madereva

  1. P

    JamiiForums Tanzania Dereva gari la serikali alewa na kusababisha ajali

    Kati ya video zinazosambaa mtandaoni ni dereva wa gari la serikali akiwa amelewa chakari na kusababisha ajali ya kugonga bodaboda. Baadhi ya mashuhuda wamemuuliza kwanini amelewa na ni dereva wa serikali ambapo amekiri kweli kuwa amelewa.
  2. mambio

    JamiiForums Tanzania Wakongo wanashambulia madereva wanaokwenda kusafirisha shaba, hali ni mbaya

    Kama kichwa cha taarifa hapo juu. Hali si shwari Kongo ==== Kongo kumechafuka, na hali si shwari toka tarehe 2/2/2024, Wakongo hawataki shaba (copper) itoke nchini mwao, gafi yako ikibeba shaba kusafirisha nje inashambuliwa. Gari hiyo inayoonekana kwenye video inasemekana ni kutoka kampuni...
  3. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Umewahi kusikia nini kuhusu madereva wa malori?

    Mimi niliwahi kusikia madereva wa malori wanaoenda nchi jirani kuna muda wanasahau kama wapo safarini, kutokana na changamoto mbalimbali za njiani kama mipakani nk Naskia wamatembea na majiko yao kabisa pia wakiwa na unga, vitunguu, mboga, nyanya yaani wakifika mahali wanashuka wanakaa wanapika...
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Rais Samia apewa zawadi ya ng'ombe na madereva bodaboda

    Bodaboda mkoani Mwanza wamemzawadia Rais Samia Suluhu ng’ombe ikiwa ni shukurani zao kwa juhudi kubwa anazofanya. 📹 SwahiliTimes
  5. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

    Kuna Mkasa umtokea ukimuonesha Mwanajeshi wa JWTZ akimshambulia Dereva wa daladala ya Tabata, Lakini Akiwa anafanya Tukio hili Dereva wa Daladala alikuwa hajaweka gari katika 'Parking' Hivyo ikawa inatembea, Hii ni hatari kwa maisha ya abiria walioko katika Daladala hiyo na Wale wanaotumia Kwa...
  6. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania AKIBOA vs Madereva Moshi Arusha Ngoma nzito

    Madereva wanaoendesha mabasi kati ya Arusha na Moshi wameibua tuhuma nzito juu ya viongozi wa chama cha wasafrishaji Moshi Arusha (AKIBOA) kwamba wanawatoza sh. 2,000 kila wanapopakia Abiria . Kwamba fedha hizo hawajui zinapelekwa wapi na hawapewi stakabadhi ya malipo. Tuhuma hizo zipo kwenye...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Jeshi la Polisi lawafutia madaraja Madereva 776 kwa kukosa sifa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama. limeendela kuimarisha ulinzi na usalama hali iliyopelekea kupunguza vitendo vya uhalifu katika Mkoa huu. Sambamba na hilo katika kuhakikisha lina dhibiti ajali za barabarani, hivi karibuni Jeshi la Polisi...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Dereva aliyetoa taarifa ya Basi lake analoendesha kuwa bovu afukuzwa kazi

    Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani kimechukizwa na kitendo cha baadhi ya wamiliki wa mabasi kuwafukuza madereva kwa kudaiwa kutoa taarifa kwa mabasi mabovu kwa Vyombo vya Usalama Barabarani ambapo limesisitiza sheria kali kuchukuliwa dhidi ya mmiliki atakaye mfukuza dereva. Deus...
  9. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

    Serikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula. • Dar - - Mwanza • Dar - - Mbeya • Dar - - Kigoma • Dar -- Arusha • Dar --...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusoma NIT nipate cheti cha udereva halali ambacho kitakua na leseni ya C1, C2 na C3

    Nahitaji kwenda kusoma NIT ili nipate cheti cha udereva halali ambacho kitakua na leseni ya C1, C2 na C3 Je ada yao pale ni Tshs ngapi, kozi inachukua muda gani mpaka kumaliza na kupata cheti na je ni vitu gani watahitaji kwa upande wangu ili kuruhusiwa kusoma Natanguliza shukrani kwa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani SACP Ng'anzi asema "Toeni taarifa za Madereva wasiotii Sheria na Kanuni za Usalama"

    Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng'anzi amewataka abiria wanaosafiri ndani na nje ya Mkoa Ruvuma kutoa taarifa za baadhi ya madereva wanaokiuka Sheria za Usalama Barabarani. Hayo amesema Desemba 23, 2023 alipotembelea...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Trafiki Makao Makuu yawataka madereva kutokuwa chanzo cha huzuni Nchini

    Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini limesema zipo Sheria zinazotoa miongozo na taratibu za matumizi sahihi ya Barabara hapa nchini huku likiwataka madereva kutokuwa chanzo cha huzuni kwa watanzania kwa kusababisha ulemavu wa kudumu na kupoteza Maisha ya Watanzania. Hayo...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mabasi ya abiria watakiwa kuacha matumizi ya vilevi kuepuka ajali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani limefanya ukaguzi wa mabasi ya abiria katika Stendi Kuu ya Mabasi kabla ya kuanza safari na kuwataka madereva kuzingatia Sheria, Kanuni, Alama na Michoro ya Usalama Barabarani ili kuepuka ajali. Akizungumza Disemba 23, 2023...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Dar, Likizo Msijiendeshe kwenda Mikoani mkidhani mumeiva kwa Udereva chondechonde!

    Salaam Wakuu, Naomba nikushauri wewe Dereva unaye endesha Gari Dar Es Salaam, Usije ukahisi umeiva kwa Udereva ukataka ujiendeshe kwenda Mkoani kula Sikukuu. Ni kweli Mungu amejalia umepata hilo Gari, lakini angalia lisigeuke Kaburi lako. Kwa barabara za Mikoani wewe ni Learner tu ukatae...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Abiria watakiwa kupaza sauti kwa Madereva wasiofuata Sheria za Usalama Barabarani

    Abiria wanaosafiri kwenda sehemu mbalimbali ndani na nje ya Mkoa wa Mbeya wametakiwa kupaza sauti kwa madereva wasiofuata sheria za usalama barabarani ili hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yao. Hayo yamesemwa Disemba 21, 2023 na Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani Mkoa wa Mbeya Mrakibu...
  16. Kingsharon92

    JamiiForums Tanzania Enyi madereva wa masafa marefu acheni roho mbaya dhidi ya wasaidizi wenu matingo

    Natumai wote ni wazima wazee kwa vijana poleni na mvua za masika zinazoharibu miundombinu yetu. Moja kwa moja nianze kwa kusema kama dereva wa masafa marefu niliyetundika daruga 2010. Uliza Congo uliza Malawi Zambia Uganda kenya Burundi rwanda hapo nikiwa na chuma cha msweden scania 113 pulling...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa somo kwa Madereva wa Malori Mkoani Mbeya

    Kuelekea mwisho wa mwaka 2023, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia kikosi cha usalama barabarani limewataka madereva wa malori kuwa na udereva wa kujihami ili kuepuka ajali zinazoweza kuepukika. Akizungumza Desemba 11, 2023 katika eneo la maegesho ya malori Jijini Mbeya, Mkuu wa Kikosi cha...
  18. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania SUMATRA muwe mnawapa madereva na makondakta elimu ya huduma kwa wateja

    Madareva na makondakta wengi hawana customer care kwa abiria yani si unapoingia kwenye gari wal inapoharibika wanakaa kimya tu wakati wanatakiwa kumwambia abiria samahani gari imeharibika lakini tunafanya jitihada za matengenezo ili tuendelee na safari. Wao wanakaa kimya tu abiria ndiyo...
  19. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa madereva gari za serikali, mtatumaliza huku mabarabarani

    Wengi wenu mnaendesha utafikiri mna hatimiki ya barabara. Hamjali si tu usalama wenu lakini kwa vitendo vyenu mnahatarisha usalama wa wengine waliopo barabarani. Kama mmejichoka kumbukeni sisi bado tunapenda kuishi na kuenjoi ugali. Mwenzenu mmoja katukosakosa leo asbh apo kwenye kona ya gari...
  20. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bolt Kenya yazuiwa kuhuisha Leseni baada ya Madereva kugoma

    Mamlaka ya Taifa ya Uchukuzi na Usalama (NTSA) imechukua hatua hiyo dhdi ya kamouni ya 'Bolt' kutokana na madai ya Ukiukwaji wa Kanuni za Leseni, ikiwa ni pamoja na Malipo Yasiyostahili kwa Madereva pamoja na Ada za Uitishaji wa Huduma. Pia, NTSA imesema Bolt ameshutumiwa kukiuka Kanuni za...
Back
Top Bottom