Stamina ft Atan-ASIWAZE "Not true story changa la macho in business wise"

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,124
1,744
Kwenye sanaa kuna mambo mengi ikiwa na uandishi na uchezaji wa maneno, lakini kuna hili limeongezeka wanaita muziki biashara,

Kwenye wimbo mpya wa Stamina amecheza karata turufu, tetesi zilizokuwa zikiendelea mtandaoni kuhusu ndoa yake kazitumia kama fursa ya kibiashara kwenye muziki

Siku zijazo mtamuona mke wake akiwa nae na maisha yakiendelea wakiwa na tabasamu wakienjoy pesa za viewers wa You Tube

Mbinu alioitumia Stamina ni kuiwin hadhira hasa katika digital market kwasababu aliona wimbo wake rotation redioni itakuwa chache ila kwenye TV na You Tube itatizamwa sana.

Ni hayo tu
 
Jana aliitwa clouds hakwenda akapigiwa roma akasema huo wimbo kaimba kitu kilichomtokea kweli,Na roma akasikitika sana maana ndoa ya stamina aliisimamia yeye pamoja na mkewe anasema imemtia doa maana ni ndoa yake ya kwanza kuisimamia inapovunjika inaonekana yeye kama msimamizi kashindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom