Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 1,732
- 3,372
Wengi wenu mnaendesha utafikiri mna hatimiki ya barabara. Hamjali si tu usalama wenu lakini kwa vitendo vyenu mnahatarisha usalama wa wengine waliopo barabarani.
Kama mmejichoka kumbukeni sisi bado tunapenda kuishi na kuenjoi ugali.
Mwenzenu mmoja katukosakosa leo asbh apo kwenye kona ya gari nyingi alikuwa kafatana na mwenzake wako mbiombio utafikiri wenzao wakimbiza mwenge inaelekea kuna sehemu wanawahi.
Muda wote mmekuwa watu wa mambio tu, fulu kuwasha vingora na kupiga honi za uongouongo na kutafuta njia za kuwapita wengine bila hata kuangalia kama ni salama, kifupi hamna tofauti na boda.
Jamani kama mna haraka si mngekuwa mnawahi kutoka basi. Kama muda wa kumfata bosi ni saa moja asbh kwanini sasa wewe unatoka bado dakika tano au dakika kumi. Wew toka mapema kumi na moja au kumi na mbili uko tusisumbuane barabarani.