Kwa musiojua gharama za matengenezo ya magari ya serikali njooni

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,132
IMG-20240211-WA0003.jpg

Sijaiona picha ya sehemu za nyuma za gari hii. Ikiwa imeharibika hapo tu panapoonekana kwenye picha serikali itatumia zaidi ya milioni 50 kutengeneza gari hii.

Gari itakaguliwa na TEMESA, serikali italipa gharama za ukaguzi, kisha TEMESA watatoa tenda kwenye garage binafsi kama vile KINAI, ADAM MOTORS, NDUVINI, CHUNGA, KWADU, n.k maana TEMESA haiwezi kukubali kubeba mzigo huu. Ili pesa ipigwe vizuri inabidi utoe tenda then ukale na uliyempa tenda.
Garage zilizothibitika kukidhi viwango ziko nyingi, ni zaidi ya 20.

Mwenye garage ataweka dau lake na watu wa TEMESA manager, fundi mkuu n.k watataka fungu lao pia.
Kwa ufupi hii ni neema kwa baadhi ya watu.
Hivyo serikali itatumia zaidi ya milioni 50 hapo kulirudisha hili gari katika hali yake.
 
TEMESA wanapiga pesa si mchezo nakumbuka jamaa yangu alilipa pesa nyingi Sana Kwaajili ya wrong packing yaani kukomboa gari yake alipiga Kwata siku 4.
Wrong parking wanahusika TARURA, TEMESA imewakodishia eneo tu . Ila nako TEMESA kuna hela nyingi sana. Kuna watu hata ukiwaambia uwahamishe TEMESA kwenda BOT wanakataa
 
View attachment 2901114
Sijaiona picha ya sehemu za nyuma za gari hii. Ikiwa imeharibika hapo tu panapoonekana kwenye picha serikali itatumia zaidi ya milioni 50 kutengeneza gari hii.

Gari itakaguliwa na TEMESA, serikali italipa gharama za ukaguzi, kisha TEMESA watatoa tenda kwenye garage binafsi kama vile KINAI, ADAM MOTORS, CHUNGA, KWADU, n.k maana TEMESA haiwezi kukubali kubeba mzigo huu. Ili pesa ipigwe vizuri inabidi utoe tenda then ukale na uliyempa tenda.
Garage zilizothibitika kukidhi viwango ziko nyingi, ni zaidi ya 20.

Mwenye garage ataweka dau lake na watu wa TEMESA manager, fundi mkuu n.k watataka fungu lao pia.
Kwa ufupi hii ni neema kwa baadhi ya watu.
Hivyo serikali itatumia zaidi ya milioni 50 hapo kulirudisha hili gari katika hali yake.
Gharama zote hizi ni kwaajili ya mpumbavu mmoja.
 
50 ???

Ndogo sana mzeee . Hapo kwanza wataanza mchakato wa kutangaza tenda kupitia TAMESA kupata bidder mwenye uwezo

Gari hizo kurudisha mpya sio chini ya 200M to 250M

Hizo gari hununuliwa mpya na vifaa vyake vitanunuliwa mpya

Taa za kwa gari 1 inazidi 10 M

Lakini pia Zina BIMA

Mlipaji atakuwa bima so hakutokuwa na budden kwa gvt
 
NDUVINI vipi hayupo kwenye list ya gereji?
 
50 ???

Ndogo sana mzeee . Hapo kwanza wataanza mchakato wa kutangaza tenda kupitia TAMESA kupata bidder mwenye uwezo

Gari hizo kurudisha mpya sio chini ya 200M to 250M

Hizo gari hununuliwa mpya na vifaa vyake vitanunuliwa mpya

Taa za kwa gari 1 inazidi 10 M

Lakini pia Zina BIMA

Mlipaji atakuwa bima so hakutokuwa na budden kwa gvt
Hamna bima itakayolipa hiyo gari.
Serikali itawajibika direct
 
magari yapo 13

Kibaya zaidi huyo Bashite.. ata itumia hiyo kama kiki ya kisiasa. eti walikuwa wana taka kumroga
Nasikia magari 15 ndio yameumia.
Let's say 50 millions*×15 =750
Yapo yataklcost milioni 20, 70, 100 n.k.
Sasa mpuuzi wa kolomije anaitia serikali hasara ya milioni 750 .
Hapo kiserikali tunasema serikali imepata hasara ya zaidi ya bilioni 2.
 
Bima Italipa si unaona mengi Yana Namba za kiraia
 
Back
Top Bottom