Ushauri wangu kwa Madalali wa Magari

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
May 4, 2020
3,327
9,328
Sijajua kama na tabia za madalali wa vitu vingine zipo hivi. Lakini nmewalenga sana madalali wa magari.

1. Lower your expectations.

Huwa mnakuwa na matarajio makubwa sana mkishapata mteja. Mwisho wa siku biashara isipofanyika maneno yanakuwa mengi.

2. Uzima wa gari siyo muonekano.

Uzima wa gari siyo muonekano mzuri, siyo kutogonga chini, siyo engine kuwa kavu. Hayo yanaweza kuwa mambo madogo sometimes.

3. Weka mafuta kwenye gari.

Ile biashara ya kwamba anayenunua gari ndio aweke mafuta ni biashara kichaa.

4. Tiririka na wewe
 
The worst thing ni kuhide matatizo halafu mtu aweke mafuta.

Mkuu mtoa mada mwenyewe anadai gari kugonga na nini ni matatizo ya kawaida. Hivyo inawezekana kuna wengine pia wanaungana nae na anaweza asikuambie tatizo la gari.

Siwezi kuhide tatizo la gari nikiwa nimeliona ama kuwekwa wazi na muhusika.

Zaidi labda matatizo ya kiufundi yanayohitaji fundi achunguze hapo siwezi kutia neno.
 
Kwa hiyo unataka tukuwekee mafuta gari ifike uguse guse uondoke

Tutatoa hela ya mafuta kwa wangapi?

Wahitaji serious wanaweka mafuta bila complains
Weka full tank.

Mteja akija afanye testing gari ikiwa na mafuta.

Mnataka faida 2M wakati tank la 150K mnakataa kuweka?
 
Back
Top Bottom