madereva

  1. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Dar msaada taa za Mwenge kutozingatiwa

    Mara kadhaa napita barabara hii ya kutoka Tegeta kwenda Ubungo-Kimara, sasa ukifika hapo Mwenge mida ya saa moja jioni huwa sielewi utaratibu uko vipi, bahati nzuri huwa siwi wa kwanza kwenye foleni ya kusubiri taa ziruhusu, Huwa nafuata mkumbo Jambo ambalo sielewi, utakuta taa zimeruhusu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Madereva watakiwa kuzingatia tija, ufanisi katika utendaji wao

    Na Mwandishi wetu - Dar es salaam. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Zuhura Yunus, amewataka Madereva kuzingatia tija na ufanisi katika utendaji kazi wao ili kuhakikisha jamii inafanya kazi za kiuchumi kwa usalama na muda muafaka, hivyo kukuza uchumi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hivi vigari vidogo vidogo vichafu vichafu vya zamani kama hasa IST na VITZ madereva vijana hawa wanafanya fujo sana barabarani

    Katika kuendesha kwangu gari barabarani, nimegundua kwamba madereva wengi wa hivi vigari vidogo vidogo kama IST, wana fujo sana barabarani. Na mara nyingi utakuta ni vigari vichafu vichafu na vilivyochakaa. Kila nikiangalia dereva wake, nakuta ni vijana wa kiume. Inaonekana wengi wao ni...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Madereva wanaotumia lugha chechefu kwa abiria waonywa, wasio na sanduku la dharura wapigwa faini

    Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini limewataka madereva kufuata sheria za Usalama Barabarani ambapo limewataka madereva hao kutoa lugha nzuri na rafiki kwa abiria Pamoja na kuongea nao kabla ya safari kuanza huku likiwapiga faini madereva ambao hawana sanduku la dhalula...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Madereva Taksi Mtandao (Bolt) wagoma, wataka ongezeko la nauli, Polisi waingilia kati

    Mgomo mkubwa wa madereva wa taksi mtandao za mtandaoni za kampuni ya Bolt leo Oktoba 15,2024, mpaka yalipo makao makuu ya kampuni hiyo eneo la Morocco Kinondoni, wakishinikiza ongezeko la nauli. Madereva wa Bolt wameandika malalamiko kuhusu ongezeko la makato ya kamisheni kutoka asilimia 15...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Madereva Bolt Dar Waandamana Mpaka Ofisi za Bolt

    Madereva wa taksi za mtandaoni za kampuni ya Bolt wameandamana leo Oktoba 15,2024, mpaka yalipo makao makuu ya kampuni hiyo eneo la Morocco Kinondoni. Madereva hao wanapinga makato ambayo kampuni hiyo inawakata katika kila safari, ambapo wanaeleza ni asilimia 25, huku wakieleza kuwa agizo la...
  7. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Madereva taksi punguzeni u-bubu

    Mhadhara - 39: Kazi ya udereva TAXI ni biashara kama biashara nyingine. Ukiwa mfanyabiashara hupaswi kuwa bubu (mkimya) kupita kiasi. Halikadhalika udereva Taxi pia. Leo natoa ushauri kwa madereva TAXI wote hasa waliopo kwenye mikoa yenye vivutio vya utalii kama vile Arusha, Dar, Zanzibar...
  8. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Tuwaambie madereva wa bodaboda

    📖Mhadhara wa 19: Pole na hongera kwa kazi dereva wa Bodaboda. Kuzunguka salama na chombo cha moto kila siku ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu. Naomba leo nikuume sikio mambo ambayo yanapendwa na wateja (abiria) ambapo wewe bodaboda unapaswa kuyafahamu na kuyazingatia. Ili wewe bodaboda...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Robotaxi utaleta mapinduzi Hasi kwenye sekta ya Ajira za Madereva!

    Wakuu. Teknolojia kwenye sekta ya magari inazidi kukua kwa kasi sana. Ni miaka 10 tu iliyopita gari likiwa na Bluetooth, reverse camera, DVD, au cruise control ilikua vitu fancy, ila sasa hivi sio vitu vya kujivunia tena. Magari yamekua na Teknolojia kubwa sana kumpa comfort dereva na...
  10. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TANROAD Morogoro, Zebra ya Msamvu imefutika madereva wanatumia uzoefu kusimama Ili watu wavuke na mamlaka zimekaa kimya mpaka watu wagongwe?

    Ni mwaka sasa tangu kivuko Cha waenda kwa mguu kifutike eneo na msamvu stand ya Dodoma, madereva wa barabara kubwa kama hii wanatumia uzoefu kusimama kuwa hapa Kuna kivuko. Mamlaka zipo na zimekaa kimya au mpaka watu wagongwe? Tusiishi kwa matukio tubadilike.
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya majanga maofisini wanasababishwa na madereva wa maboss na ma secretary

    Unaweza kuona kama nafasi hizo ni nafasi ndogo na hazina nafasi katika maamuzi ya mambo mengi ila amini usiamini makazini kwingi sekta za Umma na Sekta binafsi fitina na majungu chanzo chake ni uvujishaji wa siri pindi usengenyaji unapofanywa aidha na maboss kwenye gari. Mada nyingi wao ndiyo...
  12. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ashtushwa na taarifa ya Madereva wa Serikali kulogana ili wapate kazi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshtushwa na madai ya madereva wa Serikali kulogana ili wapate magari ya kufanyia kazi. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Juma Mtanda kwenye kongamano la tatu la madereva wa Serikali la mwaka 2024 linaloendelea jijini Arusha kwa siku nne mfululizo...
  13. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Sauli ni mfano wa wamiliki wa mabasi waliofilisiwa na madereva fake

    Biashara ya mabasi ya abiria kwa Dunia ya leo si ya kushadadia ma mbio yasiyo na tija bali ni akili yenye wingi wa ubunifu ndaniye kwa mambo yatakayomvutia abiria taraji. Mfano Sauli ni wazi alifilisiwa na madereva wake kwa kushadadia sifa za kijinga za mwendo kasi hali iliyosababisha mabasi...
  14. Wordsworth

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Madereva wa Serikali ni zipi?

    Hakuna ofisi maalum ya madereva wa serikali (wakiwemo wa halmashauri na wizara mbalimbali) kutumia wakati wanasubiri mabosi wao watoke ofisini au kwenye mikutano ya kujenga taifa? Naona kama wanachoka sana, wengine utawakuta wanawasubiri mabosi wakiwa wamejibanza kwenye vibanda vya karibu vya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Shida ni akili ndogo za madereva au ni maisha magumu yanachangia hizi ajari

    Leo asubuhi nikiwa njiani nimeona ajali Moja eneo la ilula na nikiwa nimetulia napitia mitandao nimekutana na picha za ajali Ile. Ukiangalia Ile ajali Ile fuso ilikuwa imeharibika , na jamaa wa fuso walikuwa waungwana wameweka alama zote muhimu barabarani kujua huko mbele unaenda kukutana na...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LATRA: Anayetuhumiwa kuchukua hela za Madereva Bajaj si Mtumishi wa LATRA ni Afisa wa Halmashauri ya Morogoro

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna Afisa wa LATRA amekuwa akichukua fedha za madereva Bodaboda na Bajaj ili awalipie faini na malipo mengine ikiwemi ya stika, kisha kutofanya hivyo, mamlaka husika imejibu. Kusoma tuhuma za Afisa huyo bofy hapa ~ Huyu Afisa anaichafua...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Huyu Afisa anaichafua LATRA-Morogoro, anachukua fedha za stika na faini za Madereva Bajaji na kuanza kuwatisha

    Kuna Afisa mmoja wa LATRA Morogoro anafahamika kwa jina la Fadhili, huyu mtu ni hatari sana kwa Vijana wanaoendesha Bajaji, anatutesa sana sisi Vijana na kinachouma zaidi ni kuwa inavyoonekana Wakubwa wake wa kazi wanajua michezo yake lakini nao wapo kimya. Afisa huyu ana mtindo wa kulazimisha...
  18. Lumbi9

    JamiiForums Tanzania SoC04 Abiria wa bodaboda wawajibike kulipa faini ya kutovaa helmet kama wanavyowajibishwa madereva

    Katika kuangalia usawa na udhibiti kwa ndugu zetu wanaoendesha vyombo vya moto vya pikipiki maarufu bodaboda nimeona tatizo halipo kwa madereva tu bali hata kwa abiria wao, mfano unakuta abiria anataka usafiri anapewa helmet ajikinge ama kupunguza madhara ya ajali endapo ikitokea abiria huyu...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watendaji wa Serikalini na Madereva wa Wakubwa huko Serikalini tafadhali acheni 'Kurogana' kwa 'Uchawi wa Ajali' mnakosea Mungu pakubwa sana

    Unaacha Kufanya Kazi kwa bidii huku ukimshirikisha Mwenyezi Mungu Wewe unachowaza ni Kumroga fulani ili Afe Ajalini ili uchukue nafasi yake. Na ninachofurahi Warogaji wengi wa Wenzao ili Wafe ( hasa Ajalini ) ikitokea kweli waliowalenga Wamekufa huko Ajalini baadae wala hawazipati hizo Nafasi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika madereva wenye Class C

    Habari wanahitajika Madreva 5 Kwa ajili ya Mkataba wa mradi wa ujenzi. Madereva wanaohtajika ni walw wenye Class C. Madreva wenye Class E&G Kwa mawasiliano piga 0769488409 au tuma taarfa zako kwa email info@seanmark.co.tz
Back
Top Bottom