Ulishawahi ingia lodge ukakutana na mke wa mtu naye katoka kuliwa?

syllae

JF-Expert Member
May 29, 2015
1,739
2,000
Imenitokea mara tatu hivi kukutana na wake za watu ana kwa kwa ana katika lodge mmojawapo naheshimiana sana na familia yake!Hii kitu ilinifikirisha sana hasa ukizingatia wawili kati yao ni wacha Mungu wazuri sana!
Kikubwa usitambe kwa watu kwamba mkeo mwaminifu utakuja kuumbuka!
Ulichukua namba kumuuliza vizur imekuaje mpak akawepo ulipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
castieltsar

JF-Expert Member
Jun 3, 2016
912
1,000

FK21

JF-Expert Member
May 27, 2019
1,627
2,000
Imenitokea mara tatu hivi kukutana na wake za watu ana kwa kwa ana katika lodge mmojawapo naheshimiana sana na familia yake!Hii kitu ilinifikirisha sana hasa ukizingatia wawili kati yao ni wacha Mungu wazuri sana!
Kikubwa usitambe kwa watu kwamba mkeo mwaminifu utakuja kuumbuka!
Ndio baada ya siku mbili kanitafuta nimle 0713

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
3,016
2,000
Imenitokea mara tatu hivi kukutana na wake za watu ana kwa kwa ana katika lodge mmojawapo naheshimiana sana na familia yake!Hii kitu ilinifikirisha sana hasa ukizingatia wawili kati yao ni wacha Mungu wazuri sana!
Kikubwa usitambe kwa watu kwamba mkeo mwaminifu utakuja kuumbuka!
Unawahukumu badala ya kujutia kwanza uharo wako... Watu wabaya sana.... Yaani ur pointing fingers to them while na wewe umeenda kufanya the same!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
carcinoma

JF-Expert Member
Mar 5, 2017
4,844
2,000
Nimewahi kutana na maza mmoja umri kama late 40's ..yeye anaingia chumba kinachoangaliana na room ninaloingia mimi.. na nilikua namjua.. ile aibu 👐👐🙌🙌🙌
 
cognition

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
1,226
2,000
Kuna Mother alikuwa mke wa mtu, sasa mchepuko ukamuelekeza Guest House, Kufika pale akakuta kuna room imeshabukiwa ila haijalipiwa,Yule maza alikaa kama masaa manne yule mchepuko hakutokea, ile kupigiwa na yule jamaa wa mapokezi akadai amepata udhuru hawezi kuja. Msala ukawa kwa yule maza maana alishadanganya kwa Mme na hawezi rudi siku hiyo, kingine room anailipia nani? Bei ya room ilikuwa 35k

Mimi,nilikuwa nipo na jamaa zangu tumeenda kwenye huo mkoa kwa ajiri ya mafumzo/Semina so kuna mwana akaona goli hili akamgongea mlango yule maza kama kwenda kumpa ushauri, aisee masaa yakakata mwana yuko ndani ya room tukaogopa, ile kumgongea Mwana anatoka yuko kifua wazi,kumbe anajipoza kwa yuke Mama na wameshaku-baliana jinsi ya kulipia ile room. Inabidi uwe na roho ngumu kwenye inshu kama hii maana unaweza kutolewa malinda hivi hivi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom