kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. Faana

    Usalama Kwanza: Tuwapo Barabarani Tuwe Makini

  2. Abtali Mwerevu

    Riwaya: Mfalme Anataka Kuniua

    Msisitizo: Riwaya imekamilika, kila siku itakuwa inatumwa sehemu moja mpaka itakapoisha. Hakuna longolongo, hakuna kuchelewesha wala hakuna kununua. Mfalme Anataka Kuniua | Sehemu ya Kwanza Mwandishi: Mwalimu Makoba Mako alijibanza katika kichaka cha kijani. Mbele alitazama kundi kubwa la...
  3. C

    Experience kwa waliosoma Open university degree ya kwanza

    Kama mada inavyojieleza hapo wakuu, naomba kufahamu uzoefu walopata wale waliopitia mfumo huo wa elimu kupata shahada zenu. Hiyo ikihusisha namna ya kusoma ugumu na wepesi na pia baada ya kumaliza kusoma.
  4. A

    Kwa Mara ya kwanza swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima geography 1 kidato Cha sita

    Kwa Mara ya kwanza katika miaka yote ya utungaji wa mtihani wa geographia 1 kidato Cha sita 2022 swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima badala yake swali la surveying and map making ndio lilikuwa lazma na kubeba ujumla wa alama 25 hii imeshutusha Sana watahaniwa wakati...
  5. Pascal Mayalla

    Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

    Wanabodi Hii ni moja ya zile mada zangu za kikubwa zinazomtaka mtu kusoma kwa akili iliyotulia, na ili kuielewa,kunahitaji kiwango fulani cha uelewa!,kama wewe ni mwenzangu na mimi,wale wenye akili za wastani za dii mbili!nakushauri save your precious time,jipitie zako tuu na uende mabandiko ya...
  6. SSH2025_2030

    Diesel tumekumbukwa kwa mara ya Kwanza!

    Kwa mara ya Kwanza. Wenye kutumia magari ya diesel tumekumbukwa. Asanteni.
  7. Victor Mlaki

    Ishi leo kwanza.

    WAKATI MWINGINE JARIBU KUACHA KUWEKEZA KWENYE MALENGO BADALA YAKE WEKEZA KWENYE MCHAKATO. "Sometimes we must stop being goal oriented and shift to process oriented" ........................................................................................................................ ...
  8. luangalila

    Uhuru Kenyatta patana kwanza na makamu wako ndio usuluhishe migogoro ya DRC

    Katika hali ya kustaajabisha siasa za Africa,Raisi wa taifa moja kusimamia mazungumzo ya kuleta amani DRC baina ya waasi na serikali ya Tshikedi ili hali raisi wa taifa ilo ndani ya nchi ana mgogoro na makamu wake wa Raisi Tena mgogoro wa wazii kabisaa wa maslai ya madaraka, mgogoro huu...
  9. P

    Kwani ni lazima kwa kila anayetaka kuiba amponde kwanza Hayati Magufuli!!? Si muibe tuu

    Kumponda JPM ndio njia pekee ya majizi yote sasa kuitumia ili kuhalalisha wizi na ufisadi! Bahati mbaya kabisa, yanalazimisha nchi na wananchi iwasikilize na kuwaunga mkono kwenye biti zao za uwongo za kuhalalisha uwizi na ufisadi, mamaah! Waliowengi wako upande wa wasiompenda JPM R.I.P Enyi...
  10. DR HAYA LAND

    Mara ya kwanza kuingia Gerezani 2017, sikulala hakika Sitosahau

    Ilikuwa 2017 nilipoingia Gerezani kwa mara ya kwanza kwa kosa la kutoa lugha ya kuudhi dhidi ya Rais wa Tanzania kipindi hicho John Pombe Magufuli. Kweli wakuu Nilimtukana Rais wa JMT tena kwa lugha Kali hii ni baada ya Kupata hasira za hapa na pale. Ilikuaje nikamtukana Rais maneno makali...
  11. Lady Whistledown

    Jamhuri ya Afrika ya Kati yawa nchi ya Kwanza Afrika kuhalalisha matumizi ya Bitcoin kama sarafu rasmi

    Mkuu wa wasaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ‘Central Republic of Africa’ (CAR) Obed Namsio alisema mswada unaosimamia matumizi ya ‘cryptocurrency’ ulipitishwa kwa kauli moja na bunge wiki iliyopita na Rais anaunga mkono muswada huo akidai utaboresha hali ya raia wake Jamhuri ya...
  12. K

    Elon Musk afanikiwa kuinunua Twitter

    Baada ya figisu figisu za muda mfupi kumzuia mkurugenzi mkuu wa kampuni ya space X na mtu tajiri zaidi duniani kwa paper assets bwana Elon Musk hatimaye amefanikiwa kuununua mtandao wa twitter Mpaka sasa makundi ya haki za binadamu hayaelewi twitter chini ya mmiliki huyo mpya kama itaweza...
  13. M

    Tunaomba majibu ya kuturidhisha Kimantiki ya kwanini Rais Samia amekuwa Rais wa kwanza kukosa kuhudhuria Sherehe za Muungano?

    Kutokana na Umuhimu na Unyeti wa huu Muungano wa Bara na Visiwani nimeambiwa kuwa Watu wa Itifaki katika Awamu zote zilizopita walikuwa Wakihakikisha Ratiba za Rais kamwe haziingiliani na Siku hii ya Muungano na kwamba ni lazima Mheshimiwa Rais awepo kutokana na kuwa pia ni Moja ya Tunu ya Nchi...
  14. 6 Pack

    Mwaka 1989 ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kutapeliwa jijini Dar es Salaam

    Mwaka 1989 wakati huo nikiwa na umri mdogo tu (chini ya miaka 10), niliwahi kutapeliwa na mtu ambae mpaka leo sikuwahi kumuona tena machoni kwangu. Iko hivi... Siku hiyo nilikuwa nimepewa Tsh 200 na shangazi yangu niende nikanunue sukari. Thaman ya Tsh 200 kwa kipindi kile ilikuwa kubwa sana...
  15. Kang

    Google imeanza kuajiri ofisi yao mpya ya Nairobi

    Mda si mrefu uliopita Google walitangaza kufungua ofisi yao ya kwanza ya product development Africa jijini Nairobi, kazi ndo hizo engineers, UX experts, researchers mnaweza mkakamata! Google to set up first Africa product development centre in Nairobi Build for Everyone - Google Careers
  16. M

    Kenya2022 Utabiri: Martha Karua atakuwa Rais wa 6 Kenya kabla ya Raila kumaliza muhula wake wa kwanza kama Rais

    Inakuwaje wanajamvi! Ruto atashinda kwa kura nyingi Sana tena kwa kishindo lakini hatatangazwa kuwa Rais. Kwasabab Uhuru hatakubali atachakachuwa tu matokeo ya uchaguzi. Ruto ndie mtu sahihi kuwa Rais wa Kenya. He is simply a presidential material. Natamani na napenda Sana Ruto kuwa rais. He...
  17. Shark

    Tuelewe kwanza ufanyaji kazi wa VAR

    Kwema Wakuu, Nimeona mijadala mbalimbali juu ya Utumikaji wa VAR katika Mchezo wa Kwanza kati ya Simba Sport Club dhidi ya Orlando Pirates a Afrika Kusini. Sintotaka kwenda kwenye mjadala kama Penalty ilikua halali ama lah, bali nitajikita kwenye matumizi ya VAR tu. Katika Mchezo huo timu ya...
  18. M

    Simba ni moja ya timu mbili tu kati ya timu NANE (8), zilizofanikiwa kushinda mechi ya kwanza ya robofainal confederation cup.

    Wale wanaobeza ushindi wa goli moja wa Simba dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika ya kusini, ni vizuri wakafahamu kuwa: 2. Kati ya timu NANE zilizoingia robo fainali ni timu MBILI tu zilizoibuka na ushindi kwenye mechi ya kwanza ya robo fainali, timu hizo ni SIMBA na Al Masry. Al Masry iliifunga...
  19. chiembe

    Prof. Assad mwaka wa kwanza wa Awamu ya Tano alisema trilioni 1.5 ilichukuliwa, fikiria ndani ya miaka 6

    Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
  20. Webabu

    Mariupol yaanguka, ushindi wa kwanza mkubwa wa Urusi

    Muda mfupi uliopita Urusi imesema jiji la bandari na viwanda la Mariupol limeingia mikononi mwao kikamilifu baada ya kusafisha mabaki ya askari wa Ukraine waliokataa kujisalimisha waliokuwa wamejichimbia kwenye kiwanda kikubwa cha kufua chuma. Askari hao pamoja na kuishiwa chakula na silaha...
Back
Top Bottom