Serikali itupie macho Chuo cha Ualimu Korogwe

Bombardear

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
241
193
Kwa heshima na taadhima ni maombi yetu/yangu mamlaka zinazohusika kuchukua hatua kwa mambo yanayoendelea hapa chuoni Korogwe kwani tangu Mkuu wa Chuo aliyekuwepo kupandishwa cheo, kumekuwa na hali ya taharuki upande wa chakula.

Chakula hakieleweki kwani chakula kinachopikwa ni zaidi ya kibovu, pia huduma muhimu ya maji haipatikani pia maji yanatoka sehemu moja, Mkuu wa chuo anapoambiwa anasema yeye amekaimu tu kwahiyo wasubirie Mkuu wa chuo atakayekuja atayashughulikia.

Pia vyoo vimejaa na nyakati za mvua ni mshike mshike.

Mbaya zaidi ni rushwa ya ngono inayoendelea chuoni hapa ikiongozwa na Mr Gunda, Makata na Kabole. Wamekuwa ni vinara kwa kuvujisha mitihani kwa kuwaahidi wanafunzi watafaulishwa mtihani. Kabla ya siku tatu wasichana wanaotembea nao wanakuwa na mitihani yote.

Tumejaribu kupeleka mashtaka kwa mwadili ambaye Makata na yeye ni mnufaika wa mambo hayo. Amekuwa akizungusha mpaka mnakata tamaa.

Tumejaribu kumruka kwenda anayejiita Kaimu Mkuu wa Chuo anatuambia tuvumilie kwani yeye ni Kaimu tu hana mamlaka.

Mamlaka zinazohusika tunaomba mtusaidie.
 
Kwa heshima na taadhima ni maombi yetu/ yangu mamlaka zinazohusika kuchukua hatua kwa mambo yanayoendelea hapa chuoni Korogwe kwani tangu mkuu wa chuo aliyekuwepo kupandishwa cheo kumekuwa na hali ya taharuki upande wa chakula, Chakula hakieleweki kwani chakula kinachopikwa ni zaidi yakibovu, pia huduma muhimu ya maji haipatikani pia maji yanatoka sehemu moja, mkuu wa chuo anapoambiwa anasema yeye amekaimu tuu kwahiyo wasubirie mkuu wa chuo atakaekuja atayashughulikia.Pia vyoo vimejaaa na nyakati za mvua ni mshikemshike.

Mbaya zaidi ni rushwa ya ngono inayoendelea chuoni hapa ikiongozwa na mr GUNDA, MAKATA NA KABOLE .wamekuwa nivinala kwa kuvujisha mitihani kwa kuwahaidi wanafuzi watafaulisha. mtihani kabla ya siku tatu wasichana wanaotembea nao wanakuwa na mitihani yote.

Tumejaribu kupeleka mashtaka kwa mwadili ambaye makata mabaye na yeye ni mufaika wa mabo hayo.amekuwa akizungusha mpaka mnakata tamaa.

Tumejaribu kumruka kwenda anayejiita kaimu mkuu wa chuo anatwambia tuvumilie kwani yeye ni kaimu tuuu hana mamlaka. mamalaka zinazohusika tunaomba mtusaidie
mpishi mgosi bado yupo?
 
GUNDA bado anaendekeza mambo ya totoz na kuzibua mitaro ya maji taka? Hebu muwekeeni mtego naye akawe mgeni hapo magereza. Ila waambie hao wasichana kondom ni muhimu.
 
Aisee kwa mwandiko huu mwl nakusihi ujisalimishe tu kwa huyo mkufunzi Matata "atifue mambo"! kwa mstakabal wa maendeleo ya masomo yako.
 
dogo piga buku life is tough, kila sehemu, ngono IPO, je ukifika university watu daily kulana tu, ww kula kwa macho then acha apo apo, ukifika kazini utakuta pia head teacher anakula std seven wake utaripot na hiii piga book.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dogo piga buku life is tough, kila sehemu, ngono IPO, je ukifika university watu daily kulana tu, ww kula kwa macho then acha apo apo, ukifika kazini utakuta pia head teacher anakula std seven wake utaripot na hiii piga book.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna yule mkufunzi alikuwa wa computer jamaa alikuwa safi sana tulikuwa tunamwita pedeshee fulani alikuwa na kagari kake keupe hivi jamaa alikuwa hana issue na student videmu vilikuwq vinamshodeka kwa kumwita SIR, Jamaa alikuwa serious na kazi ila class alikuwa mcheshi sana
Simkumbuki jina lake alikuwa ana bonge ya o

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom