kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Mwanaume ndiye Mtu wa kwanza kuzuia Mimba zisizopangwa

    UTANGULIZI: ▪︎Mimba zisizotarajiwa zimekuwa tatizo sugu kwa miaka mingi katika jamii yetu. Nataka kusaidia kuondoa mimba zisizopangwa kwa kumuelimisha mtoto wa kiume ambae ndiye huweka mimba. Ni rahisi, mwanaume anatakiwa ajue na kuelewa mzunguko wa hedhi wa mwanamke kwa usahihi. Hitaji la...
  2. JamiiForums Tanzania Sisi tuna watu, walifungiwa miaka mitano kocha wa Mbeya kwanza na sasa kasemehewa sembuse Manara?

    Yaani nyie mnaumiza vichwa na adhabu za TFF? 1: Bumbuli alifungiwa miaka mitatu 2: Mwakalebela miaka 5 3: Kocha wa Mbeya Kwanza na meneja walifungiwa maisha lakini saivi wapo free Manara je ???
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faith Kipyegon ainyakulia Kenya medali ya kwanza ya dhahabu kwenye mashindano ya World Athletics Championships, Oregon22

    Siku ni ya nne ya mashindano hayo ya riadha(IAAF), ambayo yanaendelea kule mji wa Oregon, USA. Kenya tayari ina medali zingine mbili, moja ya fedha na nyingine ya shaba. NAIROBI, Kenya, Jul 19 – Faith Kipyegon underscored her status as the greatest 1500m athlete of all time with an imperious...
  4. JamiiForums Tanzania Kocha mkuu Yanga sc Nabi kutimuliwa raundi ya kwanza ya msimu

    Najua kuna watakao nibeza ila msimu unaokuja utakuwa mgumu sana kwa Nabi, kutokana na usajili walioufanya Yanga Africa wana matumaini makubwa sana yakufanya vizuri kwenye na caf champions league. Viongozi na mashabiki wa Yanga wanatamani kuona timu yao msimu unaokuja kwenye caf champions league...
  5. JamiiForums Tanzania Ali Msham muasisi wa tawi la kwanza la TANU Magomeni Mapipa 1954

  6. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Waziri Aweso azindua miradi ya maji

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji katika Kata ya Dabalo Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma ambapo ametoa pongezi nyingi Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) na kwa kampuni ya PLASCO inayotengenenza matanki makubwa ya plastiki yaliyotumiwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mgonjwa wa Omicron aripotiwa Tanzania, alazwa Hospitali ya Amana

    Wakati Rais Samia akimpolea Rais wa uganda Yoweri Mseveni uwanja wa ndege jijini Dar kuna taharuki ya kuwepo mgonjwa wa kwanza wa kirusi kipya kilichogunduliwa Afrika ya Kusini siku tatu zilizopita. Mgonjwa huyo Mzungu Rais wa Botwana aliyedaiwa kuingia nchini kutokea mjini Johannesburg Afrika...
  8. JamiiForums Tanzania Hatua ya kwanza ya makubaliano kati ya UN, UKRAINE na URUSI inaiwezesha URUSI kuuza nafaka na mbolea bila vikwazo

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema hatua muhimu ya kwanza imefikiwa katika juhudi za kuwezesha nafaka kusafirishwa kutoka Ukraine. Guterres ameeleza kwamba hatua hiyo imefikiwa kwenye mazungumzo ya mjini Istanbul kati ya wajumbe wa Urusi na Ukraine. Wajumbe wa Umoja wa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kutimiza ndoto yangu ya muda mrefu ya udakitari

    Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zangu, nimemaliza degree ya kwanza ya business administration na nina kazi yangu binafsi kwa sasa lakini haikuwa ndoto yangu ilinilazimu kusoma Ili nipate kwanza kazi ya kufanya. Ndoto yangu ni kuwa daktari na sikuweza kutimiza vigezo kwenye masomo ya...
  10. JamiiForums Tanzania Love bite sehemu ya kwanza

    LOVE BITE ♥️🔥 SEHEMU YA KWANZA ( 01 ) Ni siku ya jumapili iliyokuwa na kila aina ya mchanganyiko wa watu kutoka sehemu mbali mbali walionekana kwenye kumbi za starehe. Wengi ambao walikua wanapenda taarab basi walijazana travertine hotel kuwaangalia jahazi. Kwa wengine wanaopenda bongo...
  11. JamiiForums Tanzania Rafiki yako akimtongoza mke wako umfanye nini?

    Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja. Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa. Miezi...
  12. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya kwanza ya siku ya Kiswahili Duniani 07/07/2022: Mustakabali wa Tanzania na Kiswahili ni upi?

    MAADHIMISHO YA KWANZA YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI 07/07/2022: MUSTAKABALI WA TANZANIA NA KISWAHILI NI UPI? (Muhtasari wa masuala muhimu niliyohojiwa katika kipindi cha Stimela cha TBC FM tarehe 07/07/2022 saa 10:00 -11:00 jioni) 1.0 UTANGULIZI Tarehe 23/11/2021 ndio siku ambayo Shirikika la...
  13. JamiiForums Tanzania Post yangu ya kwanza: Hodi JF

    Hodi, humu. Kainetics. Naomba mnipokee. Nakaribia.
  14. JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukutwa na ushamba mara baada ya kununua gari kwa mara kwanza tukutane hapa

    Jamani wale tuliokutwa na ushamba baada ya kumiliki gari kwa mara ya kwanza tulete visa tulivyokutana navyo hapa. Binafsi baada ya kununua premio nilikuwa naiendesha huku nikiwa nimewasha handbreak kiasi kwamba mafuta yalikuwa yanaenda mengi Sana kwa kutembea huku nimeshika handbreak... Je...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Julai 5, 1996: Kondoo wa kwanza aliyeumbwa kwa njia ya kurudufu (Clone) duniani alizaliwa

    Dolly ni kondoo jike aliyeumbwa kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya kurudufu (Clone) na Taasisi ya Utafiti ya Roslin ya Scotland na Kampuni ya teknolojia ya viumbe ya PPL Therapeutics. Kuzaliwa kwa Dolly kumeweka msingi wa maendeleo ya teknolojia ya viumbe vya kurudufu (Clone), na kuibua mawazo...
  16. JamiiForums Tanzania "Oligarch" mndani sana wa Putin awa wa kwanza kujitoa mhanga kwa kumkosoa Putin

    Asema anguko la kiuchumi la Urusi halivumiliki. Na kamba hivi vita havina mshindi. ======== Oleg Deripaska criticizes Russia's actions The important Russian oligarch Oleg Deripaska has made some striking comments about the war in Ukraine. Putin's favorite billionaire said that there would be...
  17. JamiiForums Tanzania Miss Nigeria 1957 akionesha zawadi yake ya mshindi wa kwanza

  18. JamiiForums Tanzania Jino la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Congo, Patrice Lumumba lapokelewa na kupewa mazishi ya heshma

    Nchini DRC nchi nziam ilizizima kwa majonzi baada ya jino la aliyekuwa Waziri mkuu wa kwanza wa nchi hiyo kupokelewa kutoka nchini ubelgiji ambako limekuwa likihifadhiwa. Imedaiwa kuwa mtu mmoja aliyekuwa askari polisi wakati wa mauaji ya kinyama ya kiongozi huyo aliamua kuhifadhi jino hilo kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania sehemu ya social experiments, kwanza Ujamaa sasa hivi nwo!

    Tanzania kuanzia kuanzia kuanzishwa kwake haijawahi kuwa nchi ya kawaida kama nyingine, ni nchi inayotumiwa kama sehemu ya majaribio ya mifumo ya maisha, ndiyo maana Communism Dunia nzima iliitwa hivyo Communism lkn Tanzania ukaitwa ujamaa na ukapewa defination yake kwamba ni Communism ya...
  20. JamiiForums Tanzania Make Hapo kwanza Nchekee!?

    Hili neno kama ntakuwa nimekosea kuliandika pia nipo tayari kurekebishwa naomba kufahamu maana yake halisi na linatumika mazingira yapi? Nimejaribu kugoogle sijapata na kamusi pia hakuna. Ahsanteni,Asbh Njema.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…