Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi mwaka 2022 magari 12,012 yaliyotumika (used) hayakuruhusiwa kuingia nchini kutokana na kutokidhi viwango.
Mwigulu amesema Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lilikagua magari 43,982 yaliyotumika ikilinganishwa na magari 35,606...