Mkitaka kuwa waongo lazima muwe na kumbukumbu, makusanyo ya 1.9 trillion yalifikiwa desemba 2020

leonaldo

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
2,585
3,179
33341
Kuna habari kuwa mama kavunja rekodi ya makusanyo ya Kodi tangu Tanzania ipate Uhuru kwa kufikia 1.9 T, zilizokusanywa kwa njia Bora kabisa bila kutumia nguvu.
Watu wanarukaruka na kushangilia kwa pambio na ngonjera za kutosha huku wakijua Wanasema uongo, tofauti na ukweli huo tokeni mtuambie Decemba 2019 mlitudanganya ova.
Mod edit heading isome Decemba 2019
 
Maelezo bado yana ukweli kwani hii imekusanywa bila DHULUMA - nasema tena bila DHULUMA.

Hizo zilizokusanywa kwa kuwatuma akina SABAYA wafanye vitu vyao haziwezi linganishwa na hizi ,1,9 trl.
 
Achana na hizo takwimu zao za kupika.... subiri impact ya ujinga huu.... dawa hospitalini, miradi ya barabara, nk
 
Back
Top Bottom