Enyi madereva wa masafa marefu acheni roho mbaya dhidi ya wasaidizi wenu matingo

Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
7,556
9,532
Natumai wote ni wazima wazee kwa vijana poleni na mvua za masika zinazoharibu miundombinu yetu. Moja kwa moja nianze kwa kusema kama dereva wa masafa marefu niliyetundika daruga 2010.

Uliza Congo uliza Malawi Zambia Uganda kenya Burundi rwanda hapo nikiwa na chuma cha msweden scania 113 pulling ni mwendo wa kuokota gia tu mara ukwame porini huko ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hapo utakuwa hujui. Nirudi kwenye mada yangu binafsi sikuwahi kuwa na tingo zaidi ya miezi mitano eti hajajua kuendesha sikupenda kabisa na hii imenifanya kuwa na rasilimali watu nina vijana wengi sana wamepitia mkononi mwangu kuwafundisha udereva na wakaiva na wengine bado wanapiga gia tu wakitoka Zambia huko unashangaa boda katua getini na kiroba cha viazi na ndizi kutoka mbeya na mkaa wa tabora unapigiwa simu tu mzee kuna mzigo wa mama hapo nimeutuma.

Hewaaaaa haya si ndiyo matunda sasa ya kuwa na vijana. Madereva wa sasa mnalalamkiwa sana mna rohombaya kweli yaani unasafiri na msaidizi wako hutaki hata aguse sterling wala ufunguo

Hivi huwa mnawaza nini? Hebu wafundisheni wadogo zenu nao wajikwamue siyo kila uchwao yeye ni kucheza na ukaguzi tu wa gari na kulinda gari kukaza kamba njiani gari limebeba mahindi huko. Belt zimelegea ni kuwatukana tu hebu badilikeni sisi wengine hatukuwa na hizo roho za kwanini.

Tena siku hizi mmeletewa vitu mayai scania R440 gia unaweka hata na ulimi ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿบkitu laini
Muwe na wikendi njema leo ni mwendo wa ๐Ÿพ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿ“ท๐ŸŽธ๐ŸŽป๐ŸŽบ
 
Natumai wote ni wazima wazee kwa vijana poleni na mvua za masika zinazoharibu miundombinu yetu
Moja kwa moja nianze kwa kusema kama dereva wa masafa marefu niliyetundika daruga 2010
Uliza Congo uliza Malawi Zambia Uganda kenya Burundi rwanda hapo nikiwa na chuma cha msweden scania 113 pulling ni mwendo wa kuokota gia tu mara ukwame porini huko ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hapo utakuwa hujui
Nirudi kwenye mada yangu binafsi sikuwahi kuwa na tingo zaidi ya miezi mitano eti hajajua kuendesha sikupenda kabisa na hii imenifanya kuwa na rasilimali watu nina vijana wengi sana wamepitia mkononi mwangu kuwafundisha udereva na wakaiva na wengine bado wanapiga gia tu wakitoka Zambia huko unashangaa boda katua getini na kiroba cha viazi na ndizi kutoka mbeya na mkaa wa tabora unapigiwa simu tu mzee kuna mzigo wa mama hapo nimeutuma
Hewaaaaa haya si ndiyo matunda sasa ya kuwa na vijana
Madereva wa sasa mnalalamkiwa sana mna rohombaya kweli yaani unasafiri na msaidizi wako hutaki hata aguse sterling wala ufunguo
Hivi huwa mnawaza nini?
Hebu wafundisheni wadogo zenu nao wajikwamue siyo kila uchwao yeye ni kucheza na ukaguzi tu wa gari na kulinda gari kukaza kamba njiani gari limebeba mahindi huko
Belt zimelegea ni kuwatukana tu hebu badilikeni sisi wengine hatukuwa na hizo roho za kwanini
Tena siku hizi mmeletewa vitu mayai scania R440 gia unaweka hata na ulimi ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿบkitu laini
Muwe na wikendi njema leo ni mwendo wa ๐Ÿพ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿ“ท๐ŸŽธ๐ŸŽป๐ŸŽบ

Wanaojifunza majiani hawa na malori yenye mizigo ni hatari kwa maisha yetu wengine barabarani:

IMG_20231215_205829.jpg
 
Aliekwambia hasaivi tunatembea namatingo nani huyo? Zamani mlikuwa mnatembea namatingo sababu Tanzania nzima mafundi wa scania walikuwa wanapatikana Dar tu ila hasaivi mafundi scania na spare mpaka chato unapata
 
Mimi nakupa gari porini huko ukijichanganya tukamwagike huko makorongoni

Porini huko hata wengine tunaopenda kuishi tupo. Nashauri wale wanaosaka mwarobaini wa ajali wakutafute ulipo ukaisaidie polisi.

Tanzania bila ajali inawezekana.
 
Na wewe pia tanapa na tfs wakutafute ukaeleze kwa nini unaishi porini unatafuta Nini huo ni uvamizi wa makazi ya wanyana kuhusu suala la ajali nitaleta maada hapa tuzungumze
Porini huko hata wengine tunaopenda kuishi tupo. Nashauri wale wanaosaka mwarobaini wa ajali wakutafute ulipo ukaisaidie polisi.

Tanzania bila ajali inawezekana.
 
Aliekwambia hasaivi tunatembea namatingo nani huyo? Zamani mlikuwa mnatembea namatingo sababu Tanzania nzima mafundi wa scania walikuwa wanapatikana Dar tu ila hasaivi mafundi scania na spare mpaka chato unapata
Una uhakika kijana kuwa mafundi walipatikana dar sisi kwa mwanza mafundi tulikuwa nao kina Jarufu marehemu mzee burhan kina masanja hawa walizijua scania na mapigo yake
 
Back
Top Bottom