Kumchukua Barmaid na kuingia naye Lodge, Guest House au Geto ni sawa na kumchezea simba

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,693
36,080
Ndugu zangu napenda kuwaasa, ma-barmaid wengi ni watu waliofika bar kwa bahati mbaya.

Usidanganyike na makalio, wigi, lip stick, wanja au makucha yale ya bandia.

Wengi ni watu waliokosa njia wakajikuta wako bar. Hivyo ni watu wanaoisaka fedha kwa hila zote. Ni nyoka wale, usiwakumbatie, kimbia.

Utanishukuru mbinguni.

Note: Sijawahi kumtongoza wala kulala na barmaid. Nawaasa tu kwa experience niliyoipata kidogo kuhusu hawa wauza pombe wanaolipwa 50 lakini wanajenga kijijini kwao na kutuma pesa ya kula kwa mama na watoto wake.
 
Utanishukuru mbinguni
Kiasi kikubwa ni kweli lakini siku hizi asilimia kubwa ya wanawake wengi ni wauzaji tu, ila ni kwa style tofauti tofauti tu!!! Unaweza ukakuta mwanamke yupo home tu lakini anauza kwa kupigiwa simu tu!! Na ndio wengi siku hizi mjini!! Na huyo barmaid anaweza asiwe hatari sana kwakuwa utachukua tahadhari mapema, ila hao unao wakuta muda wote wako kwenye baibui ukajiachia tu, ukiamini ni salama kumbe ni moto!!!
 
Tunajikinga vipi na sura nzuri zilizovaa ukimwi?
 
Kiasi kikubwa ni kweli lakini siku hizi asilimia kubwa ya wanawake wengi ni wauzaji tu, ila ni kwa style tofauti tofauti tu!!! Unaweza ukakuta mwanamke yupo home tu lakini anauza kwa kupigiwa simu tu!! Na ndio wengi siku hizi mjini!! Na huyo barmaid anaweza asiwe hatari sana kwakuwa utachukua tahadhari mapema, ila hao unao wakuta muda wote wako kwenye baibui ukajiachia tu, ukiamini ni salama kumbe ni moto!!!
Siku hii ndio imeshamiri sana wanajiuza watsapp, telegram huko unachagua mtoto unaungwa nae mnakubaliana pa kukutana...

Sasa hii mbaya sana mana unaeza ingizwa chaka ukawa na girlfriend changudoa bila kujua we upo job mdada analitembeza mchana kutwa
 
Ndugu zangu napenda kuwaasa, ma-barmaid wengi ni watu waliofika bar kwa bahati mbaya.

Usidanganyike na makalio, wigi, lip stick, wanja au makucha yale ya bandia.

Wengi ni watu waliokosa njia wakajikuta wako bar. Hivyo ni watu wanaoisaka fedha kwa hila zote. Ni nyoka wale, usiwakumbatie, kimbia.

Utanishukuru mbinguni.
Note: Sijawahi kumtongoza wala kulala na barmaid. Nawaasa tu kwa experience niliyoipata kidogo kuhusu hawa wauza pombe wanaolipwa 50 lakini wanajenga kijijini kwao na kutuma pesa ya kula kwa mama na watoto wake.
Pole sana. Acha kuingia kichwakichwa. Siku nyingine utakosa hata bundle la kupost hapa.
 
Back
Top Bottom