota ilianzishwa na mtu anayeitwa toyoda na si Toyota kama wengi wanavyofikiria . mwanzo ilikuwa ikijulikana kwa jina la katakana . kampuni ya Toyota ni ya mtu na famila yake . katika ukuaji wa biashara , katakana co.ltd , ilibadilishwa ...
  20. A

    Mahekalu na magari ya Marais wastaafu yarudishwe serikalini

    Nchi hii tunaenda wapi? Mambo haya ya kupeana mahekalu na magari vipi? Tizama wananchi wengine wanavyoishi, nyumba hawana au baiskeli ndiyo ndoto tu. Hii sharia inaweza kufutwa kabisa ni mbovu. Hawa walikuwa na mawaziri halafu urais hivi kweli hawana numba zingine? Hii sharia inasemaje, ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…