DC Hai atengua uhamisho wa Mkuu wa Shule ya Sekondari Lyamungo, anusa harufu ya upigaji pesa ya ukarabati

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Iko hivi, Serikali ilitoa milioni 700+ kwa ajili ya ukarabati wa shule.

Pesa imeingia kama leo, kesho yake headmaster anapokea barua ya uhamisho kwenda shule nyingine wilaya hiyo hiyo kama headmaster.

Kisa cha kuhamishwa anadaiwa kutokuwa na mahusiano mazuri na wenzake, pia hakupewa muda wala barua ya kumuita ahojiwe makosa yake.

DC kawasomea mwongozo wa hizo pesa headmaster atakuwa msimamizi mkuu na ndiye atasimamia pesa zote na kamati zitakazoundwa.

Akasema hapa ndipo tatizo.

Wambieni hilo dili sio serikali ya Magufulii huyu headmaster hatoki na mkurugenzi kaambiwa aandike barua kufuta huo uhamisho.

Aisee bado TAMISEMI hawajashtuka hii sio serikali ya dili kama walivyozoea enzi hizo, inasikitisha sana.

Well done Mr DC salute kwako mzee wa Hai.
 
Pdidy,

Ninashauri shule zote nchini zilizotuma hizo fedha ufanyike uchunguzi wa kina, utakuja kúgundua fedha nyingi zikitumwa na Tamisemi, huwa zinakuja kurudishwa Tamisemi hiyo hiyo fedha zilikotoka kwa kuishirikisha maafisaelimu wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri. Big up Sabaya.
 
Ukiona hvyo headmaster sio mpigaji yaani mtu makini ile ile hao maafisa elimu wamemhamisha wamuweke mtu wao wapige ishu kama hyo ilitokea DSM hapa shule Fulani yaliingia mamilioni basi headmaster akahakikisha anakomaa na zile pesa kafanya miradi effectively kamaliza wakubwa wakamind hakuwatoa wakamtafutia zengwe Moja maridadi mnoo wakamtoa akawa mwl wa kwaida!Hakuna sehemu wanayopiga pesa kama kwenye Elimu balaa tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dc wa Hai angetupia macho na Utendaji wa idara ya Ardhi hapo kwenye wilaya yake; angewasaidia sana wananchi wa wilaya hiyo. Idara hiyo inanuka rushwa; title deeds hazitoki bila hongo!!! Amuulize huyo afisa wake wa Ardhi [ JACOB] kwanini anawazungusha watu kupata hati zao?
 
Iko hivi, Serikali ilitoa milioni 700+ kwa ajili ya ukarabati wa shule.

Pesa imeingia kama leo, kesho yake headmaster anapokea barua ya uhamisho kwenda shule nyingine wilaya hiyo hiyo kama headmaster.

Kisa cha kuhamishwa anadaiwa kutokuwa na mahusiano mazuri na wenzake, pia hakupewa muda wala barua ya kumuita ahojiwe makosa yake.

DC kawasomea mwongozo wa hizo pesa headmaster atakuwa msimamizi mkuu na ndiye atasimamia pesa zote na kamati zitakazoundwa.

Akasema hapa ndipo tatizo.

Wambieni hilo dili sio serikali ya Magufulii huyu headmaster hatoki na mkurugenzi kaambiwa aandike barua kufuta huo uhamisho.

Aisee bado TAMISEMI hawajashtuka hii sio serikali ya dili kama walivyozoea enzi hizo, inasikitisha sana.

Well done Mr DC salute kwako mzee wa Hai.
Ukifuatilua kwa kina hii habari, kwa kumsikiliza maswali ya DC hai, aliyokuwa anamuuliza mkurugenzi wa wilaya ya Hai, ninakubaliana na DC hai kuwa takukuru ilifanyie kazi Jambo hili.

Takukuru isipoteze muda mtandao huo umefanywa na afisaelimu mkoa wa Kilimanjaro kwa kuishirikisha na RAS kilimanjaro.na kigogo aliyeko tamisemi.mtandao huo ni mkubwa na ndio unahusika kuchota fedha za ukarabati mkoa wa Kilimanjaro.Hongera sana DC Hai kwa kuibua hili Jambo ambalo kulikuwa kimejificha Tena muda mrefu.ofisi ya RAS umekuwa kijiwe Cha kula fedha za elimu kuanzia uteuzi wa wakuu wa shule Hadi ukarabati wa shule husika.
 
Ukifuatilua kwa kina hii habari, kwa kumsikiliza maswali ya DC hai, aliyokuwa anamuuliza mkurugenzi wa wilaya ya Hai, ninakubaliana na DC hai kuwa takukuru ilifanyie kazi Jambo hili.

Takukuru isipoteze muda mtandao huo umefanywa na afisaelimu mkoa wa Kilimanjaro kwa kuishirikisha na RAS kilimanjaro.na kigogo aliyeko tamisemi.mtandao huo ni mkubwa na ndio unahusika kuchota fedha za ukarabati mkoa wa Kilimanjaro. Hongera sana DC Hai kwa kuibua hili Jambo ambalo kulikuwa kimejificha Tena muda mrefu.ofisi ya RAS umekuwa kijiwe Cha kula fedha za elimu kuanzia uteuzi wa wakuu wa shule Hadi ukarabati wa shule husika.
Hapa kuna aina fulani ya ukweli uliojificha ingawa umeandika bila umakini wa mpangilio mzuri wa uandishi.

Mleta uzi pia ameibua hoja fikirishi hapa iliyoibuliwa na Mhe.Dc wa Hai.

Anachokisema ni sawa na kilichotokea wilaya moja mkoani Mwanza mwaka juzi kuhusu mradi wa EP4R watu walikula hela na kulindana.

Mamlaka ya awamu ya 5 zipo macho,tunaamini watafuatilia hili.Kuna kamtandao cha kiaina kama ulivyoandika hapa.

Kuna hoja hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pdidy,

Ninashauri shule zote nchini zilizotuma hizo fedha ufanyike uchunguzi wa kina, utakuja kúgundua fedha nyingi zikitumwa na Tamisemi, huwa zinakuja kurudishwa Tamisemi hiyo hiyo fedha zilikotoka kwa kuishirikisha maafisaelimu wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri. Big up Sabaya.
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Patamu hapa, sasa kama REO Kilimanjaro na RAS na uongozi wa Tamisemi ni wapiga dili kupitia ukarabati wa shule kwanini wasitumbuliwe? Kuna mdau kawaanika hapo juu. TAKUKURU mpo?
 
Hapa kuna aina fulani ya ukweli uliojificha ingawa umeandika bila umakini wa mpangilio mzuri wa uandishi.

Mleta uzi pia ameibua hoja fikirishi hapa iliyoibuliwa na Mhe.Dc wa Hai.

Anachokisema ni sawa na kilichotokea wilaya moja mkoani Mwanza mwaka juzi kuhusu mradi wa EP4R watu walikula hela na kulindana.

Mamlaka ya awamu ya 5 zipo macho,tunaamini watafuatilia hili.Kuna kamtandao cha kiaina kama ulivyoandika hapa.

Kuna hoja hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Patamu hapa, sasa kama REO Kilimanjaro na RAS na uongozi wa Tamisemi ni wapiga dili kupitia ukarabati wa shule kwanini wasitumbuliwe? Kuna mdau kawaanika hapo juu. TAKUKURU mpo?
REO. na RAS kilimanjaro, ni wapiga dili ndio ukweli.kwa sababu. Aliyemuandikia mwalimu barua ya kuhama mwalimu wa lyamungo sekondari Mkurugenzi wa wilaya ya Hai amekiri kuwa ni REO na RAS kilimanjaro,na siku hiyo hiyo kwenye akaumt ya shule ziliingizwa TSH milion 800.kwa mantiki hiyo takukuru imerahisishiwa kazi ni kukamata REO na RAS kilimanjaro,then uchunguzi inaanza,kwenye uchunguzi watakamata watu kibao waTamisemi.peleka mahakamani,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom