magari

  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro akanusha taarifa za uvamizi wa magari katika Daraja la Selander, Dar

    Kamanda Muliro akanusha taarifa za uvamizi wa magari katika Daraja la Selander, Dar
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nani wa kulaumiwa: BeFoward au kampuni iliyouza gari?

    Jamaa yangu alinunua gari kwa njia ya mtanda kisha akatumia kampuni ya Befoward ili ku clear na kumfikishia mahala alipo. Ukweli ni kwamba alifikishiwa mkoani mahala alipo ila gari ilikuwa imenyofolewa vipuri muhimu kiasi kwamba ametumia ghalama kubwa sana kuiweka gari hiyo katika hali nzuri ya...
  3. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Teknolojia za wizi wa magari. Usiache kupitia hapa kujifunza

    Uzi huu upo kwa ajili ya madhumuni ya kujifunza, Lengo ni utambue hatua za ziada za kuzifuata ili uweze kulinda gari lako. Zipo Tech nyingi ambazo zinatumika kwenye wizi wa magari, Hapa nazungumzia tech ambazo mtu anaweza kuwasha na kuondoka na gari lako kwa muda usiozidi dakika moja. Tech...
  4. BVR 2015

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Barabara ya Morogoro kwenda Dar es Salaam haipitiki kutokana na msongamano wa magari kuanzia Kibaha hadi Chalinze

    Wasafiri ambao wanaenda mkoani kupitia barabara ya Morogoro kuanzia Kibaha hadi Chalinze kwa jioni ya leo haipitiki kutotokana na foleni iliyosababishwa na ujenzi unaoendelea katika mlima wa Mlandizi. Matokeo ya kufunga barabara upande mmoja umesababisha mwingiliano wa magari na kufunga njia...
  5. Digxam-TZ

    JamiiForums Tanzania Uliza Chochote Kuhusu Magari ya Mitsubishis Fuso Canter Pamoja na Spare zake

    Kama unatafuta Mitsubishi fuso au Canter gari madogo , pamoja na Spare zake kutoka Japana wasiliana nasi kupitiana namba hii chini pia Spare za mtumba zenye ubora zipo aina ya Fuso na Canter utapata . Tuambie aina ya Spare unayotaka au Gari gani unataka nikupe bei serous buyers wasiliana...
  6. Buda95

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Subwoofer za magari na bajaji zinapatikana hapa

    Subwoofer yenye Amplifier ndani -Inch 10' -Watts 1000 -Mdundo kama wote[emoji344][emoji344][emoji344] Kwa ajili ya Gari[emoji593] lako au Bajaji Zinapatikana Bei 100,000/= Delivery ipo Ukihitaji kwa Waliopo Dar, Mikoani Tunatuma Pia WhatsApp & Calls 0714122948
  7. luangalila

    JamiiForums Tanzania Driving schools nyingi wana magari yamechoka

    Wadau habari zenu KWA utafiti mdogo niliofanya lwa kutazama pindi ninapokuwa njian kutelekeza ktk mishe mishe zangu nimeona driving school nyingi gari za kufundisha unakula body imechokaaaaa ...yaan una shangaa hii gari nayo ina faa kutembe barabarani ? Kuna ka chuo ka wahindi kako upanga...
  8. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Kuagiza (import) Magari umepanda Kinyemela?

    Nilikua najichanga angalau niagize BMW X3 ili niokote watoto wa Chuo kiulaini. Sasa kabla sijalipia Be Forward nikasema nichungulie Calculator ya TRA nimekutana na Maumivu yaani BMW X3 ya 2013 (CIF 9,656 USD) mikodi ya watoza ushuru inafika 12m hapo bado port charges etc. Huu ushuru mbona...
  9. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Gari yako ikifikia hatua hii kauze tu kwawanaokata magari

    Kinyume cha hapo hakuna rangi utaacha kuona. Hizi ndio zile Mercedes Benz zinauzwa 2m unahisi km umeangukia dodo. 😂😂😂
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China yaanzisha kiwanda cha kutengeneza magari ya betri nchini Rwanda

    Kampuni ya China ya Tailing Electric Vehicle imeanzisha kiwanda cha kutengeneza pikipiki na baiskeli za magurudumu matatu nchini Rwanda kwa nia ya kuchangia kupunguza hewa chafu duniani na kukuza uchumi wa kijani. Kiwanda hiki kilichopo eneo la viwanda la Gahanga, wilayani Kicukiro kimeanza...
  11. Darmian

    JamiiForums Tanzania Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

    Wakuu heshima kwenu. Naomba tu kuuliza japokuwa najua kufuatilia mambo ya watu sio mchongo wala nini. Huwa naona vibendera vya taifa la Israel kwenye magari ya watu ambao naamini kabisa ni Wabongo wenzetu. Sasa wakuu naomba tu kuuliza what is the motive behind this? kunakuwa na affiliation...
  12. No SQL

    JamiiForums Tanzania "AUCTION HOUSE JAPAN'' Naomba uzoefu wenu kuhusu huu mtandao wa kuuza magari japan

    Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na hao jamaa wa AHJ nikaona offer zao sio mbaya sana, sasa wadau wa kuagiza magari, naomba 123 kuhusu huu mtandao.
  13. Heci

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Magari amazing ya zamani hadi sasa

  14. polokwane

    JamiiForums Tanzania Napata wapi dalali wa magari (used) ambaye ni muaminifu na anakulengesha kwenye gari nzuri

    Shida ndio hiyo kwanye mada.kama kuna anaye mfahamu dalali au kampuni inayo uza magari used na bei nzuri sio used kutoka japan iwe used hapa hapa home , used zabjapan bei imechangamka Maeneo iwe Mwanza, Dar, Arusha au Dodoma
  15. Leak

    JamiiForums Tanzania Watanzania na madereva wa Magari wameigeuza barabara ya njia nane (Morogoro Road) kwa makusudi na kujitakia! Tujiandae na maafa pale stendi ya Mbezi

    Habari! Pamoja na kazi nzuri iliyofanywa na serikali kujenga barabara ya njia nane Kimara-Kibaha lakini ukweli ni kwamba watumiaji wa barabara hii wananchi na madereva wameamua kuigeuza barabara hii kama machinjio! Barabara hii kwa sasa hawezi pitisha wiki au siku tatu haijamwaga damu za watu...
  16. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Ney wa Mitego awacheka wasanii wanaopewa magari na lebo

    Kutoka kwenye insta story ya Rapa Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameandika; “Yani kujifanyaga mnawapa magari ooh label kubwa alau mkishindwana mna wapokonya magari yenyewe tena wasanii kwa wasanii. “Ndio mjifunze wasanii wapenda magari ya bure wakati mna vipaji na wakati mkikomaa mnaweza...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi wa madereva wa magari ya umma

    Wengi ni mashahidi jinsi magari ya umma hasa za Serikali yanavyoendeshwa kwa kasi bila hatua yeyote kuchukuliwa. Magari kama V8, Landcruiser hardtop yanaendeshwa kwa spidi inayozidi kilomita 200 kwa saa huku askari wa barabarani akisimama pembeni mwa barabara na kuangalia tu na hata kuipigia...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Madereva mnaotokea njia ya Kaskazini msiendeshe magari kizembe

    Nije katika mada, jana nimeshuhudia uendeshaji wa magari wa kizembe mno mno kwa madereva watokao njia ya Moshi. Madereva hao wazembe karibu wanisababishie ajali tatu. Yaani mtu ana overtake kizembe sehemu isiyo stahili huku wakiwa wanashindana kukimbiza magari, seriously? Na wengine yawezekana...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Hayo magari yalikuwa ya nani na kwanini baada ya ufichuzi ule aliyekuwa Katibu wa chama kile aliandika barua ya kujiuzulu?!

    Hayo magari yalikuwa ya nani?! Kwa nini TRA ilitishwa kwamba ni ya ofisi ya Rais ilhali anuani haikuwa siyo?! Kwa nini Kamishna wa TRA wakati ule aligwaya kuchukua hatua?! Kwa nini Ikulu ya 2015 haikuchua hatua za kuyakana magari yale kwa kuingizwa nchini kwa ulaghai ni ya Ofisi ya Rais...
  20. Hans wilson

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva wa magari madogo na makubwa aina yoyote Nina leseni C1, C2, C3, D, E

    Natafuta kazi ya udereva wa magari madogo na makubwa aina yoyote Nina leseni C1,C2,C3,D,E NA NAUJUA UFUNDI VIZURI NA NIMESOMA VETA NANIMEMALIZA KIDATO CHA NNE NANIMEFAULU. KWA MAWASILIANO (0682600567). BARUA PEPE , hanswilson222@gmail.com.
Back
Top Bottom