magari

  1. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, maamuzi yapi sahihi nikikutana na hali hii barabarani?

    Naomba kujuzwa: kuna Kivuko (Zebra) na taa za kuongoza magari. Je, Ikiwaka taa ya kijani, NISIVUKE, NIWASUBIRI WATU WAVUKE? AU WAO WANISUBIRI MIMI? Niwapo barabarani huwa Najiuliza Sana juu ya hili, mwenye ujuzi WA uhakika, ANISAIDIE.
  2. J

    JamiiForums Tanzania TBS: Warsha ya Wadau wa vipuri na karakana za kuunda na kutengeneza magari

    TBS: WARSHA YA WADAU WA VIPURI NA KARAKANA ZA KUUNDA NA KUTENGENEZA MAGARI Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Dkt. Athuman Y. Ngenya amefungua warsha kwa wadau wa Vipuri vya Magari na wamiliki wa karakana za kuunda na kutengeneza Magari. Warsha hiyo inafanyika hii leo Tarehe 4...
  3. Hero

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa bima za kampuni za ajali za magari tuonane😠

    Jamani, kumetokea utitiri wa kampuni za bima za magari nyingi sana nchini kiasi kwamba na makanjanja wamepetia humo humo. Makampuni haya ni mepesi sana kupokea hela kutoka kwetu wateja...lakini mteja lilikukuta la kukukuta la ajali ya gari wanaingia mitini kwa speed ya 5G. Wakitoa vijisingizio...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Habari njema sana kwa wamiliki wa magari

    Kuanzia sasa, Serikali yetu, Awamu ya Sita, imeamua kununua mafuta moja kwa moja kutoka nchi marafiki. No mtu kati tena!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ukaguzi wa magari: Vimulimuli, Ving'ora, Chesesi namba na Sportlight

    Wiki ya nenda kwa usalama imeanza katika baadhi ya mikoa, ambapo itaambata na ukaguzi wa vyombo vya moto pikipiki, gari ndogo na kubwa na baada ya ukaguzi mmiliki analipia stika (pikipiki) Sh 1,000.00 (gari ndogo) Sh 3,000.00 (gari kubwa) Sh 5,000.00 Ombi langu kwa mamlaka husika katika ukaguzi...
  6. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Mnaonunua magari, kuweni makini na usanii huu msije kujuta

    Kuna wimbi kubwa la usanii Wakati unapouziwa gari kwenye showroom: wateja wengi wanalalamika kuwa wauzaji wanaondoa Baadhi ya vifaa muhimu vya magari mf. Vifaa ndani ya Exhaust system n. k. Kagua vizuri kabla na uende kununua ukiwa na fundi gari. Wengi hawakagui, wanastuka Baadae wanapopeleka...
  7. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Huu wizi wa magari unaoongezeka. Wanatumia mbinu gani na wanawezaje kuyatumia bila kudakwa?

    Najiuliza sana, naambiwa IST na WISH zinalambwa kinyama. Wezi Hawa wanatumia mbinu gani kuiba kirahisi. Wanawezaje kuyauza kwa wengine au kuyatumia pasipo kadakwa Wakati nyaraka HALISI za gari hawana? Naomba kujuzwa ili tuwe macho na magari yetu.
  8. mshale21

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mkuu wa Mkoa amwagiza RPC kukamata madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amemuagiza Kamanda wa Polisi mkoani humo, Urlich Matei kukamata madereva wote wanaokiuka sheria za usalama barabarani bila kujali iwapo ni madereva wa magari ya Serikali au la. Homera ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Novemba 25, 2021 alipoongoza mamia ya wakazi...
  9. Chakwale

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ongeza magari/mitambo ya kuchimbia visima

    Katika pesa zilizotolewa na Rais Samia ktk miradi mbalimbali Nchini ikiwemo ya Elimu, Afya, Miundombinu nk kupitia IMF naunga mkono zaidi mradi wa Uchimbaji Visima. Kuna pesa imetengwa kwa ajili ya ununuzi wa gari za Uchimbaji Visima ila idadi yake iliyotolewa ni ndogo ukilinganisha na mahitaji...
  10. nyboma

    JamiiForums Tanzania Kulikoni? Msafara wa Rais Samia kuwa na magari yote haya, pia ulinzi wake umeongezeka maradufu

    Wale walioko Arusha na viunga vyake leo tumeshuhudia/kuona Mh. Raisi mama Samia Suluhu Hassan kaongezewa ulinzi mara dufu, tofouti na tulivyozoea na msafara wake umekuwa na ulinzi mkali na idadi kubwa ya askari na usalama wa taifa kitengo cha ulinzi. Pia msafara wake una magari zaidi ya 70...
  11. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la msongamano wa magari na changamoto ya wamachinga jijini Mwanza

    Jiji la Mwanza lina changamoto ya msongamano wa magari kwa sababu barabara inayounganisha Mwanza na Tanzania ina njia mbili tu. Hiyo ni barabara ya Kenyatta. Barabara inayounganisha Mwanza na njia ya Kenya ina njia 3.Ni barabara ya Nyerere. nini kifanyike? Magari ya Abiria yasiingie katikati ya...
  12. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Soko la Kingalu Morogoro lina Paking ndogo sana

    deleted
  13. clinton gidioni

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kuosha magari

    Habari wapendwa poleni na majukumu. Wapendwa kijana wa kuosha magari anatafuta kazi. Nina uzoefu na nina uwezo wa kuosha gari vizuri kabisha na kutumia mashine mbalimbali. Naishi dsm gongo la mboto ila nipo tayari kufanya kazi mahali popote . Nina uwezo wa kumshawishi mteja na nina uwezo wa...
  14. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Una uzoefu na uoshaji wa magari? Nafasi ya kazi hii hapa

  15. Tough lady

    JamiiForums Tanzania Nahisi magari yamepungua barabarani. Je, ni kwa sababu ya kupanda kwa bei ya mafuta?

    ?
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mauzo ya magari yanayotengenezwa Kenya yavunja rekodi

    Yaani hadi raha....hii nchi tunapaa The share of new vehicles assembled locally rose to a record 70.9 percent in the eight months ended August, signalling increased demand for models put together at plants such as Isuzu East Africa and Kenya Vehicle Manufacturers (KVM). Data from the Kenya...
  17. sanalii

    JamiiForums Tanzania Barabara ya kibaha mlandizi imekua ndogo magari mengi, usafiri umekua tabu sana kwa sasa

    Kuna hitaji ujenzi wa dharura wa barabara ya zamani ya kibaha mlandizi then mpango wa barabara nne ulioishia kibaha mailimoja ufike japo mlandizi, kwa sasa ikifika jioni ni shida, kwa mfano leo gari moja tu lime break down basi tangu saa kumi hadi saa nne hii ni foleni, TANROADS naomba mulione...
  18. Chukwu emeka

    JamiiForums Tanzania TRA Kariakoo (Kipata/Lumunba) imekuwa kero kwa wenye magari madogo ya mizigo. Mamlaka imulike wafanyakazi wa pale waache hii tabia ya ovyo

    Habari wanaJF, Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu, kumekuwa na usumbufu mkubwa wanaoupata madereva wa magari madogo katika eneo la Kariakoo, wanapokodiwa na Wafanyabiashara wanaonunua mizigo, pindi mzigo unapokamatwa kwa madai mbalimbali ikiwemo kukosa risiti inayojitosheleza,maofisa hao wa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Upigaji wa honi za Magari wakati wa kuingia Majumbani

    Habari Wakuu! Kuna hii tabia ya Watu wanaoishi katika Nyumba zenye mageti, pindi wanapokuwa wanarudi majumbani mwao kuanza kupiga honi (wakati mwingine mfululizo) ili wafunguliwe mageti, hasa hizi nyumba ambazo mageti yake hufunguliwa na Mmojawapo wa mwanafamilia na sio Mlinzi. Hivi kuna...
  20. Mr. MTUI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ombaomba wenye magari

    Nakumbuka mwanzoni kwa mwaka huu nilikua kituo Cha mafuta fulani nikijaza mafuta...wakati natoka akatokea kijana mtanashati akanisimamisha akanambia. 'Bro samahani kwa kukusumbua mmepata breakdown kidogo gari yangu imeisha mafuta na Sina Ela maana nilikua nmepaki Kariakoo wezi wamevunja gari...
Back
Top Bottom