Taifa letu linateketea kwa uchawa wakuu

Pac the Don

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,177
7,699
Wazee hivi hakuna namna ya kuishi tu hata kwa kipato duni ? Kweli mwanaume anajitoa ufaham angalau apate chochote kitu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Mkulungwa Mushi hii sio sawa!!
IMG_20221205_083301.jpg
 
Uchawa nao pia Ni tactic ya kusurvive, wapo watu ambao hawana elimu ya kuwapa ajira na Wala hawana bidii ya kuhustle na kupata pesa zao wenyewe.

Ila wamejaaliwa vipaji vya kupiga mizinga kwa watu wengine.Yaani Kuna mtu alikuomba hela utampa bila hiana mazee๐Ÿ˜‚
 
Wazee hivi hakuna namna ya kuishi tu hata kwa kipato duni ? Kweli mwanaume anajitoa ufaham angalau apate chochote kitu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Mkulungwa Mushi hii sio sawa!!View attachment 2438673
Mkuu sifa ni hitaji kubwa sana kwa baadhi ya matajiri.
Hivyo watu wanakupa unachohitaji ili na wao wapate hitaji lao kwako..

Mwamba Geu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom