maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mbona sijawahi ona wanasiasa wakiitisha maandamano au kwenda mahakamani kupigania maslahi ya Wananchi?

    Najiuliza tu, Maandamano na kesi zote wanafungua zinahusiana na wao kushika madaraka. Mbona hawaandamani serikali ikifungia wakulima mipaka, mbona hawaendi mahakamani kupinga sheria za kodi etc. Mbona hawaendi mahakamani kupinga makato ya bodi ya mikopo. Kama wako kwa maslahi ya wananchi si...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania ni nzuri kuliko ya Marekani, hapa Rais hawezi kuratibu maandamano ya ghasia

    Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani. Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea? Itoshe tu kusema...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe vituko vya Donald Trump

    Watu waliandamana, nisikiavyo Trump alikua ndani ya nyumba yake akichungulia dirishani. Baada ya kumuonyesha shit holes zao waliondoka. Ni baada ya kusema developing countries are shit hole countries.
  4. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Kuimarisha mitandao yetu ya kijamii na kuondokana na Utegemezi wa Facebook, WhatsApp na Instagram

    Idadi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii Tanzania imeongezeka kwa kasi na kufikia 4.5 Milioni. Idadi hii imegawanyika katika makundi makubwa mawili,Kundi la kwanza ni wale wanaotumia mitandao ya kijamii kwa manufaa bila kuvunja Sheria,na Kundi la pili ni wale wanaotumia mitandao ya kijamii kwa...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Arusha wakataa maandamano

    Video hapo chini inatoa ujumbe.
  6. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ni ushahidi wa wazi kuwa ushindi wa CCM hauna dosari zozote

    Wadau, amani iwe kwenu. Watu hawashiriki kwenye maandamano kwa kushawishiwa. Maandamano ni utashi wa mtu na hushiriki tu kwa kuwa ameguswa. Maandamano ya kushawishiwa kwenye mikutano na waandishi wa habari ama kwenye mitandao ya kijamii siku zote hayafanikiwi. Wananchi wakiguswa hata utumie...
  7. Nyambala

    JamiiForums Tanzania Maandamano 2.0 - Yenye ufanisi, nchi nzima na haumizwi mtu

    Vurugu na ukatili wa Vyombo vya Dola ni sehemu muhimu ya Serikali za kidikteta katika kupambana na wapinzani wao kwa kisingizio cha kulinda amani na usalama. Kuna kila dalili maandamano yaliyoandaliwa leo yatajibiwa kwa nguvu kubwa ya dola ili kutisha wananchi, maana yakiruhusiwa yatawapa...
  8. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Kufanya maandamano ni kosa gani kisheria?

    Nataka nikuulize wewe DC au RC au Polisi ambaye unawatishia watu kua utawakamata watakaofanya maandamano, maandamano ya amani yamezuiliwa na Sheria ipi? Twafahamu kuwa wewe ni kada wa CCM na unatumika. Ufahamu kabisa kama ataumizwa au kuuawa Raia yeyote ambaye atatokana na maandamano haya...
  9. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwazuie Lissu na Hamad kufanya Maandamano

    Mimi nadhani itakuwa ni busara kwa Serikali kuwaachia Lissu na Hamad kufanya maandamano yao, tena iwape ulinzi mzuri na thabiti kusudi maandamano hayo yasiharibu mali za watu wengine. Ikiwezekana maandamano yote yarekodiwe tangu mwanzo hadi mwisho; yakiisha bila kuingilia uhuru na haki za raia...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

    UPDATE "Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM. ===== Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP...
  11. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    CHADEMA na ACT Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa Uchaguzi Mkuu chini ya Tume Huru ya Uchaguzi. Maandamano yataanzia sehemu 2, kundi moja litaanzia...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Watanzania waishio nje ya nchi (Tanzania Diaspora) waanza kuandamana

    Watanzania tuishio nje ya nchi (TANZANIA DIASPORA) tumeanza kuandamana kupinga UCHAFUZI uliofanyika juzi hapo nyumbani Tanzania! Hawa ni ndugu zetu kutoka Ulaya ya Kaskazini (Sweden 🇸🇪, Norway 🇳🇴 na Denmark 🇩🇰) ambao tayari wameanza maandamano yao nje ya Ubalozi wetu uliopo Stockholm, Sweden...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo: Hoja saba zinazowafanya Watanzania wasiwe tayari kumwaga damu kwa maandamano

    CHADEMA na ACT-WAZALENDO: Hoja 7 Zinazowafanya Watanzania Wasiwe Tayari Kumwaga Damu kwa Kuandamana. Vyama vya CHADEMA na ACT- Wazalendo vimekutana na kuwaambia waandishi wa habari eti kuanzia jumatatu wataanza maandamano yasiokuwa na kikomo kwa kile walichodai eti kuibiwa kura katika Uchaguzi...
  14. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwani Maandamano yana tatizo gani watu kudai haki na ni halali askari kuyazuia?

    Wasalaam wajumbe! Mimi ninashangaa sana wanaodai kuwa ooh sijui maandamano yatavuruga amani ya nchi, kwani maandamano si yapo kikatiba na yameruhusiwa kabisa pale mtu anapohisi kua haki yake imepokwa? Kama waandamanaji wanadai kua maandamano ni ya amani na wao hawatashika silaha au kitu...
  15. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

    UPDATES: 05:55 Asubuhi: Viongozi wa vyama vya ACT na CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Zitto Kabwe wanaingia kwenye ukumbi ambapo watafanya mkutano na waandishi wa habari. MNYIKA: Viongozi wakuu wa vyama vyetu tumekuwa kwenye vikao vya mashauriano na vimeendelea leo asubuhi...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

    Kuandaa maandamano ni fani kunahitaji mipango madhubuti, hata kama una ajenda muhimu huwezi kukurupuka na kutangaza leo au kesho kuna maandamano, Seif alikuwa na ajenda lakini hakuwa na mipango madhubuti aliongozwa na mihemuko, hasira na jazba. Wataalamu wa mipango ya maandamano wanasema ili...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani (CHADEMA& ACT-Wazalendo) kwenye mgomo wao na maandamano

    Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani kwenye mgomo wao na maandamano. Kwanza vyama vya upinzani vimegoma kukubali mapungufu yao makubwa kabisa ya kimuundo na kisera katika vyama vyao. Kwanza kabisa wananchi wanataka kujua kama kweli wana nia ya dhati? Kwanini kuna ACT Wazalendo...
  18. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Michenzani, Zanzibar: Maalim Seif akamatwa kwa kutaka kuongoza maandamano ya kupinga Matokeo ya Uchaguzi

    Mwenyekiti wa ACT Maalim Seif Sharif Hamad, Makamo Mwenyekiti Juma Duni Haji Ismail jussa na Viongozi wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Wamekamatwa muda huu Michenzani walikuwa wanaongoza maandamano ya kutafuta haki.
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maandamano dhidi ya ufalme, Waziri Mkuu yaendelea Thailand

    Licha ya kutangaza kutoongeza eneo la hali ya hatari, Waziri Mkuu wa Thailand ameitisha kikao maalum cha bunge katika wakati ambapo maandamano ya kumshinikiza kujiuzulu na mageuzi ya mfumo wa kifalme yakipamba moto. Katika kile kinachoonekana kama kulegeza misimamo yake, Waziri Mkuu Prayuth...
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Maandamano makubwa nje ya lango kuu la Mererani muda huu baada ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe

    Mererani kunachafuka baada ya sintofahamu ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe ambapo inadaiwa aliuliwa na vyombo vya ulinzi. Hii ni kutokana na msimamo wa ndugu zake ambao wamekataa kuchukua mwili kwa ajili ya maziko
Back
Top Bottom