madereva

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hizi ni tabia za kukosa ustaarabu na kishenzi (uncultured) kwa sisi madereva tukiwa barabarani, tubadilike

    Kuna tabia za ajabu sana za madereva wengi Tanzania ambazo mimi nazijumlisha na kuwa mambo mawili makubwa, ushenzi na kukosa ustaraabu. Natoa wito madereva tubadilike, kwa sababu kwa na tabia hizi barabarani ni kuonyesha ubinafsi, pupa, ushenzi, kukosa ustaarabu nk! Hizi ni mojawapo, kama...
  2. pachawako

    JamiiForums Tanzania Madereva na barabara.

    Habari wana JF. Nimehamasika fungua huu uzi baada ya kukoswa koswa leo na ajali, barabarani kweli kuna mengi na nisehemu inayobeba roho za wengi. Ukiwa umekosea step kidogo tu kuna uwezekano wakubadiri au kumaliza historia ya maisha yetu au ata kuharibu vyombo vyetu tunavyo vipata na kuvitunza...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Land Cruiser Prado 2023 (J250): Madereva wa Serikali watavimba nayo Sana

    Hizi vyuma bado sijaziona kwenye STM na STN za serikali. Nina expect zikisambaa madereva wa Serikali watasumbua nazo sana mitaani. Kumbuka inashare platform na big boss J300, na sasa wameipeleka kwenye electric power steering. Engine options kuna 2.4L 2.7L 2.8L na Turbo charged, zote Petrol...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Formula 1, ni "Marubani" wa Jet za ardhini

    Wengi tunazijua gari zinazotumika kwenye mashindano ya FIA, especially ya Formula 1. Magari na team kama Ferrari, Mercedes Benz, nk yanaonesha uwezo wao. Vile vile madereva wa hayo magari, kama Lewis Hamilton, Max Verstappen nk wakionesha ubabe nyuma ya steering. Ukichukulia poa, utasema vile...
  5. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Madereva wetu wa mwendokasi wanaweza hivi??

    Madereva wa mwendokasi Bongo wanajua kugonga na kuua watu tu.
  6. msomi duni

    JamiiForums Tanzania Kuendesha boda boda ni kazi kama kazi nyingine msichukulie poa

    Bila kupepesa maneno nyie wana jf mkiona hadi kijana anaendesha bodaboda ujue hana option ya kujikwamua kimaisha sio kila mtu anatoka familia zenye uwezo sometimes bodaboda ndio only option mtu anakuwa nayo na pia ajali sio lazima asababishe yeye kuna kusababishiwa pia. Maswala ya kuona mtu...
  7. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Madereva wa kampuni za Usafiri Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara ya usafiri

    Madereva wa Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara hii ya usafiri na endapo kampuni hizi hazitachukua hatua basi zitakufa hivi karibuni -Madereva hawa huwa wanachelewa sana kumfwata mteja -Kuwashusha wateja katikati ya safari na kudai hawafiki hadi mwisho kwasababu watakosa abiria...
  8. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Ajira za Madereva TAESA

    kuna hii fursa imejitomeza huko TAESA, nimeona nisiwe mchoyo ni waletee humu ili MADEREVA wenye vigezo mkajaribu bahati yenu hii fursa bwana ni mkataba wa mwaka mmoja. kama upo Dar es salaam hakikisha unaenda kwenye ofisi za TAESA wanazo ajira za udereva wanahitajika madereva wengi sana. Uwe...
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mabasi ya abiria Tanzania hawana akili ya kuendesha usiku,tutakwisha

    Safari za mabasi za usiku zilikuwepo kitambo,Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani akazifutilia mbali. Alijua akili zetu watanzania,madereva wetu hawana uwezo wa kuendesha usiku,kichwa kimejaa bange,pombe,madeni,michepuko huku unabeba roho za watu. Watatumaliza
  10. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatuna mfumo wa ukaguzi wa madereva wa mabasi ya shule

    Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo amesema wizara walitoa mwongozo wa mabasi ya shule na kwamba waliviachia vyombo vingine vya Serikali kuendelea na ukaguzi wa madereva hao kama wanavyofanya kwa madereva wengine na hawakuwahi kuwa na mfumo. “Baada ya...
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Lugha ya makondakta na madereva daladala inatia hasira, abiria tuwe wakali kukemea mmomonyoko wa maadili

    Mwaramutse nshuti, Mimi sina magari matatu kama ndugu yangu Makamura hivyo hulazimika kutumia usafiri wa umma kama daladala na bajaji kwenda kusaka mkate. Adha kubwa ambazo nimekuwa nikikutana nazo kwenye usafiri huo ni maneno machafu, yasiyo na staha ya makonda na madereva. Imekuwa kama...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Barrick yakabidhi msaada wa vifaa vya kisasa vya kupima ulevi wa madereva kwa Jeshi la Polisi

    Meneja Mawasiliano (Corporate Communication and Country Liaison Manager) wa Barrick, Georgia Mutagahywa (wa pili kutoka kushoto) akimkabidhi moja ya vifaa vya kisasa vya kupima ulevi kwa madereva vilivyotolewa na Barrick kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama barabarani kanda maalum ya Dar es...
  13. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kilimanjaro: Madereva wa mabasi na Costa watishia kugoma kutokana na ubovu wa Stendi ya Bomang'ombe

    Madereva wa mabasi ya mikoani pamoja na Costa hasa zile zinazofanya safari zake Moshi - Arusha wametishia kugoma kwa kile kinachodaiwa ni miundombinu mibovu iliyopo Stendi ya Bomang'ombe hasa barabara. Barabara ya eneo hili lililopo Hai Wilayani Kilimanjaro limetawaliwa na mashimo mengi na...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwanini madereva wengi hupona ajalini?

    Nawazaga hili swali najikuta NACHEKA. M ni mpenzi wa habari za Kenya sana. Kenya IMEKUTWA na matukio ya ajali nyingi sana na huuwa watu 10+ Hivi MAJUZI KUNA ajali tatu zimetokea zote ukiangalia gari zimeharobika KABISA. Unachoanbiwa MADEREVA wote wamekimbia. Mbili zimwgongana na.malori...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Mwendokasi hawana nidhamu

    Nimeonaaaa hiiiii itv Mbunge wa ilala amesema pamoja na piklpik kuvunja sheria kwa kuingia barabara ya Mwendokasi. Badoo madereva hawa hawana nidhamu barabarani Amesemaaa kuna wakati unaonaa gari inavyokimbizwa unawazaa ndani kabeba watu ama mbuzi. Hakuishia hapoo akaombaa wafundishwe...
  16. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Sare mpya Kwa madereva bodaboda DAR

    Sare mpya kwa Madereva Bodaboda Dar es salaam Hivi karibuni zitazinduliwa sare mpya kwa madereva wa Bodaboda Dar es salaam ambapo sare hizo zitakuwa na namba na ukiingiza hiyo namba kwenye mfumo utajua taarifa zote za huyo dereva na sehemu anapotokea. Ambapo Mkuu wa Wilaya ya Ilala Muheshimiwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Mwendokasi wengi wana msongo wa mawazo. Waziri kaa na hawa watu uwasikilize itapunguza kuharibu magari

    JPM alipoona Mwendokasi Madereva wanadai maslahi alikwenda kuchukua vijana serikalini na JKT akawapa kazi za ulinzi, kukata tiketi,ufundi na udereva. Walioletwa kwa sababu wanawekwa bila sifa wameendelea kujifunza kazi taratibu lakini wakiwa na msongo mkubwa wa mawazo kuhusu lini watapata...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Serikali na mabosi zenu kwanini mnapenda mnaendesha vibaya?

    Naomba kujibiwa hili swali, hv ni kwani hakuna hata siku moja mnatoka nyumban kwenu mapema kwenda ofisini? Kwanini kila siku mtoke kwa kuchelewa halafu njiani ni kukimbia, wrong overtake na kutoafuata vibao vya speed? Hivi ninyi ambao ni mabosi ni kwanini mnafurahia mwendokasi ile hali...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri atangaza Siku 14 kuondoa namba za 3D, madereva wa serikali kukiona

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetangaza siku 14 kwa watumiaji wa Vyombo vya Moto barabarani kuondoa namba za magari zilizoongezwa ukubwa maarufu kama (3D) na Vimulimuli kwa magari yote yasiyoruhusiwa kuwekwa, namba zote zenye vibao vyeusi na zizonatumia namba za chasis, taa zozote na stika...
  20. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Madereva kutumia mwanga mkali (Full Beam) katika mazingira yasiyo sahihi barabarani ni hatari kwa wengine

    Kweli, matumizi ya taa za gari ni muhimu sana kwa usalama barabarani. Kutumia mwanga mkali (full light) katika mazingira ya foleni au msongamano wa magari kunaweza kuwa hatari kwa sababu ya athari ya kumulika moja kwa moja kwa madereva wengine. Hii inaweza kusababisha kutopata mwelekeo mzuri wa...
Back
Top Bottom