Wenye pesa zao, haya fahari ya macho hiyo zitambue peni za gharama duniani, achana na Biki na Cello

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,939
22,982
Kama ni pesa nakubali watu wana pesa dunia hii, hivi kabisaaa mimi naenda kununua peni kwa hela bei hizi? Labda siwezi jua huko mbeleni.

Ilaa kwa sasa acha niendeleee tu kuziangalia kama hivi na kusoma soma watu wanavyozitumia, ila maamuzi magumu ya namna hii bado sijayafikia.
1.png
2.png
3.png
4.png
5.png
6.png
7.png
8.png
9.png
10.png
11.png
12.png
13.png
16.png
17.png
18.png
19.png
20.png
21.png
22.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom