maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ukiitisha maandamano kupinga Tozo za Simu na Kodi za Majengo kupitia LUKU, watu wengi wanaweza kujitokeza

    Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi. Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, si ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu watatu wauawa katika maandamano ya kupinga utawala wa Taliban

    Watu watatu wameuawa na dazeni ya wengine wamejeruhiwa baada ya wanamgambo wa Taliban kufyatua risasi ili kuwatanya watu waliokuwa wanaandamana kupinga utawala wa kundi hilo katika mji wa Jalalabad. Video zilizochukuliwa na kituo cha habari cha Pajhwok Afghan News, zimeonyesha waandamanaji...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tunakataliwa kufanya maandamano ili watawala watawale kwa oppression

    Kuhusu tozo la miamala kwa umoja wetu tulilala kupitia mitandandao ya kijamii. Tuliambiwa Rais alisikia kilio chetu na analifanyia kazi. Maelezo yaliyotolewa na msemaji mkuu wa serikali yalikua haya: Juzi katika mahojiano na BBC, Raisi anatushukuru Watanzania kwa kukubali tozo la miamala...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume na Maria Sarungi sijawaona katika maandamano Mahakama ya Kisutu, wanachochea halafu wamejificha nyuma ya kabati

    Hawa wadada wakiwa twitter wanaonekana kama tembo au simba, linapokuja suala LA kwenda saiti kutekeleza uchochezi wao, wao hawafiki! Yaani wanataka rule rungu, tufe,wao wabaki wakila bata. Maria Sarungi mama yake ni mzungu, ana pakwenda endapo njama zake za kuvuruga amani zikifanikiwa, sisi...
  5. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA Arusha wagoma kushiriki maandamano kuhusu suala la Mbowe

    CHADEMA ARUSHA YA LAZIMISHA VIJANA KUSHIRIKI MAANDAMANO, VIJANA WAGOMA WATOA MSIMAMO MKALI KUHUSU SUALA LA MBOWE Mkoani Arusha. Moja ya mikakati mikubwa inayoendelea kufanywa na CHADEMA nchini ni pamoja na kuendelea kuratibu zoezi kubwa la maandamano kwenda mahakamani kwa ajili ya kuishinikiza...
  6. the numb 1

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA walioandamana mitaa ya Mahakama ya Kisutu wadhibitiwa na polisi

    Hali si shwari katika viwanja vya mahakama ya kisutu hapa getin wandamanaji wa chadema na mabango yao wamekula SMASH za kutosha ila sikuona maana ya kuwakamata kwa maana ni maandamano yasiyokuwa na fujo hapo wengine wameshakula nduki na wanakimbizwa.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi wafanya mazoezi ya utayari wa kupambana na uhalifu wowote. RCP Muliro asema hawataruhusu kikundi cha watu kutengeneza hofu

    Askari wa jeshi la polisi wakiongozwa na kamanda wa kanda maalumu afande Muliro leo wamefanya mazoezi maalumu. Afande Muliro amesema mazoezi hayo ni ya kawaida kwa askari kujiweka tayari kupambana na uhalifu.
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kama Watu fulani wanaandamana, Tafsiri hasa ya neno Maandamano ni ipi?

    Kwa Mjini kama Dar es Salaam na kwingineko si jambo la ajabu kukuta makundi ya watu mabarabarani wakitembea kuelekea huku na kule , wengine masokoni , wengine kwenye viwanja vya soka , wengine wakitafuta Bar nzuri za kunywea pombe zao baada ya uchovu wa hapa na pale , wako pia wengjne...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mawakili 386 wajitokeza kumtetea Mbowe Mahakamani 05/08/2021

    Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Nawasalimu kwa jina la JMT. My take; Huu utitiri wa mawakili siyo...
  10. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini CHADEMA mpo wanyonge sana?

    Ni zaidi ya wiki mwenyekiti wenu Freeman Mbowe ananyea debe huko lupango. Lakini nyie ambao mpo huru mmeridhika tu na kunung’unika kwenye mitandao. Kwa nini hamjaingia barabarani kupigania uhuru wa mwenyekiti wenu ambaye mnasema anaonewa? Makamanda gani mnakuwa wanyonge hivyo? Mnaogopa nini...
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Dodoma: Mbowe asipoachiwa, tutaitisha maandamano bila kikomo

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dodoma kimesema kuwa endapo Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa Freeman Mbowe asipoachiwa ifikapo saa kumi kamili jioni leo July 22, 2021, kesho wataitisha maandamano bila kikomo mpaka pale Mwenyekiti atakapoachiwa. #MillardAyoUPDATES
  12. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Serikali, tumieni mbinu hizi ili kukabiliana na vuguvugu la Katiba nchini

    Maji yakimwagika hayazoleki! Katiba iliyopo mliiona ni mbovu wenyewe mkaanzisha mchakato wa katiba mpya wenyewe!Wala sio Mbowe wala Lisu wala Upinzani nchini! Kuendelea kutumia jeshi la polisi kuzuia hiki mlichokianzisha wenyewe ni kujiua wenyewe kisiasa na kupoteza uhalali wa serikali yenu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

    Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao. Waliochukuliwa: 1. Freeman Mbowe 2. John Pambalu 3. John Heche 4. Rose Mayemba 5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela) 6. Steven Odipo 7. Dr. Rwaitama 8. Seti...
  14. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Maandamano yaibuka kupinga sheria ya Corona Ufaransa

    Zaidi ya watu laki moja wameandamana kote Ufaransa kupinga hatua za hivi karibuni za serikali za kuwashinikiza watu kwenda kuchanjwa. Serikali inalenga kuzuia maambukizi ya virusi vipya aina ya Delta vinavyo sambaa haraka. Huko Paris, maandamano tofauti ya mrengo wa kulia na mrengo wa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ukimya ni maandamano

    Wasalaam. Watanzania wenzangu tumechagua viongozi/ kuchaguliwa viongozi bado sisi ndio tunaowafundisha namna ya kutuongoza. Hili ni kosa kubwa mno na ndio maana haya ya tozo, kukamatwa watu huko mwanza n.k yanatokea. Kama ni mtu mwerevu umeshaelewa namna na sifa za watu tulio nao kwenye...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Maandamano yaendelea kushika kazi Afrika Kusini kufuatia kukamatwa kwa Jacob Zuma

    Mamia ya watu wamekamatwa nchini Afrika Kusini huku ghasia zikienea kufuatia kufungwa jela kwa rais wa zamani Jacob Zuma. Waandamanaji wanaomuunga mkono Zuma kwanza waliingia mitaani baada ya kiongozi huyo wa zamani (79) kujisalimisha kwa mamlaka Jumatano ili kuanza kifungo cha miezi 15...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Eswatini yakiri watu 27 kuuawa kwenye maandamano ya kudai mageuzi

    Serikali ya Eswatini imekiri kutokea vifo katika maandamano wiki iliyopita. Waziri wa Biashara, Manqoba Khumalo ameeleza hayo katika mahojiano na Kituo cha Habari cha AFP Amesema nguvu ilibidi kutumika katika kudhibiti maandamano hayo na kwamba haikuwa nia, lakini kuna nyakati ilibidi risasi...
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani

    Wanabodi. CHADEMA tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani mapema watu wajiandae hizi kauli za kuvimbiana tumezichoka. Hebu tutoke nje ya keybord tufanye mambo chap kidogo tu usipotezeane muda hata kidogo. Mawakili kina Kibatala wapo watatutea tukikamatwa na polisi, tutatumia wembe...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya wananchi waandamana Burkina Faso

    Maelfu ya watu wameandamana wakitaka Serikali kuchukua hatua kali dhidi ya matukio ya mashambulizi na mauaji ambayo yameyumbisha Taifa hilo miaka ya hivi karibuni. Shinikizo limeongezeka kwa Rais Roch Kabore kudhibiti na kumaliza mzozo wa kibinadamu ambao umepelekea zaidi ya watu Milioni moja...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kudai katiba mpya Eswatini yadaiwa kumfanya Mfalme Mswati III kukimbia nchi

    Kutokana na vurugu zinazoendelea huko Eswatini baada ya wananchi kuchoka umaskini na udikteta wa mfalme Mswati aliye busy kuponda raha na vidosho inasemekana jamaa kaamua kukimbia nchi. King Mswati III of Eswatini. Image: Reuters Thousands of...
Back
Top Bottom