maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. The Dictator

    JamiiForums Tanzania TAFAKURI: Maana halisi sita (6) za muda. Je, wewe unaelewa nini kuhusu Muda?

    1) Muda u taratibu unaposubiri jambo. 2) Muda u haraka unapokuwa umechelewa kitu/jambo. 3) Muda u hatari sana unapokuwa katika hali ya huzuni. 4) Muda u mfupi mno unapokuwa katika wakati mzuri au furaha. 5) Muda u endelevu unapokuwa katika maumivu. 6) Muda u mrefu unapokuwa huna cha kufanya ama...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kuelewesha: Uchumi wa buluu maana yake tafadhali.

    Mwenye uelewa wa neno "uchumi wa buluu". Nimekuwa nikisikiliza wenzetu,wa visiwani wakisema hili neno. Mwenye uelewa wake kwa kina,na ushiriki WA Hilo neno wa watanganyika
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haraka Simba SC itafute Msemaji mwenye kujua hasa nini maana ya Usemaji kuliko huyu 'Msemaji Comedian' ambaye haendani na Kasi ya Klabu na Mahitaji

    Simba SC ni Timu ya Wasomi kuliko ile nyingine ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala hivyo tunataka Mtu wa Kasi hiyo Oky?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jaji mstaafu, kanieleza Ufisadi awamu hii unatisha kuliko wakati wowote toka tupate Uhuru,

    Leo hii Nimepata wasaa wa kupata chai asubuhi kwenye kijiwe chetu mtaani, Jaji kaongea Kwa uchungu anasema ni kweli sisi majaji maslahi yetu ni kama tuko peponj na hatuna shida hata moja, Akaendelea kusema ile kufungua nchi uliingia pia uchafu wa kutosha, Akasema hivi unakumbuka ziara za...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Meneja Huduma za Utangazaji kutoka TCRA asema "Waandishi wengi wa Habari hawajui kusoma tarakimu"

    Meneja Huduma za Utangazaji kutoka TCRA, Inj. Andrew Kisaka, amesema asilimia kubwa ya Waandishi wa Habari hawajui kusoma tarakimu hasa wakiandikiwa ili wasome, kwani wamezoea maneno isipokuwa tarakimu za laki kwani ndizo wanacheza nazo kila wakati, hivyo hivyo ameiomba Tume Huru ya Taifa ya...
  6. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Maana ya kiapo na mambo ya kuzingatia kisheria unapoandaa kiapo (affidavit)

    Unapoandaa affidavit au kiapo unatakiwa kuapa juu ya mambo ambayo yako kwenye ufahamu wako binafsi tu. Soma Order XIX rule 3(1) Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Madai (CPC) inasema, "#Affidavits_shall_be_confined_to_such_facts_as_the_deponent_is_able_of_his_own_knowledge_to_prove..." Hata hivyo...
  7. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Vijana ndo maana tunakuwa wagumu kuwaamini katika suala zima la madaraka! Mkipata hela mnachowaza ni kufungua zipu! Ona sasa!

    Tuseme huyu ndo kiongozi kapewa ofisi na account ya benki ya kampuni
  8. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Studies zinaonesha Tanzania Tuna jamii ya mbilikimo/ Pygmies! sasa najiuliza ni kabila gan hilo?

    Wakuu mi huwa napenda kufatilia mambo ambayo hayafuatiliwi na watu wengine. Hii jamii ya pygymies inayopatikana tanzania ni ipi? Ndugu zangu waha mnisamehe nauliza tu maana waha wengi ni wafupi sana. Ni kwa ajili ya kujifunza Mfano jamii za pygmies kwene nchi mbalimbali Rwanda na Burundu...
  9. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Cecafa kagame cup Ina maana au ni aina nyingine ya usumbufu kwa mabingwa

    Mashindano yanatarajiwa kuanza July ambapo team mbalimbali za east afrika zitashiriki kwa ngazi ya vilabu Najaribu kutafuta mantiki ya haya mashindano hasa katika kipindi ambacho team ya Yanga inataka ipate utulivu wake wa miaka yote mitatu pale Avic town ili kujiwinda na msimu ujao wenye...
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Akionyesha ulimi hivi ana maana gani?

    Anamaanisha " wee umeisha..hapa umeisha😂😂😂"
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Picha: Miradi ya maana Dubai

    Usijiulize kwanini wa bongo wengi sana kwa sasa nchi yao ya future kwenye biashara ni Dubai city Ona midude hiyo.
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watanzania wakienda kwenye mikutano ya sîasa usidhani wamefuata kûsikia jàmbo la maana. Hufuata vijembe vya Mwijaku na Babalevo

    Wakuu mpo! Watanzania wengi ûkiwaona kwenye mikutano ya Siasa usiwachukulie Serious sana kwa sababu wao wenyewe hawapo Seriôus. Wengi hupenda kusikia wanasiasa wakiwa jukwaani wakiongea kwa mtindo wa Mwijaku na Babalevo. Yaani mambo ya ajabuajabu. Maûtani yasiyo na kichwa wala miguu...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mizaha tunayofanya kwenye mambo ya maana inaonesha jinsi watanzania tusivyojiheshimu!!

    Wakati mwingine mtu unatamani kusema sisi watanzania ni majuha lakini unaheshimu uumbaji wa Mungu wetu. Jinsi mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya watu tuliowapa madaraka yanavyotia kinyaa, mtu unatamani kusonya lakini ukweli ulio mbele yetu unakutia aibu. Wakati mwingine unaposikia mtu...
  14. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Hii ndio maana halisi ya biashara ya nyoka inalipa

    Mzigo ndio hivyo kama unavyoonekana kilimo cha nyoka kinalipa.
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wabongo kwa kujiita C.E.O mitandaoni utafikiri hata wanajua maana na kirefu cha herufi hizi. Sio mbaya kujiinua ila huu ni ulimbukeni.

    Mara utasoma " The cute baby mama" C.E.O wa Ze Cute Outfits za warembo Mara "Juma aka Simba mkali" C.E.O wa simba fanicha kunduchi" Maana halisi na ya kawaida ya C.EO ni mtu mkuu mwenye jukumu la kusimamia kampuni, ambaye wakati mwingine pia ni rais wa kampuni au mwenyekiti wa bodi. Tena hapo...
  16. mmmuhumba

    JamiiForums Tanzania Kuukumbatia moto katika mapenzi ni kujipa kasoro isiyo lazima, acha maana hauishi milele

    Ni ukweli mchungu kuwa ipo siku tutakufa na kila kitu kilichopo katika ulimwengu hakitodumu bali kinapita. Ni muhimu sana katika shida zote ukatambua na wewe unahitaji kupata muda wa kuyafurahia maisha yako kwa hali yoyote ile iwe kwa kingi ama kidogo ulichonacho. Katika mahusiano, wapo watu...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Mungu maana yake ni nini? Au Mungu ni nini?

    Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu. Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao msingi wake ni kutokuwa na uelewa wa kina wa mambo na elimu ya vitu umewavutia watu wengi katika...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya yatima?

    Babangu ana miaka 59, lakini wazazi wake wote wametangulia mbele za haki. Je, ni yatima?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere bado yupo sahihi kwenye muungano, Umoja haujapoteza maana

    Nikiwa mtoto mdogo pale Ikulu niliwahi kumona Mwalimu akitoa hotuba ndefu pembeni ya hayati Rashid Kawawa miaka ile ya 80 mwanzoni. Mwalimu alijaliwa karama binafsi za ushawishi {charismatic leader}, alikuwa akiufahamu uwezo huo aliojaaliwa na Mungu lakini haikumfanya akavimba kichwa na kujiona...
  20. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Mzazi unajisikiaje unapopata mtoto na uchaguzi wa jina una maana gani kwako?

    Mtoto ni baraka kutoka kwa muumbaji wa hii dunia, ni furaha ya wazazi pamoja jamii kwa ujumla uwepo wa mtoto inaonekana ni nuru na baraka kwa kuwa ni kiliwazo kwa wazazi na inatarajiwa kuongezeka kwa maarifa na nguvu katika familia, jamii au taifa kwa ujumla. Katika jamii za kale kuna tamaduni...
Back
Top Bottom