magari

  1. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Dhana ya watu wanaofunga GPS tracker kwenye magari kuhusika na wizi wa magari. Je, ni kweli au si kweli?

    Watu wengi huaminishana kwamba eti kwa sababu mtu fulani alikufungia GPS tracker kwenye gari basi mtu huyo anao uwezo wa kujua gari lako lipo wapi na hivyo anaweza kuja kuliiba. Kiukweli mimi nipo against na hii dhana. Naichukulia kama dhana ya mtu aisiyejua jinsi gos tracker zinavyofanya kazi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dar es Salaam magari binafsi aina ya Landcruiser V8 yako mengi sana?

    Sijajua watu wanafukua wapi hela, Kila siku huku Dar Nakutana Na land cruiser v8 zenye condition nzuri tena Gari binafsi zenye Plate number D, najiuliza na hii mishahara midogo ya taasisi za kibongo ya laki 8 kwa mwezi, watu wanawezaje miliki Na ku-maintain gari ya Tshs million 80 - million 200...
  3. Adharusi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunaomba Kodi za kuingiza magari zipungue tuwe kama Zanzibar

    Mhe Rais pole na majukumu,kazi yako unaifanya vizuri Sana ,#MitanoTena Sisi Wananchi wa Tanzania bara ,ukweli tumechoka na iki KIKIKOTOO cha ushuru WA kuingiza magari ,ushuru unazidi bei ya kununua gari ,mbona Zanzibar hawana ushuru WA kufuru namna hiyo Tuna amini Kodi ikupungua watu wengi...
  4. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Tozo za simu badala ya kujenga madarasa na zahanati sasa zinanunua magari ya maafisa elimu

    Huu ndo unyonge wa mwafrika. Badala ya mambo muhimu ya elimu, Wairi Ummy anajigamba kununua magari ya maafisa elimu. hizo ni pesa za wa-TZ zinatumika kununulia magari ya anasa Japan. Mashuleni hakuna madarasa, hakuna maabara, hakuna nyumba za waalimu. hakuna mabweni na hata madawati bado ni...
  5. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Vladimir Putin: Niliendesha magari na teksi ili kujikimu kimaisha miaka ya 1990

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amezungumzia majuto yake kuhusu kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti mwaka 1991, akifichua kwamba alilazimika kufanya kazi ya udereva wa teksi ili kujiongezea kipato. Matatizo ya kiuchumi yaliyosababishwa na kuanguka kwa muungano huo yaliwalazimisha Warusi wengi kutafuta...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi pamoja na mishahara mizuri bado wanapewa nyumba na magari?

    Kwanini mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi ma-RPC nk., nk... Pamoja na mishahara yao minono bado wanapewa nyumba, magari, walinzi, wanalipiwa umeme, maji, matumizi ya simu nk ili hali watu wengine wafanyakazi wengine wa serikali na taasisi zake wanabeba misalaba yao wenyewe? Why...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Picha ilipigwa mwaka 1950 mjini Karachi, traffic police akiongoza magari

  8. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania Nissan wakubali sera za Rais Samia. Kujenga kiwanda Cha magari Tanzania

    Kufuatia sera nzuri za uwekezaji zilizoasisiwa na Rais wa awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan, Tayari makampuni mbalimbali yanamiminika kuwekeza Tanzania ikwemo Kampuni hii ya Nissan iliyoonesha nia ya kuwekeza kiwanda cha kuunganisha magari, Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi...
  9. vivian

    JamiiForums Tanzania Traffic Police Mweupe Mfupi anayeeongoza magari kwenye taa za St. Peters Osterbay anafanya kazi yake kwa weledi wa hali ya juu

    Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake apewe, huyu Baba anafanya kazi yake kwa weledi wa hali ya juu sana. Nimekua napita hili eneo kila siku asubuhi na jioni kwenda kwenye mihangaiko yangu, ukiona siku ambayofFoleni haisogei katika mpangilio wa kueleweka jua siku hiyo sio yeye anaongoza magari...
  10. aka2030

    JamiiForums Tanzania Namba za magari zisizo rasmi zimezidi kwa sasa Dar

    Wahusika litazameni hili hata kama ni watu wa kitengo hapana namba za magari zisizo rasmi zimekuwa nyingi mnoo kiasi kwamba kwa sasa mtu anaweza pata tatizo gari hiyo ikakimbia na ikawa ngumu kuipata. Hebu litazameni hili wahusika
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tunakodisha magari - Wedding cars rental

    Tunatoa huduma ya kukodisha magari kwaajili ya shughuli mbalimbali. Bei kuanzia 100,000. Call/Watsap 0788457446
  12. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Hyundai kutengeneza Magari ya Umeme

    Spidi ya dunia kuhamia kwenye magari yanayotumia nishati ya umeme badala ya mafuta imekolea na sasa kampuni ya magari ya Hyundai ya Korea Kusini imeonesha mfano wa magari yake ya umeme ambapo gari lao halitokuwa na usukani bali fimbo ya usukani ambayo itakua ikijikunja ili Mtu aweze kuendesha...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara za mwendokasi una ufisadi ndani yake?

    Mipango yetu mibovu inatufilisi, natafakari kimoyomoyo kisha kwa sauti kuhusu ni nani anahusika katika kuliingiza taifa masikini kama la kwetu kwenye hasara hizi za kubomoa barabara mpya ambazo hazijachoka ili kupisha ujenzi wa barabara za magari yaendayo haraka, BRT. Barabara zetu...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Magari ya viongozi yamechakaa, out of fashion, yanatia aibu

    Nimeona magari mengi ya waheshimiwa wetuyansikitisha sana jamani,hivi wananchi wa TANZANIA mnakubali vipi watu wasiolala kwa ajili yetu,,waliojitolea maisha yao kwa ajili yetu waendeshwe kwenye magari ya hovyohovyo? Siyo heshima kwa nchi, na suggest itengwe hata trillion 1 ishushe new models za...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Mgao wa DAWASCO ni balaa, mwenye namba ya wauza maji na magari Ubungo anisaidie

    Habari wadau Naona tumerudi enz zile. Sina maji kabisa leo sijui nyumbani wanaishije Mwenye namba ya magari ya kuuza maji maeneo ya Ubungo naomba anisaidie
  16. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ajali iliyohusisha Magari Nane, maelezo ya Polisi yanatia shaka

    Nimejaribu kusoma kwa utulivu kisha nikaangalia picha, naona kama yanapingana na uhalisia, anyway Wajuvi nisaidieni, lory HOwo ame-ovrtake kweli hapo?? Afande taarifa ya ajali: KAB/TR/ar/16/2021(×)ajali ya magari manane kugongana na kusababisha majeruhi na uharibifu wa magari (×) mnamo tar...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania 70% ya ajali za barabarani Zambia 🇿🇲 zinasababishwa na madereva waendeshao magari automatic

  18. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Udanganyifu wakati wa kununua magari kwenye showrooms

    Hii Case nimeizoea kukutana nayo wa watu na huwa naichukulia kawaida ila leo nimeshangaa kuikuta kwenye moja wapo ya Showroom hapa Dar. Kikawaida gari nyingi tukitaka kuangalia mwaka ambao gari hiyo imetengenezwa huwa tunaangalia lebo iliyopo kwenye mkanda (yaani seat belt). Lakini it seems...
  19. fatherhood

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani, naomba kufahamu wapi naweza kupata magari ya kusafirisha mizigo

    Ninahitaji kufahamu wapi naweza kupata gari malori, Fuso au Canter, nina mizigo yangu napeleka mkoani Shinyanga. Naomba nisaidieni pia na za mikoa mingine Tanzania kama nahitaji kupeleka mizigo huko. Kama naweza pata namba ya dereva na sehemu anayepatikana itapendeza zaidi. Nichek 0683 238 052
  20. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Askari wa usalama barabarani mnasababisha foleni acheni taa ziongoze magari

    Ladies and Gentlemen nawasalimu kwa "Amani ya Muumba iwe nanyi" Nikiri kuwa kuna mambo yanaenda sivyo ndivyo tangu Nzilankende arest in peace kwa mfano ukataji wa umeme hovyohovyo. Pia mengine yanaenda shwari.Hebu kila mmoja atimize wajibu wake. Niende moja kwa moja kwenye mada, Ni kwamba...
Back
Top Bottom