Ni magari gani Tanzania showroom yanauzwa chini ya sh `10M

Mtu Poa 2013

Member
Mar 26, 2013
86
45
Habari

Husika na kichwa cha habari hapo juu. nina bajeti ya sh hiyo hapo juu nataka kununua gari kutoka showroom hapa bongo lililotoka japan. AU Je naweza agiza gari aina gani na kwa bei hiyo toka japan? Nina bajeti hiyo washkaji nipeni ushauri wa kiukweli sio utani. Asante
 
Gari ya matumizi gani? Suzuki Carry, nissan match, honda fit, toyota duet model za nyuma huko na vingi millage imekula chumvi ila kwa uhakika zaidi tembelea page za wauza magari instagram au twitter zipo nying tu ulizia tofauti tofauti uweze kulinganisha bei na aina za gari walizo nazo then utafanya maamuzi
 
Habari

Husika na kichwa cha habari hapo juu. nina bajeti ya sh hiyo hapo juu nataka kununua gari kutoka showroom hapa bongo lililotoka japan. AU Je naweza agiza gari aina gani na kwa bei hiyo toka japan? Nina bajeti hiyo washkaji nipeni ushauri wa kiukweli sio utani. Asante
Sidhani kama ipo.
 
Back
Top Bottom