Sudan huenda ikaishiwa na dawa, mafuta na ngano baada ya maandamano ya kisiasa kulazimisha kufungwa kwa bandari kuu iliyopo mashariki mwa nchi, baraza la mawaziri limesema Jumapili.
Watu wa kabila la Beja ambao wanaishi mashariki mwa Sudan, walifunga barabara na kusababisha bandari za bahari ya...
Waandamanaji wamekusanyika katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Tunis, kupinga Rais Kais Saied kushikilia Madaraka
Ni maandamano ya kwanza tangu Kiongozi huyo Mkuu wa Nchi kutangaza kumfuta kazi Waziri Mkuu na kusitisha shughuli za Bunge Julai 25
Rais Saeid bado hajafanya uteuzi wa Waziri Mkuu au...
Imeripotiwa kwamba leo baadhi ya wanawake wa Afghanistan waliandamana wakipinga kuundwa kwa serikali mpya chini ya Taliban ambayo haina waziri mwanamke hata mmoja.
Katika harakati za kuzia maandamano hayo Taliban wamewatembezea vipigo waandamanaji pamoja na waandishi wa habari walikuwa...
Maafisa wa Taliban wamevunja maandamano ya Wanawake kadhaa huko Kabul. Imeelezwa Wanawake hao walikuwa wanadai Haki ya kufanya kazi na kujumuishwa kwenye Serikali.
Kundi hilo limesema mabomu ya machozi yalifumika kuwasambaratisha wakati wakijaribu kutembea kwenda Ikulu ya Rais.
Huu ni...
COVID-19: Five police officers injured after violence breaks out at anti-vaccine protest in London
Ten people were arrested after demonstrators clashed with police in Canary Wharf and South Kensington.
Friday 3 September 2021 23:39, UK
Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.
Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, si ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi...
Watu watatu wameuawa na dazeni ya wengine wamejeruhiwa baada ya wanamgambo wa Taliban kufyatua risasi ili kuwatanya watu waliokuwa wanaandamana kupinga utawala wa kundi hilo katika mji wa Jalalabad.
Video zilizochukuliwa na kituo cha habari cha Pajhwok Afghan News, zimeonyesha waandamanaji...
Kuhusu tozo la miamala kwa umoja wetu tulilala kupitia mitandandao ya kijamii. Tuliambiwa Rais alisikia kilio chetu na analifanyia kazi. Maelezo yaliyotolewa na msemaji mkuu wa serikali yalikua haya:
Juzi katika mahojiano na BBC, Raisi anatushukuru Watanzania kwa kukubali tozo la miamala...
Hawa wadada wakiwa twitter wanaonekana kama tembo au simba, linapokuja suala LA kwenda saiti kutekeleza uchochezi wao, wao hawafiki! Yaani wanataka rule rungu, tufe,wao wabaki wakila bata.
Maria Sarungi mama yake ni mzungu, ana pakwenda endapo njama zake za kuvuruga amani zikifanikiwa, sisi...
CHADEMA ARUSHA YA LAZIMISHA VIJANA KUSHIRIKI MAANDAMANO, VIJANA WAGOMA WATOA MSIMAMO MKALI KUHUSU SUALA LA MBOWE
Mkoani Arusha.
Moja ya mikakati mikubwa inayoendelea kufanywa na CHADEMA nchini ni pamoja na kuendelea kuratibu zoezi kubwa la maandamano kwenda mahakamani kwa ajili ya kuishinikiza...
Hali si shwari katika viwanja vya mahakama ya kisutu hapa getin wandamanaji wa chadema na mabango yao wamekula SMASH za kutosha ila sikuona maana ya kuwakamata kwa maana ni maandamano yasiyokuwa na fujo hapo wengine wameshakula nduki na wanakimbizwa.
Askari wa jeshi la polisi wakiongozwa na kamanda wa kanda maalumu afande Muliro leo wamefanya mazoezi maalumu.
Afande Muliro amesema mazoezi hayo ni ya kawaida kwa askari kujiweka tayari kupambana na uhalifu.
Kwa Mjini kama Dar es Salaam na kwingineko si jambo la ajabu kukuta makundi ya watu mabarabarani wakitembea kuelekea huku na kule , wengine masokoni , wengine kwenye viwanja vya soka , wengine wakitafuta Bar nzuri za kunywea pombe zao baada ya uchovu wa hapa na pale , wako pia wengjne...
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Nawasalimu kwa jina la JMT.
My take; Huu utitiri wa mawakili siyo...
Ni zaidi ya wiki mwenyekiti wenu Freeman Mbowe ananyea debe huko lupango.
Lakini nyie ambao mpo huru mmeridhika tu na kunung’unika kwenye mitandao.
Kwa nini hamjaingia barabarani kupigania uhuru wa mwenyekiti wenu ambaye mnasema anaonewa?
Makamanda gani mnakuwa wanyonge hivyo?
Mnaogopa nini...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dodoma kimesema kuwa endapo Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa Freeman Mbowe asipoachiwa ifikapo saa kumi kamili jioni leo July 22, 2021, kesho wataitisha maandamano bila kikomo mpaka pale Mwenyekiti atakapoachiwa.
#MillardAyoUPDATES
Maji yakimwagika hayazoleki!
Katiba iliyopo mliiona ni mbovu wenyewe mkaanzisha mchakato wa katiba mpya wenyewe!Wala sio Mbowe wala Lisu wala Upinzani nchini!
Kuendelea kutumia jeshi la polisi kuzuia hiki mlichokianzisha wenyewe ni kujiua wenyewe kisiasa na kupoteza uhalali wa serikali yenu...
Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.
Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti...
chadema
freeman mbowe
hadhara
katiba mpya
kongamano
kukamatwa
maandamano
mikutano
mikutano ya hadhara
mkuu wa mkoa
mwanza
polisi tanzania
taharuki
viongozi
wananchi
wenzake
Zaidi ya watu laki moja wameandamana kote Ufaransa kupinga hatua za hivi karibuni za serikali za kuwashinikiza watu kwenda kuchanjwa.
Serikali inalenga kuzuia maambukizi ya virusi vipya aina ya Delta vinavyo sambaa haraka.
Huko Paris, maandamano tofauti ya mrengo wa kulia na mrengo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.