madereva

  1. Hata Sina kinyongo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamiliki wa maroli nchini Kenya wazuia maroli yao kuvuka kwenda Uganda kwa hoja ya madereva wa Kenya kunyanyapaliwa

    Ukistaajabu ya Musa... Kile Tanzania ilichokipinga kwa unyanyasaji walio kuwa wanafanyiwa madereva wa Tanzania kwenye mipaka ya na Kenya ndicho Kenya imekifanya huko Malaba mpaka baina ya Kenya na Uganda. Wamiliki wa maroli Kenya wamezuia maroli yao kuvuka upande wa Uganda hadi pale...
  2. mimitungi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madereva Watanzania wana Corona zaidi ya Kenya? Siasa au Ukweli?

    Inawezekana vipi Tanzania kuwa na maambukizi mengi kiasi hiki na bado watu wakawa wazima? Je, no mbinu za kibiashara? Au mabeberu wapo kazini?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ninachoshindwa kuelewa ni kwamba Tanzania wanataka madereva wa Tanzania wasipimwe wanapoingia Kenya au hata wakiwa positive waingie?

    Hizi bifu na Kenya sasa naona kama ni utoto na nashangaa inafikia hata viongozi wetu wa ngazi ya mkoa wanahemuka na maamuzi bila kufikiria kumaliza mambo kidiplomasia. Hawa viongozi wanadhani wanamfurahisha Magufuli lakini ukweli ni kwamba wanamdhalilsha Magufuli na Tanzania kwa ujumla. Ona...
  4. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kenya na Tanzania sasa zimefika pabaya. Nani anatia ngumu? Leo madereva 51 kati ya 53 waliokutwa na Corona mpakani na Kenya ni watanzania!

    Hizi nchi kwa huu utawala hazitakuwa na mwisho mzuri. Ukiona hadi Raila analalamika basi shida ni lazima ipo kwa Rais wetu. Tumwambie ukweli. Kwa takwimu hizi za madereva 51 kati 53 waliokutwa na Corona kwenye mpaka kati ya Kenya na Tanzania kuwa watanzania basi ni lazima jambo lifanyike. Na...
  5. Hata Sina kinyongo

    JamiiForums Tanzania Pamoja na makubaliano ya awali, ngoma bado nzito! Madereva wa Tanzania wamegoma kupeleka mizigo Rwanda

    Hali ya ubabe inaendelea mpaka wa Rwanda na Tanzania huku madereva wa Tanzania wakigomea kuingia Rwanda kwa sababu ya kunyanyapaliwa. Pamoja na jitihada za kuwabembeleza zinazofanywa na maafisa wa Rwanda kwa kuwaahidi hali itakuwa tofauti na awali lakini bado madereva wamesimamia kile...
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania Uganda: Visa 24 vya madereva wa malori vyaongezeka, wakiwemo Watanzania 6. Jumla ya visa vya COVID19 vyafikia 227

    Jana, Mei 16, 2020 Uganda imetangaza visa vipya 24 vya COVID19 vimeongezeka na vyote vikiwa ni vya Madereva wa Malori na kufanya jumla ya visa kufikia 227 Wizara imesema jumla ya sampuli 2,598 zimepimwa kati ya hizo; 2,044 ni za Madereva wa malori na 554 ni za Wakazi wa Uganda ambapo zote 554...
  7. toriyama

    JamiiForums Tanzania Madereva 1,000 wa malori Watanzania wamegoma kuvuka mpakani Tunduma

    Takribani madereva 1,000 wa malori Watanzania wamegoma kuvuka mpakani Tunduma mkoani Songwe kuingia Zambia kwa muda usiojulikana kwa madai kuwa wamechoshwa na ahadi hewa kuhusu utatuzi wa malalamiko yao ya kunyanyaswa na maafisa wa Zambia.
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania Visa vipya 43 vya COVID19 vya madereva wa malori vyathibitishwa Uganda. Wapo Watanzania Watano

    Jana, Mei 15, 2020 Uganda imetangaza visa vipya 43 vya #COVID19 vimeongezeka na vyote vikiwa ni vya Madereva wa Malori na kufanya jumla ya visa kufikia 203 Wizara imesema jumla ya sampuli 2,558 zimepimwa kati ya hizo; 1,838 ni za Madereva wa malori na 720 ni za Wakazi wa Uganda ambapo zote 720...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kenya wameruhusiwa na nani kutangaza maambukizi mapya ya madereva wa Tanzania?

    Nimeona tangu juzi kupitia luninga ya ITV naibu waziri wa afya wa Kenya akitangaza maambukizi mapya ya Corona kwa raia wa Tanzania ambao ni madereva. Msingi wa swali langu ni kwanini Kenya inawatangaza ilhali haiwatibu? Kwa mfano leo wametangaza kuwapima madereva nane ambao wamekutwa na Corona...
  10. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madereva wengine nane wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya baada ya kugunduliwa kuwa na Corona

    Jana ilikua madereva 23 wa Tanzania, leo ni nane. Halafu ukiwaza wote hawa kabla kufika mpakani na Kenya huko walikotoka wanatema mbegu balaa, natumai kila wanaorudishwa kwao hawaingii mtaani, wanajifungia au kufungiwa sehemu. Sijui lini ndugu zetu wa Kusini watelewa kwamba hiki kitu kipo na...
  11. G Sam

    JamiiForums Tanzania Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

    Wewe Waziri wa Afya kweli ni mwanamke unayejua uchungu wa mtoto? Kwenye janga hili la Corona unafuata muongozo upi ambao unaelekea kuiua Tanzania? Tumechoshwa na habari za aina hii kila siku. Pia nikueleze kuwa tunachoshwa na madhila tunayoyaona huku mitaani. Hatujazoea kuishi na maiti sisi...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Madereva wa magari ya mizigo kupata majibu ya covid 19 ndani ya dk 45

    Serikali ya Uganda imeanza kutumia mashine za GeneXpert mipakani, ili kuwapima madereva wa magari ya mizigo kabla ya kuingia nchini humo Taarifa kutoka Wizara ya Afya imesema kumekuwa na ongezeko la maambukizi kutoka kwa madereva wa magari ya mizigo Taasisi ya Utafiti wa Virusi ya Uganda...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya COVID19: Madereva wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya

    Madereva wa magari zaidi ya 50 wa Tanzania wamezuiwa kuingia Kenya katika mpaka wa Namanga hadi hapo watakapopimwa kujua kama wana maambukizi ya CoronaVirus Taarifa zaidi inafuata.....
  14. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa Madereva wa malori wa Tanzania wanaishia mpakani, magari yanapulizwa dawa anachukua dereva wa Rwanda. Hatuaminiki tena

    HALI ILIVYO RWANDA: Dereva wa Lori kutoka #Tanzania haruhusiwi kuvuka Mpaka wa Rusumo ili kuepuka kuingiza Corona nchini humo. Badala yake; akifika kituo cha Kiyanzi, mzigo wote utapuliziwa dawa kisha atakabidhi Lori kwa dereva wa Rwanda ambaye atalipeleka hadi kituo cha mwisho. Serengeti Post...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Benaco Ngara: Madereva wa Malori wa Tanzania, wamejichukulia sheria mkononi kuzuia Malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini

    Baada ya kunyanyasika vilivyo nchini Rwanda madereva wa malori wa Tanzania wamejichukulia sheria mkononi kuyazuia malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini. Inasemekana baada ya Rwanda kuudhibiti ugonjwa wa Corona vilivyo nchini mwao, kitisho pekee kwa sasa kimebakia kuwa kutokea kwa wageni...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda CoronaVirus: Madereva wa Malori wanaopita Uganda hawatakiwi kulala hotelini wala kwa Watu

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza hatua mpya za kudhibiti mienendo ya madereva wa malori yanayoingia nchini humo kutoka mataifa jirani baada ya zaidi ya madereva 20 kupatikana na ugonjwa wa Covid-19. Mataifa ya Uganda na Kenya yamekuwa yakiwafanyia vipimo wa virusi vya corona madereva...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yafafanua madereva kuzuiwa kuingia Zambia

    Serikali imetolea ufafanuzi kuhusu Idara ya Uhamiaji nchini Zambia kuwazuia madereva wa IT katika mpaka wa Tunduma Mkoani Songwe kuingia nchini Zambia, ikiwa ni katika kujikinga na Virusi vya Corona. Mkuu wa Wilaya ya Momba mkoani Songwe, Juma Said Irando ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Madereva na Makondakta wa daladala kusajiliwa na serikali baada ya kuingizwa darasani na kupatiwa mafunzo ya kazi

    Waziri wa Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Injinia Isack Kamwelwe amesema serikali iko mbioni kuwasajili madereva na makondakta wa daladala ili kuboresha Huduma hiyo hapa nchini. Mh Kamwelwe amesema kabla ya kusajiliwa watendaji hao wa kwenye daladala watalazimika kupelekwa darasani na kupatiwa...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hiki hapa kikao kizito cha Mbunge wa Mbeya na madereva wa bodaboda wa Mbeya Mjini, yeye hakubeba jeneza

    Hizi ndio zinazoitwa siasa za Mars
  20. No Escape

    JamiiForums Tanzania Madereva: Habari za barabarani leo?

    Uzi huu uwe maalum kwa madereva na wasafiri kujua hali ya barabara ni haki yenu kabla ya kuanza safari ya huko uendako.Tupashane yanayojiri ili tuweze kusaidia safari zetu. Unatarajia kuelekea wapi saa hizi, unahitaji kujua hali ya barabara kama labda kuna changamoto yeyote saa hizi ili kuepusha...
Back
Top Bottom