Misri yaanza kujenga hema za Wapalestina watakao ondolewa Rafah, maana ni dhahiri Israel wanapiga

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Israel imekua kichwa cha mwenda wazimu, wamegoma kumskliza yeyote na wameanza mapigo Rafah, raia wema wanaondolewa na kupelekwa kwenye hema, watakaobaki ni magaidi ya dini akina HAMAS na hawana sehemu nyingine ya kukimbilia.

Misri wameona isiwe tabu, wasaidie kwenye kujenga hema, wao kwanza wamejenga ukuta wa kuhakikisha hao waarabu wenzao hawavuki kwenda kuwa kero Misri, ila wameona ili kuondoa lawama, wajenge hizi hema.

 A truck carrying aid arrives at a tent camp, as Displaced Palestinians who fled their houses due to Israeli strikes, take shelter there amid the ongoing conflict between Israel and Hamas, near the border with Egypt in Rafah in the southern Gaza Strip, February 6, 2024. (photo credit: REUTERS/MOHAMMED SALEM)
A truck carrying aid arrives at a tent camp, as Displaced Palestinians who fled their houses due to Israeli strikes, take shelter there amid the ongoing conflict between Israel and Hamas, near the border with Egypt in Rafah in the southern Gaza Strip, February 6, 2024.(photo credit: REUTERS/MOHAMMED SALEM)

Egypt is preparing an area at the Gaza border which could accommodate Palestinians in case an Israeli offensive into Rafah prompts an exodus across the frontier, four sources said, in what they described as a contingency move by Cairo.
 
Hawa wapalestine(wafilisti) Itakua ni Masai wa kiarabu
Umekosea Mkuu.. Palestine sio wafilisti.. Philistine na Palestine ni watu tofauti.. Philistine ni Wazungu asilia ya Ugiriki na walikuwa hawatahiriwi yaani Magovi na Palestine ni Waisrael walioishi enzi za Utawala wa Warumi baada ya Yesu ni Jina la Maudhi wa Waisrael na waliwafanya wahame japo sio wote na kutapakaa karibu Dunia Nzima na walianza kurejea kwenye Nchi yao kwa wingi karne ya 18 mwanzoni mwa karne ya 19 waliwakuta pia vizazi vya Waisrael vilivyobaki tokea enzi hizo japo kwa uchache sababu Muslim walikuwa wanawaua sana haswa maeneoo ya Jordan ni kama walimalizwa.. ndio maana mkutano wa Umoja wa mataifa ukasema Arabs waishi Jordan na Waisrael maeneo Mengine wakakataa ndio mwanzo wa mgogoro na vita vilipigwa na arabs walishindwa vita zote walizoanzisha.. Israel haikuwahi anzisha vita bila uchokozi yeye anza nikupige
 
Operation tokomeza ugaidi inaenda vizuri japo kuna vibaraka wao humu JF akina [mention]Alwaz [/mention] wanajaribu kupotosha ukweli
 
Back
Top Bottom