Mwanaume ukisema nakupenda, maana yake ni nitegemee

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Kupenda sio hisia, ni uwezo.

Mwanamke ukisema unampenda, anasahauu hapo hapo, ndo maana wanauliza unanipenda? Wanataka kusikia

Unavyosema nakupenda maana yake ni nitegemee. Hivyo kama Umependa maana yake mpe hela ya kila kitu.

Majukumu ya mwanamke ni kukuheshimu tu. Yaani mwanamke ukimpenda haduduani nje. Akiduduana achana naye, maana yake haamini kama unampenda.

Mwqnamke mwambie unampenda kila unapo muona sababu anasahau haraka pia ukimwambia unampenda haamini


TATIZO

Mwanaume anachotaka ni kuheshimiwa tu. Asikuone na mwanaume mwingine wala mahusiano wala urafiki. Sababu wanaume wameumbiwa Wovu. Akigundua unacheka na mwanaume mwingine umekwisha.

So jitathimini.

Hutaki acha
 
LGBTQ hawataki kutegenewa ndio maana wanapinga ndoa coz uanaume haupo ndani yao. Utawaona hapa muda si mrefu
 
Umoja wa Wanaume Bahiri Tanzania (UWABATA).

Tukimwambia Mwanamke "Nakupenda" tunamaanisha kuwa hatuongi hata shilingi.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Enyi waume wapendeni wake zenu, enyi wake watiini waume zenu...imeandikwa hivyo kwa bible
 
Mapenzi hayana formula ni makubaliano yenu na pia inategemeana na mazingira usikariri maisha
 
Back
Top Bottom