kuweka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo yenye Mfumo wa Serikali na si Chama

    Tanzania tuitakayo imebakia katika taswira ya vichwa vyetu. Hii ndio Tanzania tuliyonayo. Demokrasia katika nchi yangu sasa imekuwa ya kusadikika imebakia kuwa picha tu katika fikra zetu. Mifumo imekuwa na nguvu kuliko Maamuzi yetu. Uongozi katika dhana ya demokrasia ni lazima uwe mfumo...
  2. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kuna muda ni bora kuweka Airplane mode kuepuka mizinga

    Kuna muda ukipata hela wenzako unaofanyanao kazi kama wanajua umepata hela ni bora kuweka Airplane mode kuepuka Mizinga 😃, simu zitaingia Kama zote, utasikia Mkuu mbona kimya unaniachaje!
  3. Informer

    JamiiForums Tanzania Wapogoro na Waluguru, ni kweli hawajui pa kuweka space kwenye SMS?

    Nina jamaa zangu wa makabila haya kwakweli kusoma chats zao huwa ni mateso sana. Wenzangu mmewahi kumbana na hili? Unaweza weka screenshot bila kuonesha namba au jina la mhusika.
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tungepambana na magari ya umeme badala ya kuhangaika na kuweka mfumo wa gesi kwenye magari

    Dunia inaelekea kwenye magari ya umeme. Cha kushangaza sisi bungeni tunahangaika na kuweka mifumo ya gesi kwenye magari. Miaka ishirini mbele maga karibu yote yatakuwa ya umeme. Habari ya magari sasa ni mabetri, lithium, graphite nk nk, mambo yanayosaidia kuendesha magari ya umeme. Badala ya...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Tuanze na V8 za Mawaziri kuweka mfumo wa gesi ili kubana matumizi

    Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Musukuma ameishauri serikali ianze kufunga mifumo ya gesi katika Gari zote za mawaziri ili kuokoa gharama kutokana na gari hizo kutumia mafuta ambayo gharama yake ni kubwa ukilinganisha na gesi. Musukuma amesema hayo leo Aprili 25, 2025 Bungeni jijini...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kuweka shule za English Medium siyo ubaguzi kwa wanafunzi wa Kitanzania?

    Ni sahihi kwa serikali kuanzisha shule zake za English medium?Kigezo gani kitatumika kupata wanafunzi wanaotakiwa kwenda kwenye hizo shule? Kuanzisha shule hizi kunaendana na wazazi kugharimia au wanakwenda bure kama shule nyingine? Ni nchi gani ina mfumo wa shule za serikali kuwa na mfumo...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa na Mavunde Wakutana Kuweka Mikakati ya Kusimamia Utekelezaji wa Miradi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde wamekutana na kujadili namna bora ya kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa Malighafi za ujenzi wa miundombinu itakayosaidia Makandarasi kukamilisha miradi kwa wakati na ubora...
  8. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Pluribus Anum, coin ya dollar ya Marekani yenye vituko vingi, je nini sababu yake kuweka emage hizi?

    Duniani kuna mambo Sana, watu wengi wakiangalia mambo yanavyokwenda sasa hivi huwa wanaamini kuwa dunia sasa imekwisha. Sasa Mimi ngoja niwaeleze dunia ndio Kwanza inaanza, utakwisha wewe tu. Je unazijuwa sarafu za dollar ya Marekani prulibus unum ambayo ndio Motto wa Marekani kwenye National...
  9. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Tuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza Imenibidi kuandika thread hii humu sababu siku mbili hizi tumepigiwa simu huko kijijini kwamba Mzee wetu twende huko...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash ambayo utasikiliza kwa siku tano hujamaliza

    Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash. Ukiplay playlist nzima utasikiliza kwa siku tano hujamaliza. Sifa ya Playlist Ni nyimbo zote nzuri sana pengine hujawahi kusikiliza. Kwakweli utaburudika utaabudu kufurahi na kupata amani ya moyo wako. Piga hii namba...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuige mfano wa Ujerumani, tunapaswa kumsahau Magufuli na kuweka bidii kusonga mbele

    Sidhani kama kuna Mtanzania ambae hajui mazuri ya Magufuli akiwa raisi wa Tanzania, atapinga kwamba Magufuli hakuwa na roho ya uzalendo kwa Tanzania, alichukia ufisadi, alichukia watu ambao anawaona walikwamisha bidii zake za kuindeleza Tanzania. Hakuna Mtazania atakaepinga kwamba Magufuli...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ukifanya biashara hizi na kuweka nguvu haswa uhakika wa kufanikiwa ni 100%

    Mafuta Vyakula Madini Usafirishaji Fedha Media Elimu Afya Dini/kanisa Michezo Utalii Mifugo Vifaa vya ujenzi Mimi nimejikita kwenye vyakula? Changamoto zipo ila napambana
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Binti asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji

    Binti Asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji ======= Polisi mjini Bulawayo nchini Zimbabwe, wameanzisha msako mkali wa kumtafuta kijana aliyeweka dawa ya kuongeza nguvu za kiume maarufu kwa jina la (Viagra) kwenye tanki la maji la kanisa wakati wa ibada...
  14. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Whatsapp Status watakuwa na uwezo wa kuweka video ya dakika 1

    WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuongeza urefu wa video ambayo mtu anaweza kuweka katika sehemu ya WhatsApp Status. WhatsApp imeanza kuweka limit ya dakika 1 (sekunde 60) katika video za WhatsApp Status. Kwa kawaida limit yake ni sekunde 30! Majaribio haya yameanza kwa watumiaji wa Android.
  15. MEGATRONE

    JamiiForums Tanzania Je unaweza kuweka feni kwenye ceiling baada ya kufanya finishing?

    Habari ndugu zangu Moja kwa moja kwenye mada! Kuna nyumba bi mkubwa amejenga karibuni ila changamoto ni kwamba mkoa aliojenga una joto kali sana! Nilikuwa naomba kuuliza hivi nyumba ikishafanyiwa finishing inaweza kuwekewa feni ile ya juukwenye ceiling??? Au kuna kifaa gani kingine cha...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana na sie tujiandae mwakani kuweka Rais wetu

    Vijana wenzangu tuliozaliwa miaka ya 1980 tumeona yaliyotokea wiki hii... Senegal wameweka Rais kijana wa miaka 44 ofisini pamoja na changamoto zote za kufungwa jela na kufutwa chama za siasa. Wananchi hawakuona hizo kama ni changamoto wakamuingiza madarakani aliyekuwa mtoza ushuru, Faye...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Rais Eng. Hersi Said hili suala la kuweka kiingilio bure linaweza hujuma kubwa sana kwa Yanga. Vinginevyo jambo hili lifanyike

    Taarifa inasema kiingilio kwenye mechi yetu na Mamelody itakuwa bure Mzunguko. Sababu za uongozi zina mashiko pasi na shaka yoyote. Kwanza mechi itachezwa usiku sana halafu pili ni mwezi mtukufu wa Ramadhwani etc. But hatuoni kuwa Simba wanaweza kuingia pia uwanjani kwa wingi yakaja kuwa...
  18. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Kuweka Mipaka na Wazazi kwa Vijana

    Ninafahamu kuwa kila familia ina utamaduni wake na maoni yake kuhusu jukumu la watoto kwa wazazi wao. Hata hivyo, binafsi ninaamini kuwa wazazi wanabidi wajue kuwa sio rahisi kuwahudumia, au kuhudumia familia nzima hasa pale unapojikuta hali yako ya Uchumi ni tete, au ajira imekuwa changamoto...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Namna gani naweza kuagiza vitu mtandaoni?

    Wadau wa JF, Naomba kupitia thread, watu mtupe elimu na watu wajifunze namna ya kuweka order, kulipia, na kusafirisha (shipping) bidhaa kutoka kwa manufacturer kwenda Dar kwa usalama zaidi. Tafadhali tuweke ma consideration kwa mtu anayechukua pisi zaidi ya 10 kwenda juu kupitia Alibaba...
  20. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Baraza la Kiswahili nini kimewashinda kuweka Kamusi ya digitali hadi leo ikiwa ndio taifa tuliokishikiria Kiswahili?

    Nimekua nikipata tabu sana kujua maana ya maneno mengi ya kiswahili na nikisearch google siyapati napata mitandao ya nje kama wikipedia wakitafsiri ambayo mara nyingi siwaamini kulingana na aina na ufasaha wanaoandika. Kwanini Baraza la kiswahili mnashindwa kuweka KAMUSI YA KISWAHILI ONLINE...
Back
Top Bottom