lodge

  1. L

    Biashara ya lodge

    Nataka kunadilisha nyumba ya kupanga iliyopo Dodoma karibu na chuo Cha mipango kuwa lodge.. Ushauri wenu na namba nzuri ya kufanya
  2. A

    Natafuta gesti za 5,000 Mbeya

    Jamani mwenye connection za gest za 5000 kwa mbeya anipe, au za bei poa naeza nkakaa.
  3. Sega la asali

    Kahama na Mwanza Mjini: Naomba kujua wapi panafaa kuwekeza lodge ya kisasa

    Habari wakuu; Naomba kufahamishwa kati ya wilaya Kahama na Mwanza mjini ni wapi pazuri kuwekeza Lodge ya kisasa na biashara ikasonga? Zingatia haya unaposhauri; 1. Upatikanaji wa kiwanja wenye ukubwa wa angalau ukubwa wa mraba 30mx40m 2. Maeneo yapi mwa mji utapata ukubwa huo na bei yake 3...
  4. Nyaka-One

    Kuna ubaya wowote kulala hotelini au lodge badala ya kulala msibani pasipo na malazi ya kutosha?

    Maisha yetu ya kitanzania wote tunayafahamu. Nimemsindikiza rafiki yangu kwenye msiba wa ndugu yake wa karibu na mazishi ni kesho kutwa. Nikiangalia kwa haraka haraka kwa udogo wa nyumba msiba ulipo na idadi ya waombolezaji ambao wengi wao wanaonekana watalala nataka nimshauri huyu rafiki...
  5. Samia atosha tukutane2030

    Pesa ya lodge wewe, pesa ya chakula na vinywaji wewe, mkimaliza kuzini pesa ya nauli wewe, pesa ya matumizi wewe. Kijana, tafakari una akili timamu?

    Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3. 1. Kufanya ngono 2. Kula na 3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri). Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo. Ila...
  6. Twilumba

    Hotel au Lodge nzuri maeno ya Ukonga, Gongo la Mboto hadi Pugu

    Habari za humu Jumba la Melo! Ninatarajia kupata mgeni kesho Ijumaa hii akitokea kusini kwa kina Miso Misondo. Mgeni wangu amehitaji hotel au lodge nzuri maeneo ya Ukonga, Gongo la Mboto au Pugu, anahitaji hotel au lodge kwenye eneo mojawapo ya hayo lkn kuwe na utulivu kiasi cha kuweza...
  7. Pdidy

    Ukikutana na mkeo lodge wote mnatoka unafanyaje???

    BAHATI HAKUWA MKE WANGU NI MKE WA KAKAYETU MMOJA MAJUZI KATI NILIENDA KUPUMZIKA LODGE MOJA SINZA NIKIWA NATOKA GAFLA NIKAONA NA YEYE KATANGULIZWA MBELE NA JAMAA AKAPANDA CRUISER MOJA MATATAA TULIPOANGALIANA TULIPEANA TU SMILEFACE NKAWAZA SANAA WAKEZETU HAWAA MMMH..MUMEWE N DEREVA WA...
  8. Jugado

    Natafuta lodge au hoteli nzuri ya kukaa na familia Bagamoyo kwa wiki moja

    Wadau anaejua hoteli au lodge nzuri ya kuchili na familia msimu wa Desemba anipe machimbo. Price isizidi laki Kwa siku. December hii sisafiri pia hatutaki kashi kashi. Asante. NB. Ikiwa Dar iwe sehemu isiyo na makelele.
  9. stephot

    Naenda Nairobi, wapi nitapata lodge ya bei rahisi?

    Wadau mlioko Nairobi niko njiani naelekea huko,mwenye kujua mitaa gani naweza kupata Lodge ya bei rahisi,budget yangu isizidi 1500 ksh kwa siku,chumba sefl contained...
  10. stan john

    Naomba kujuzwa Lodge au Hotel ambayo naweza kulala maeneo ya Manzese

    Naomba kuuliza naweza kupata hotel au lodge nzuri na yenye usalama maeneo ya manzese isiyosidi 25k , nataka kukaa siku tano bajet yangu ni hiyo. Natokea Mbeya nakuja kuleta ndizi mabibo sokoni.
  11. PAMILA

    Msaada lodge nzuri Musoma

    Wanajukwaa naomba msaada wa Lodges nzuri za bajeti ya kati 25 to 30.
  12. Pdidy

    Lodge za 5000/'7000 per day Dar es salaam Pls

    Hi guys hope mko poa woteeeee rejea kichwa cha habari hapo juuu tunaomba mwenye kujua hili atupe direction pls ' kuna kazi dar tunawaleta mabinti kadhaa na makakaa wengi kidogo nahitaji .............maelekezo yenu ahsanteni isiwe mbali sana na jiji letu tukufu wale wachumi tumeelewana rgds Pdidy
  13. TheChoji

    Nje ya lodge ni mazingira hatarishi kukaa!

    Kuna vijana wa hovyo sana nchi hii. Utakuta mijitu imeweka kijiwe nje ya lodge/guest house inapiga stori zisizo na kichwa wala miguu. Hivi nyie mmekosa mahali pa kwenda mpaka mje mkae hapo nje ya guest na kusababisha watu wanashindwa kutoka humo ndani. Si muende uwanjani au sehemu nyingine...
  14. hsnaturalfertility

    NEMC iangazieni kwa Tunza lodge Mwanza haraka (noise pollution)

    Wananchi wa Ilemela Mwanza tuna taabu kubwa, hapa naandika hii thread ni saa sita usiku, hawa Kwa Tunza lodge wanapiga muziki sauti ya juu sana hakuna kulala. Tena leo wamemualika DJ AllyB kila saa "Nasemaje", yaani tunasubiri alfajiri wakimaliza labda ndio tutalala. Huyu Salum mmiliki wa Kwa...
  15. The Boss

    Wamiliki wa lodge kuweni serious

    Sometimes mtu anasafiri analazimika kuchukua chumba lodge Kwa sababu mbalimbali ikiwemo ukaribu wa anapokwenda mfano kikazi mtu atachukua lodge karibu na ofisi, au ukumbi wa mikutano na kadhalika. Sometimes kwa sababu ya lodge zingine kuwa zimejaa n.k.. Lakini sasa unaona lodge nzuri Kwa nje na...
  16. FRANCIS DA DON

    Jiji la Dar ikifika Jumamosi, Lodge, Guest na hotel za nyota ndogo zote hujaa. Shida nini hasa?

    Siku hizi kama unatoka safari kuja Dar, basi jitahidi usifike huku Jumamosi usiku, wallahi utalala stand.
  17. B

    Msaada: Lodge nzuri maeneo ya Mwenge

    Wakuu, nahitaji lodge nzuri maeneo ya Mwenge na makumbusho, Dar es salaam. Bajeti yangu ni Tsh. 20,000 hadi 25,000.
  18. MTINGIJOLI

    Naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia Zanzibar

    Wakuu nimepata ka-trip kuelekea Zanzibar, katika kutembea kwang kote, sijawahi fika Zanzibar, hii ni mara ya kwanza, sasa naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia (pasiwe gharama sana) sehemu za kwenda kupata kilaji na ku enjoy na totoz, kwa anayefahamu please ningeomba ange-share hapa nipate...
  19. B

    Saa nyingine wanaume tukipenda sana, first date tunamwalika mwanamke restaurant au sehemu nyingine tulivu ila sio gheto au lodge

    Kuna katabia ambacho wanaume tunacho, tukimpenda sana mwanamke hadi kujisemea akilini huyu akinikubali namwoa, tunaona noma kumwita gheto on first meeting, kwasababu tunahisi atakataa, na tutajiharibia cv kwa kuonekana wahuni, na hatutaki tukataliwe. Badala yake tunaomba tukutane mgahawani, au...
  20. K

    Natafuta hostel au lodge ya bei poa Mkoani Mbeya

    Wakuu, mwezi wa tano mwanzoni nitakua mkoani mbeya kikazi kwa muda wa karibu miezi 4. Sitarajii kusafiri na familia yangu ila nategemea wife atakua ananivisit mara kwa mara. So nilikua naomba kujulishwa wapi kwa mkoa wa mbeya nitapata hostel ya bei rahisi kama zile wanazokaa watalii kule mikoa...
Back
Top Bottom