lodge

  1. Tuelimishanee

    Lodge / Hotel nzuri Mwanza

    Wadau wa JF naomba kuhulizia Lodge / Gest house nzuri ambayo inapatikana Maeneo ya Nyegezi au karibia hayo maeneo ni ipi?? Ambayo bei zake ni nafuu Msaada tafadhali itapendeza ukinitajia jina na mawasiliano tafadhali.
  2. M

    Naomba kuelekezwa lodge ambayo naweza kulala maeneo ya Manzese

    Naomba husika na mada apo juu naomba mwenye uzoefu anipe jina la lodge nzuri maeneo ayo isizidi 25 jamani sina hela bajeti yangu ndogo natokea pemba naitaji kukaa apo kwa siku 4 ila ninaemfata yupo na chumba kimoja tu. Naimani mutanisaidia
  3. P

    Lodge mwananyamala

    Habari wadau nahitajika kuwepo dar kwa usiku mmoja na mimi ni mgeni jijini je nawaleza pata lodge maeneo karibu kabisa na mahakama ya ardhi Mwananyamala kwa budget ya shs 20000 kwa usiku mmoja msaada please.
  4. Ushimen

    Mdada niliyewahi mkimbia lodge ndiye Hakimu kwenye kesi yangu leo

    Ni miaka 12 sasa, huyu mwali tulikutana kwenye usahili katika moja ya makampuni makubwa yaliyowekeza Tanzania. Kwa bashasha tulitokea kuelewana na tukafahamiana ndani ya muda mfupi, na vijana wana msemo kwamba binti alinielewa baada ya kuonesha kumjali kwa mambo kadhaa. Baada ya usahili...
  5. AKILI TATU

    Msaada wa lodge au motel karibu na Ubungo terminal

    Wandugu..natazamia kupata ugeni hivi karibuni..msaada mwenye kujua affordable lodge au motel karibu na Ubungo bus terminal ..nimesearch google sijaona affordable . Rent ianzie 20-35
  6. D

    Hotuba ya Rais imeonyesha njia; Tozo na kodi kwa mahoteli na lodge zipunguzwe

    Nimesikiliza hotuba nzuri ya Rais na kubaini kuwa Rais anayo nia njema ya kulipeleka mbele taifa letu. Kwa upande wa miundo mbinu ya watalii mahoteli ni muhimu sana yakaboreshwa kwa kuyawekea mazingira mazuri hivyo nashauri mambo yafuatayo: 1. Kupunguza bei ya leseni ya TALA kwa mahoteli kama...
  7. hp4510

    Mwenye kujua Lodge au hotel mzuri njombe

    Kesho Nina safari ya njombe, naomba msaada kwa mtu yoyote ambae yuko njombe Anipe connection ya hotel au lodge mzuri ya kuanzia elf 40 Kuja chini Iwe kwenye maeneo Mazuri ambayo ni easy pia kufika
  8. Matope

    Msaada Lodge nzuri maeneo ya Makumbusho Dar

    Wakuu msaada naomba kujua lodge nzuri maeneo ya makumbusho isiozidi 25,000 Jina.......... Bei............ Asante
  9. Samia atosha tukutane2030

    Kumchukua Barmaid na kuingia naye Lodge, Guest House au Geto ni sawa na kumchezea simba

    Ndugu zangu napenda kuwaasa, ma-barmaid wengi ni watu waliofika bar kwa bahati mbaya. Usidanganyike na makalio, wigi, lip stick, wanja au makucha yale ya bandia. Wengi ni watu waliokosa njia wakajikuta wako bar. Hivyo ni watu wanaoisaka fedha kwa hila zote. Ni nyoka wale, usiwakumbatie...
  10. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    Carepoint Lodge, ni lodge mpya ya kisasa inayotegemea kuanza biashara mwezi September 2020 maeneo ya Madale, Dar es salaam. Lodge itakuwa na vyumba takribani 15 ikikamilika. Tunahitaji wafanyakazi wafuatao: 1)Mapokezi (Front Office staff,): uwe na uwezo wa kuhudumia vema wateja (customer...
  11. Samia atosha tukutane2030

    Kama huna uwezo wa kumpeleka lodge achana na mambo ya mapenzi

    Nawapa hint wadogo zangu na ma brother wangu. Ukijiona kila ukimpata demu uwezo wako ni kwenda guest house tu, tena huko unaomba ulipe kwa show time ili ubane matumizi basi jua umeyakimbilia mapenzi. Tafuta pesa , yes mwili umeshakua tena huenda una zaidi ya miaka 30 lakini mfuko wako haujakua...
  12. M

    Lodge gani nzuri affordable Singida Mjini!

    Wakazi wa Singida Ni Lodge gani hapo mjini Ni nzuri na affordable! Naomba kujua ..Bei,naLocation
  13. CASH MONEY BROTHER-CMB

    Ulishawahi ingia lodge ukakutana na mke wa mtu naye katoka kuliwa?

    Imenitokea mara tatu hivi kukutana na wake za watu ana kwa kwa ana katika lodge mmojawapo naheshimiana sana na familia yake!Hii kitu ilinifikirisha sana hasa ukizingatia wawili kati yao ni wacha Mungu wazuri sana! Kikubwa usitambe kwa watu kwamba mkeo mwaminifu utakuja kuumbuka!
  14. Bwegemsela

    Gharama za ujenzi wa lodge

    Habari za jioni wana jamvi mm ni kijana wa kitanzania ambaye napambana na hili janga la umasikini, nina bajeti ya 50ml nahitaji kujenga Lodge ya kiwango cha kati Room zisizopungua 7 reception na counter vyumba vyote self, gharama za kiwanja pembeni, naombeni wajuzi mnisaidie kwa ushauri na...
  15. The Assassin

    Msaada wa Lodge nzuri ya kufikia Mwanza Mjini

    Wenyeji wa Mwanza naomba msaada wa kujua lodge nzuri ya kufikia Mwanza Mjini. Nina safari ya Mwanza hivi karibuni ila sina uzoefu wa wenyeji wa mjini. Naomba anayefahamu Lodge nzuri anisaidie kujua kufahamu ila iwe mjini au maeneo ya jirani na mjini. Ahsante.
  16. kituli one

    Msaada wa nyumba nzuri ya kulala wageni karibu na maeneo ya Hospitali ya Muhimbili

    Wakuu salama, Naomba msaada wa kupata lodge nzuri na yenye bei nafuu kuanzia 20,000 hadi 30,000 maeneo ya jirani na Muhimbili hoapitali. Mke na mwanangu wanakuja huko hospitali
  17. U

    Lodge iliyojificha classic maeneo ya Kigamboni

    Wakuu umofia kwenu...kuna mtoto mmoja nataka nimle vya kutosha maeneo ya kigamboni....sasa natafuta classic iliyojificha maeneo ya kigamboni..bdget yangu ni kuanzia 35000 hadi 50000
Back
Top Bottom