Bandari ya Dar es Salaam imeendeleaza rekodi ya kupokea meli kubwa, safari hii ikipokea yenye urefu wa mita 189.45 ikitokea nchini Japan, ikiwa na shehena ya magari 4,041 huku magari 1105 yakibaki Tanzania.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ameziagiza Mamlaka ya Bandari...
Wadau salama, leo nimekutana na hili andiko, tusome mtazamo wa mwenzrtu kuhusu kile wanachojadili wabunge...
***************
WANAYOJADILI WABUNGE KWENYE GROUP LAO LEO KUTWA NZIMA
Na Thadei Ole Mushi
Wabunge wa CCM leo kwenye Group lao la kibunge wamejadili na kukusudia kupeleka hoja bungeni...
Katika hatua ambayo integemewa kukuza uchumi kwa kiwango kikubwa kupitia uwekezaji, serikali ya Kenya inatazamiwa kuondoa kodi za Excise na VAT kwa magari yatakayoundwa nchini Kenya.
Kwa sasa hivi Kenya tayari imetoa exemption ya import Duty ya 25% wa magari yanayoingizwa.
Tahadhari kwa...
Kishindo kikuu 'Bandari Salama', bandari ya TPA, itakapopokea meli kubwa ya kihistoria. Kaa tayari kujua.
Kuna jamaa kaandika;
"It's our Vessel called Frontier Ace is coming direct from Singapore carrying 4342 units. Accordingly to Vessel Captain tomorrow morning at 0900Lts confirmed will be...
Bei yamafuta inazidi kupanda. Maana yake nchi tutatumia pesa nyingi sana kununua mafuta. Pesa ambazo zingeweza kufanya mambo mengine ya kukuza uchumi. Nashauri serikali ifanye mambo yafuatayo ili tupunguze kwa kiasi kikubwa matumizi ya mafuta.
1.Tungeondoa kodi zote kwa wale wanaonunua magari...
Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada ! ! !
Nissan Atlas Truck tani 1.5 Pick up ilikuwa inalipiwa ushuru sh 5,662,000= leo
Calculator ya TRA sh 13,224,989= (CIF 3,665 USD)
Mbaya zaidi tayari nilishalipia gari iko njiani kwa ushuru niliouona na kuuhakiki...
Serikali imeshauriwa kuboresha na kuipanua barabara ya Dar es Salaam-Morogoro hadi Dodoma ili kupunguza uwezekano wa ajali kutokea kutokana na wingi wa magari yanayotumia njia hiyo kwa sasa.
Ushauri huo umetolewa kutokana na wimbi la ajali mfululizo katika barabara hiyo, ikionekana kuwa...
Mhe. Rais tunakushukuru kwa tamko lako kuwa ukaguzi wa magari utarudi kama zamani. Naomba amri hii ingeanza hata leo.
TBS wamekuwa wanatumia nafasi zo vibaya kwa kuwatesa wananchi wanapofuata magari yao Bandarini.
Asilimia karibu 98 ya wateja hawajatoka bure bila kuambiwa kuwa gari yako...
Leo baada ya CAG Kichere kuwasilisha ripoti ya ukaguzi wa hesabu za serikali, Mh Rais alipata nafasi ya kutia neno.
Mh Rais ameona hakuna ulazima wa magari kukaguliwa hapa nchini. Ameona umuhimu ni magari kukaguliwa huko huko yanapoagizwa.
Mh Rais amesema wenzetu wapo makini kwenye kufanya...
Wapiga debe ni watu wenye vurugu, watu wa kuwapotosha abiria, watu wa kuwaibia abiria, watu wanaofanya bei ya usafiri kuwa kubwa, ni watu wanaoleta kero.
Najiuliza hivi Serikali mnashindwaje kupiga marufuku wapiga debe kutoka kwenye vituo vya usafiri?.
Habara wapendwa poleni na majukumu.
Kijana wenu natafuta kazi ya kuosha magari.
Nina uzoefu wa kutumia mashine mbali mbali za kuoshea magari na nina uwezo wa kufanya service ndogo ndogo kwenye magari.
Ninauwezo wa kuongea Kiswahili na Kingereza kwa ufasaha
Nina uwezo wa kuongea na...
Ni mara ya pili sasa nakutana na gari ya Tanesco ikiwa na kile kibandiko cha mduara kama yai mlango wa dereva na ikiwa imebeba ngazi maeneo ya huku ninakojibanza ikiwa na namba ambazo sio "SU" bali zile za kawaida.
Mara ya kwanza mida ya saa mbili usiku niliiona gari moja eneo ambalo kulikuwa...
Wakuu kwema humu?
Naomba msaada wa elimu na ufahamu kidogo? Hivi spare za magari ambayo makampuni ya magari yashasitisha uzalishaji wake huwa zinakua sokoni hadi muda gani zinakua hazipatikani tena?
Mfano umenunua gari leo afu baadaye unagudua hizo gari hazizalishwi tena, je spare...
Habari wa JF,
Katika pita pita zangu mitandaoni hasa JF na instagram nimeona kuna kampuni/watu wanaofanya huduma za kuagiza magari nje kwa masharti ya kulipia nusu na kumalizia kiasi kilichobaki baada ya gari kufika. Mengi ya makampuni hayo (Sisemi wote) ni "MATAPELI WAKUBWA SANA" na huu ni...
Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine
Mchambuzi wa maswala ya kijeshi ya vifaa vya kivita akihojiwa na CNN amesema kuwa Urusi kila mwaka imekuwa ikitenga mabilioni ya dola kununua vifaa vya kivita, kutengeneza na spea Zake lakini pesa hizo zimekuwa...
Ajali mbaya imetokea Sindeni, Handeni mkoani Tanga usiku wa kuamkia leo, idadi ya vifo na majeruhi haijatajwa, usiku wa kuamkia lo Machi 16, 2022.
“Coaster ilivamia Hiace ilivyokuwa imeharibika pembeni na kuwasomba abiria wote. Ajali ni mbaya kwa kweli,” amesema Siriel Mchembe, Mkuu wa Wilaya...
Ni tahadhari tu kwa wale mnaotumia magari binafsi kwenda kuwaona wagonjwa ama kwa shughuli nyingine katika Hospital ya Rufaa ya Kanda ya KCMC mjini Moshi kwamba muwe makini sana kuna mtandao mkubwa wa vijana wanaotumia funguo bandia kufungua milango ya magari na kuiba vitu vilivyomo ndani ya...
Tunauza spare za magari aina zote, toyota, nissan, mazda, subaru, coaster, hiace,fusso, canter, tata, eicher, nk.
Tupo Tanga mjini na mikoani tunatuma.
Jumla na rejareja.
Pia tuna battery zenye ubora wa hali ya juu.
Picha: Eneo ambalo ajali imetokea
Watu wawili wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari mawili likiwamo lililobeba mafuta na kuwaka moto katika ajali iliyotokea maeneo ya Old Vwawa wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe.
Ajali hiyo imetokea jana Machi 7, 2022 majira ya...
Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
"Haina shida." Nikajibu.
"Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza.
Nikamjibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.