kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. Logikos

    Nishati; Utitiri wa Miradi, (Mnaonaje tukimaliza Mmoja kwanza kabla ya Kuanza Mwingine)

    Nimesikia hapa Makamba akiwasilisha miradi inayopangwa kufanywa katika bajeti ijayo na pesa lukuki iliyotengwa, kwa ajili ya miradi, (yaani ni miradi bandika bandua). Ni Vema na Haki..., ila swali, si bora tungemaliza kwanza mradi mmoja kuliko kushika shika hapa na pale..., Wahenga walisema...
  2. Kiokotee

    Msaada: Mbwa akilishwa Sumu huduma ya kwanza ni kufanya nini?

    Jirani yangu Mbwa wake Vibaka wamemuwekea sumu, amekufa anamuangalia hajui afanyeje! Nahofia na mimi hawa wa kwangu, maana wananisaidia sana na Hawa panya road wa kitaa.
  3. S

    Wanaume, zingatieni sana jibu la kwanza mnalopewa mnapotongoza ili kumpata mwenye mapenzi ya dhati

    Unapomfukuzia mwanamke kuwa makini sana na jibu lake la kwanza kutolewa kinywani mwake. Ukikataliwa, ukipewa excuse, ukiambiwa "mimi sikupendi", ukiambiwa "shika adabu yako", ukiambiwa "aku mm nina mtu wangu" ama jibu lolote linalofanana na hayo LIHESHIMU. Ukikomaa utakuwa na mpenzi ama mke...
  4. N

    Kuanzia round ya kwanza: tuwaombee njaa Orlando Pirates wako uwanjani muda huu

    Yaani tungeingia nusu fainali , hizi habari za kuombeana njaa wala zisingekuwepo kwa kweli maana kama siyo namba 9 tungekuwa wa 10. Anyway wakati dua mbaya tunaelekeza kwa Etoile du sahel ya Tunisia na Es Setif ya Algeria kumbe wale wapuuzi wa soweto Orlando pirates walikuwa na viporo vitatu na...
  5. Poker

    Ipi ni simu yako ya kwanza kumiliki?

    Mimi binafsi nilianza kumiliki Siemens C25
  6. L

    Mapato ya chai ya Kenya yaongezeka kwa asilimia 10 katika robo ya kwanza ya mwaka huu

    Bodi ya Chai ya Kenya jana ilitangaza kuwa ingawa mapambano kati ya Russia na Ukraine yameathiri shughuli za uchukuzi, lakini mapato ya chai ya Kenya inayouzwa nje yameongezeka kwa asilimia 10.4 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 ikilinganishwa na mwaka jana kutokana na ongezeko la bei duniani...
  7. Tony254

    Kenya ime-export kahawa ya kwanza kuenda South Korea

    Tuendelee vivi hivi. More exports is important for our economy. (BOLLORE ) - Bolloré Transport & Logistics was recently commissioned to handle a logistic operation organizing the first direct shipment of coffee by Kenyan farmers to South Korea without the use of a coffee brokerage. This was...
  8. Q

    ACT - Wazalendo wapiga ‘U Turn’, nao wataka Katiba Mpya Kwanza

    ACT hakina msimamo kinaenda na upepo kinaangalia vyama vikubwa kama Chadema vinataka nini. Mwanzo walikuwa na kauli mbiu yao ya TUMEHURU KUELEKEA KATIBA MPYA, leo wanasema KATIBA MPYA NI SASA. Tusiwabeze ACT bado ni wachanga hawajui kwenye siasa ili uaminiwe unahitaji consistency. Waendelee...
  9. L

    Idadi ya watalii wa Kenya yavuka asilimia 85 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022

    Kulingana na takwimu mpya za kiuchumi kutoka Ofisi ya Takwimu ya Kitaifa ya Kenya (KNBS), idadi ya watalii waliofika Kenya imevuka asilimia 85 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 huku hali ikirejea kama kawaida katika sekta hiyo baada ya kukatizwa na COVID-19. Takwimu hizo zinaonesha kuwa Kenya...
  10. Lycaon pictus

    Kati ya Misri na Ghana, ipi ilikuwa nchi ya kwanza Africa kupata uhuru?

    Shuleni tumefundishwa kuwa nchi ya kwanza kupata uhuru ni Ghana, mwaka 1957. Lakini Egypt ilipata Uhuru wake mwaka1952. Ikiondoa waingereza na mfalme. Sasa imekaaje tukasema Ghana ndiyo ya kwanza kupata uhuru?
  11. mr gentleman

    Rayvanny aweka rekodi ya kuwa wa kwanza East Africa kufikisha streams milioni 100 Boomplay

    STAA wa muziki wa Bongofleva na bosi wa lebo ya Next Level Music, Raymond Shaban Mwakyusa (Rayvanny) amefikisha (streams) milioni 100 kupitia jukwaa namba moja la muziki barani Africa Boomplay 🙆🏿 Rayvanny anakuwa msanii wa kwanza East Africa kufikisha idadi hiyo ya streams kwenye boomplay...
  12. beth

    Mahakama Nchini Ukraine yamhukumu Mwanajeshi wa Urusi kifungo cha maisha jela

    Mahakama imemhukumu Mwanajeshi wa Urusi, Vadim Shishimarin kifungo cha maisha jela kwa mauaji ya Raia. Hii ni kesi ya kwanza ya uhalifu wa kivita tangu vita kati ya Urusi na Ukraine kuanza Mwanasheria wa Mwanajeshi huyo amesema Hukumu iliyotolewa sio ya kushangaza kwasababu kumekuwa na...
  13. Little brain

    Young Africans 4-0 Mbeya kwanza | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

    Mabao ya Mayele, Said Ntibanzokiza ‘Saido’ na Dickson Ambundo yalitosha kuipeleka mapumziko Yanga ikiwa kifua mbele kwa mabao 3-0. ⚽️' 34, F Mayele ⚽️' 39, S Ntibazonkiza ⚽️' 44' D Ambundo. Yanga first eleven Diarra Job Bangala Farid kibwana Sureboy Aucho Saido Moloko Ambundo Mayele...
  14. KndNo1

    Gari ya kwanza Private kusajiliwa Tanzania

    Kwenye pita pita zangu nimekutana na gari ya kwanza kabisa kusajiliwa kwa hapa nyumbani.. Haraka haraka inaonekana hii gari ni ya Mchaga.. AC ya kujaza.. Spare Tyre na spanner havipo.. Gear Kirungu..! Wale wanaosubiri namba E.. Mnaweza kununua hii iconic car kupiga misele wakati mnasubiria...
  15. Mathanzua

    Kwa wasioweza kuchuja ukweli na utapeli, mzigo mwingine huu hapa:CDC wame-prove kisa cha kwanza cha Monkey Pox US

    The Centers for Disease Control and Prevention (CDC) and the Texas Department of State Health Services says it has confirmed the first case of Monkey Pox in the US on July 15. This was detected in a U.S. resident who recently traveled from Nigeria to the United States. The person is currently...
  16. M

    Kwa strategie walizojiwekea Mbeya Kwanza game zidi ya Yanga hapa Songea, naamini yanga hamchomoki

    Nikiwa maeneo fulani hapa mjn songea, nimekutana na wachezaji wa mbeya kwanza na wamepanga kudefense mwanzo mwsho game zd ya Yanga kama walivyofanya tz prison, naamn sare inawahusu.
  17. ESCORT 1

    Yalitokea kwa Joyce Banda, Rais wa kwanza mwanamke nchini Malawi kuna la kujifunza

    Mwaka 2012, Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Hilda Banda alichukua nchi baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika. Waliomuwekea mizengwe kipindi anatakiwa akabidhiwe nchi, alikuja kuwashughulikia alipokuwa Rais. Akawa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa hilo. Akaingia madarakani, akawa...
  18. Melubo Letema

    Emanuel Giniki Gisamoda Ashika Nafasi ya kwanza Geneve Marathon (42K), Switzerland Leo.

    Mwanariadha Emanuel Giniki Gisamoda ashika nafasi ya kwanza katika Mbio za Generali Geneve Marathon ( 2:10:39) huko Geneva Switzerland Jumapili 15 Mei 2022 katika kilomita 42, ambapo amewashinda wa Kenya na waethiopia. Giniki ni Mwanariadha pekee anaefanya vizuri katika Riadha hapa nchini...
  19. aise

    Sitasahau mara ya kwanza "nazama uvinza"

    Siku hiyo nilikuwa nimetoka kufanya kazi moja nzito sana, hata hamu ya kutafuna mbunye haikuwepo. Nimejitulizana napunga upepo nashangaa sms inaingia "uko wapi" Ilikuwa sms ya shangazi mmoja matata sana, alikuwa mpemba yule mama. Kabla ya hapo siku kadhaa nyuma nilitupia swaga kidogo ila...
  20. Deejay nasmile

    UZEMBE:NAMUNGO VS MBEYA KWANZA KUHAIRISHWA

    inawezekana vp manispaaa ina gari moja tu la wagonjwa... inakosa ambulesi katika mechi muhimu kama hii Au ni hujuma tu ili mbeya kwanza wapate ponti za bure Mechi kuhairishwa kwa sababu ya kutokuwepo gari ya wagonjwa ni sheria ya kipuuzi..gari lilipata dharula ya kupeleka mgonjwa mechi si...
Back
Top Bottom