Jengo la ofisi za TAMISEMI jijini Dodoma laungua kwa moto

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
5,596
5,593
Jengo la Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Dodoma linateketea kwa moto muda huu ambapo Jeshi la Zimamoto na Ukoaji linaendelea na juhudi za kuuzima.

#MwananchiUpdates

========

20220621_192620.jpg

Waziri wa Tamisemi, Innocent Bashungwa, akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Profesa Riziki Shemdoe pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Dk Grace Maghembe walishuhudia askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likizima moto katika jengo la Wizara hiyo jijini Dodoma.

Sehemu ya Jengo la Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Lililopo jijini Dodoma imeteketea kwa moto ambao chanzo chake hakijafahamika licha ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kufanikiwa kuudhibiti

Moto huo ulizuka majira ya saa 12 jioni kwenye sehemu ya juu ya jengo hilo linalolotambulika kama Sokoine House lenye urefu wa Ghorofa Nne.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom