linateketea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    Kigoma: Soko la mitumba linateketea kwa moto

    Soko kubwa linaloitwa Soko la Mitumba linalopatikana Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma linateketea kwa moto usiku huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana. Tayari Jeshi la Zimamoto na uokoaji limefika eneo la tukio na kushirikianana baadhi ya Wananchi kuokoa mali na kuzima moto...
  2. Pac the Don

    Taifa letu linateketea kwa uchawa wakuu

    Wazee hivi hakuna namna ya kuishi tu hata kwa kipato duni ? Kweli mwanaume anajitoa ufaham angalau apate chochote kitu 😂😂😂. Mkulungwa Mushi hii sio sawa!!
  3. Idugunde

    Jengo la ofisi za TAMISEMI jijini Dodoma laungua kwa moto

    Jengo la Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Dodoma linateketea kwa moto muda huu ambapo Jeshi la Zimamoto na Ukoaji linaendelea na juhudi za kuuzima. #MwananchiUpdates ======== Waziri wa Tamisemi, Innocent Bashungwa, akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Profesa...
  4. konda msafi

    Soko la Vetenari lililoko maeneo ya TAZARA linateketea kwa moto, Chanzo Hitilafu ya umeme

    Muda huu soko lililopo mbele ya Daraja la TAZARA au Mfugale upande wa kushoto kama unatokea Buguruni linateketea kwa moto. Jina la soko silikumbuki vizuri, sijui linaitwa Vetinari. Chanzo cha habari ni mimi mwenyewe. Nimepita muda huu nimekuta soko linateketea. Zima moto na gari lao wapo ila...
  5. mekuoko

    Taifa langu linateketea kwa kukosa maarifa

    Speech Mh. Samia Suluhu Hassan jana akihojiwa na Kikeke wa BBC naona imeligawa taifa. Kwamba tabaka la watawala na Watawaliwa. Na kwamba ukishaazishwa uongo basi unasimamiwa na wote ili kulinda madaraka. Kundi hili la watawala wanawatoza watawaliwa wanyonge makodi makubwa bila kujali kama...
Back
Top Bottom