Ni tahadhari tu kwa wale mnaotumia magari binafsi kwenda kuwaona wagonjwa ama kwa shughuli nyingine katika Hospital ya Rufaa ya Kanda ya KCMC mjini Moshi kwamba muwe makini sana kuna mtandao mkubwa wa vijana wanaotumia funguo bandia kufungua milango ya magari na kuiba vitu vilivyomo ndani ya...
Tunauza spare za magari aina zote, toyota, nissan, mazda, subaru, coaster, hiace,fusso, canter, tata, eicher, nk.
Tupo Tanga mjini na mikoani tunatuma.
Jumla na rejareja.
Pia tuna battery zenye ubora wa hali ya juu.
Picha: Eneo ambalo ajali imetokea
Watu wawili wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari mawili likiwamo lililobeba mafuta na kuwaka moto katika ajali iliyotokea maeneo ya Old Vwawa wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe.
Ajali hiyo imetokea jana Machi 7, 2022 majira ya...
Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
"Haina shida." Nikajibu.
"Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza.
Nikamjibu...
We are looking for a competitive and trustworthy Sales personals to help us build up our business activities.
Sales responsibilities include discovering and pursuing new sales prospects, negotiating deals and maintaining customer satisfaction.
Responsibility Include;
Conducting market...
Jamaa yangu alinunua gari kwa njia ya mtanda kisha akatumia kampuni ya Befoward ili ku clear na kumfikishia mahala alipo.
Ukweli ni kwamba alifikishiwa mkoani mahala alipo ila gari ilikuwa imenyofolewa vipuri muhimu kiasi kwamba ametumia ghalama kubwa sana kuiweka gari hiyo katika hali nzuri ya...
Uzi huu upo kwa ajili ya madhumuni ya kujifunza, Lengo ni utambue hatua za ziada za kuzifuata ili uweze kulinda gari lako.
Zipo Tech nyingi ambazo zinatumika kwenye wizi wa magari, Hapa nazungumzia tech ambazo mtu anaweza kuwasha na kuondoka na gari lako kwa muda usiozidi dakika moja.
Tech...
Wasafiri ambao wanaenda mkoani kupitia barabara ya Morogoro kuanzia Kibaha hadi Chalinze kwa jioni ya leo haipitiki kutotokana na foleni iliyosababishwa na ujenzi unaoendelea katika mlima wa Mlandizi.
Matokeo ya kufunga barabara upande mmoja umesababisha mwingiliano wa magari na kufunga njia...
Kama unatafuta Mitsubishi fuso au Canter gari madogo , pamoja na Spare zake kutoka Japana wasiliana nasi kupitiana namba hii chini pia Spare za mtumba zenye ubora zipo aina ya Fuso na Canter utapata .
Tuambie aina ya Spare unayotaka au Gari gani unataka nikupe bei serous buyers wasiliana...
Subwoofer yenye Amplifier ndani
-Inch 10'
-Watts 1000
-Mdundo kama wote[emoji344][emoji344][emoji344]
Kwa ajili ya Gari[emoji593] lako au Bajaji
Zinapatikana
Bei
100,000/=
Delivery ipo Ukihitaji kwa Waliopo Dar, Mikoani Tunatuma Pia
WhatsApp & Calls
0714122948
Wadau habari zenu
KWA utafiti mdogo niliofanya lwa kutazama pindi ninapokuwa njian kutelekeza ktk mishe mishe zangu nimeona driving school nyingi gari za kufundisha unakula body imechokaaaaa ...yaan una shangaa hii gari nayo ina faa kutembe barabarani ?
Kuna ka chuo ka wahindi kako upanga...
Nilikua najichanga angalau niagize BMW X3 ili niokote watoto wa Chuo kiulaini. Sasa kabla sijalipia Be Forward nikasema nichungulie Calculator ya TRA nimekutana na Maumivu yaani BMW X3 ya 2013 (CIF 9,656 USD) mikodi ya watoza ushuru inafika 12m hapo bado port charges etc. Huu ushuru mbona...
Kampuni ya China ya Tailing Electric Vehicle imeanzisha kiwanda cha kutengeneza pikipiki na baiskeli za magurudumu matatu nchini Rwanda kwa nia ya kuchangia kupunguza hewa chafu duniani na kukuza uchumi wa kijani.
Kiwanda hiki kilichopo eneo la viwanda la Gahanga, wilayani Kicukiro kimeanza...
Wakuu heshima kwenu.
Naomba tu kuuliza japokuwa najua kufuatilia mambo ya watu sio mchongo wala nini.
Huwa naona vibendera vya taifa la Israel kwenye magari ya watu ambao naamini kabisa ni Wabongo wenzetu.
Sasa wakuu naomba tu kuuliza what is the motive behind this? kunakuwa na affiliation...
Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na hao jamaa wa AHJ nikaona offer zao sio mbaya sana, sasa wadau wa kuagiza magari, naomba 123 kuhusu huu mtandao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.