Uchambuzi: Ni Dhahiri Kuwa Ilikuwa ni lazima Haji Manara aondoke Simba SC Kumpisha Barbara

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Wanamazengo,

Hivi mmegundua kuwa licha ya Simba SC kupata msemaji wa muda - Bw Ezekiel Kamwaga, nafasi na majukumu mengi anayopaswa na kutakiwa kuyafanya anayafanya CEO wa klabu? Je, tunaweza kukubaliana kuwa ni sawa kwa CEO kuingilia majukumu na wajibu wa nafasi ya mtu mwingine?

Sote tunajua kuwa CEO ni mtendaji mkuu katika taasisi yeyote ile na jukumu lake kuu ni kutekeleza mipango na sera za taasisi husika. Lakini watu wengi wanajiuliza, Kwanini anaingilia jukumu la msemaji wa Klabu -
1. Kama hapakuwa na uhitaji wa msemaji wa klabu ni kwanini Kamwaga yuko pale?
2. Je, ni lipi jukumu la Ezekiel Kamwaga ambalo shabiki wa Simba anaweza kuliweka bayana ambalo CEO halifanyi hivi sasa.
3. Je, kama klabu ina msemaji wake, kuna ulazima gani kiongozi wa juu kabisa kama CEO wa klabu akatimize jukumu la mtendaji wa chini kabisa ambaye ni Msemaji wa Klabu.

Hadi sasa (Tangu Manara aondoke) Simba imeitisha press conference zisizo pungua 8. Kati ya hizo press conference hakuna hata moja ambayo CEO wa klabu kakosekana. Licha ya uwepo wa Ezekie Kamwaga, bado amekuwa akionekana kama Msemaji-Hewa ambayo ameletwa pale kwa mihemko?

Mashabiki na wafuatiliaji wengi wa mpira hivi sasa wanaanza kuunganisha "dots". Wengi wanajiuliza kwanini enzi za Haji Manara hapakuwa na uwepo wa CEO karibu yake? Je ni kipi cha dhati ambacho kilimuondoa Manara pale Simba kama sio kumpisha CEO wa Klabu katika kiti cha Kamera za Luninga na vipaza sauti vya Radio.

Na je kwanini kuondoka kwake (Manara) kumetengeneza mwanya zaidi wa kiongozi wa ngazi ya juu kama yeye kutumikia majukumu ambayo hata Ezekiel Kamwaga angeyamudu.?

Hii Inaonyesha wazi kuwa, Matamanio makuu ya CEO yalikuwa si tu kupata fursa ya kutumikian klabu katika nafasi yake. Bali pia ni kuhakikisha anatumia vyema vyombo vya habari ili kusimika uwepo wake kiumaarufu. Kitu ambacho ni kinyume kabisa na maadili ya nafasi yake. Sasa inaanza kuonekana bayana kuwa, kuondoka kwa Haji Manara kulichangiwa pakubwa na matamanio ya Barbara ya kung'aa zaidi kiumaarufu.

Katika hilo halina ubishi, kwakuwa imeonekana na kudhihirika bayana hata baada ya kuajiliwa Msemaji mwingine wa muda bado msemaji uyo wa muda hajapewa mwanya mpana wa kutimiza majukumu yake kwa mapana zaidi kama alivyokuwa akiyatimiza Haji Manara. Wakati mwingine hata
 
In makongoro's voice:

Kutambulisha midoli ya timu, YUPO.

Kutangaza vituo vya kununua tiketi, YUPO.

Kutangaza vunja bei atatambulisha jezi, YUPO.

Kutangaza timu imeenda Morocco vijijini, YUPO.

Kutangaza timu imerudi inaenda Arusha, YUPO.

Sasa huyu ni CEO au msemaji wa timu.
 
Huyo ezekiel kumwaga sio kazi yake rasmi nakumbuka hata uongozi wa club ulisema ata hudumu kwa miezi miwili (kama sikosei) sO yuko pale kama temp tu muda wowote anaweza kutafutiwa mbadala wake

Kwenye swala la kuingiliana majukumu, kwani manara alipokua simba alikua anaheshimu mipaka yake ya kazi?

Au umesahau alivyotekwa Mo, manara alijitokeza kama msemaji wa familia? Ni kweli manara aliajiriwa kua msemaji wa club na familia ya Mo?
 
Wewe shida yako nini,si mumechukua msukule umewaahidi makombe yote ya nchi hii
FB_IMG_1631703587751.jpg
 
Wanamazengo,

Hivi mmegundua kuwa licha ya Simba SC kupata msemaji wa muda - Bw Ezekiel Kamwaga, nafasi na majukumu mengi anayopaswa na kutakiwa kuyafanya anayafanya CEO wa klabu? Je, tunaweza kukubaliana kuwa ni sawa kwa CEO kuingilia majukumu na wajibu wa nafasi ya mtu mwingine?

Sote tunajua kuwa CEO ni mtendaji mkuu katika taasisi yeyote ile na jukumu lake kuu ni kutekeleza mipango na sera za taasisi husika. Lakini watu wengi wanajiuliza, Kwanini anaingilia jukumu la msemaji wa Klabu -
1. Kama hapakuwa na uhitaji wa msemaji wa klabu ni kwanini Kamwaga yuko pale?
2. Je ni lipi jukumu la Ezekiel Kamwaga ambalo shabiki wa Simba anaweza kuliweka bayana ambalo CEO halifanyi hivi sasa.
3. Je kama klabu ina msemaji wake, kuna ulazima gani kiongozi wa juu kabisa kama CEO wa klabu akatimize jukumu la mtendaji wa chini kabisa ambaye ni Msemaji wa Klabu.

Hadi sasa (Tangu Manara aondoke) Simba imeitisha press conference zisizo pungua 8. Kati ya hizo press conference hakuna hata moja ambayo CEO wa klabu kakosekana. Licha ya uwepo wa Ezekie Kamwaga, bado amekuwa akionekana kama Msemaji-Hewa ambayo ameletwa pale kwa mihemko?

Mashabiki na wafuatiliaji wengi wa mpira hivi sasa wanaanza kuunganisha "dots". Wengi wanajiuliza kwanini enzi za Haji Manara hapakuwa na uwepo wa CEO karibu yake? Je ni kipi cha dhati ambacho kilimuondoa Manara pale Simba kama sio kumpisha CEO wa Klabu katika kiti cha Kamera za Luninga na vipaza sauti vya Radio.

Na je kwanini kuondoka kwake (Manara) kumetengeneza mwanya zaidi wa kiongozi wa ngazi ya juu kama yeye kutumikia majukumu ambayo hata Ezekiel Kamwaga angeyamudu.?

Hii Inaonyesha wazi kuwa, Matamanio makuu ya CEO yalikuwa si tu kupata fursa ya kutumikian klabu katika nafasi yake. Bali pia ni kuhakikisha anatumia vyema vyombo vya habari ili kusimika uwepo wake kiumaarufu. Kitu ambacho ni kinyume kabisa na maadili ya nafasi yake. Sasa inaanza kuonekana bayana kuwa, kuondoka kwa Haji Manara kulichangiwa pakubwa na matamanio ya Barbara ya kung'aa zaidi kiumaarufu.

Katika hilo halina ubishi, kwakuwa imeonekana na kudhihirika bayana hata baada ya kuajiliwa Msemaji mwingine wa muda bado msemaji uyo wa muda hajapewa mwanya mpana wa kutimiza majukumu yake kwa mapana zaidi kama alivyokuwa akiyatimiza Haji Manara. Wakati mwingine hata
Mbona me press nyingi nmemuona Kamwaga bila ya CEO au naona vibaya?!
 
Uto utawaweza press yenye kuhusisha contract signing CEO lazima awepo. But kama ile ya uzinduzi wa Simba app mbona hakuepo.
 
Back
Top Bottom