Lewis Hamilton anajiunga na team ya Ferrari kutoka Marcedes

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
26,107
52,832
Deadline day shoking transfer

Naam wakati people wapo bize kufatilia siku ya mwisho ya usajili wa majira ya baridi kwenye soka mara inaibuka taarifa bingwa mara 7 wa mashindano ya mbio za magari maarufu kama langalanga( Formula one)lewis Hamilton anajiunga na team ya Ferrari kutoka Marcedes😅

Hii habari kiukweli imenishtua maana sikutegemea kama ingetokea maana hizi team mbili kwenye .mashindano hayo(Ferrari na Marcedes) ni mahasimu sana kama ilivyokuwa man UTD na Liverpool kwenye football unexpected

Anyway all the best, I mean no malice to nobody 🤒
FB_IMG_17068613685619944.jpg
 
Deadline day shorking transfer

Naam wakati people wapo bize kufatilia siku ya mwisho ya usajili wa majira ya baridi kwenye soka mara inaibuka taarifa bingwa mara 7 wa mashindano ya mbio za magari maarufu kama langalanga( Formula one)lewis Hamilton anajiunga na team ya Ferrari kutoka Marcedes

Hii habari kiukweli imenishtua maana sikutegemea kama ingetokea maana hizi team mbili kwenye .mashindano hayo(Ferrari na Marcedes) ni mahasimu sana kama ilivyokuwa man UTD na Liverpool kwenye football unexpected

Anyway all the best, I mean no malice to nobody
View attachment 2891693
Hapo kwakweli Ferari wamefanya fujo ili kuvunja utawala wa Benz

Sent from my SM-N960W using JamiiForums mobile app
 
Deadline day shoking transfer

Naam wakati people wapo bize kufatilia siku ya mwisho ya usajili wa majira ya baridi kwenye soka mara inaibuka taarifa bingwa mara 7 wa mashindano ya mbio za magari maarufu kama langalanga( Formula one)lewis Hamilton anajiunga na team ya Ferrari kutoka Marcedes😅

Hii habari kiukweli imenishtua maana sikutegemea kama ingetokea maana hizi team mbili kwenye .mashindano hayo(Ferrari na Marcedes) ni mahasimu sana kama ilivyokuwa man UTD na Liverpool kwenye football unexpected

Anyway all the best, I mean no malice to nobody 🤒
View attachment 2891693
Mbona husemi yanga na simba?
 
Back
Top Bottom